Akili imepata kutu nini? [emoji848]Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja yako. Kwanza pombe yenyeweKwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Naunga mkono ushauri wako kwa Serikali! Halafu pombe yenyewe itakuwa ni chungu sana nakama ni tamu nisingekuwa nawaona Wanywaji wanakunja sura zao wanywapo!Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Kodi itokanayo na pombe ni kubwa sana kuliko vyanzo vingine vingi.
Watu kufanya kazi au kutofanya kazi wewe haikuhusu cha muhimu pambana na maisha yako inatosha kabisa.
Unataka kutuletea gharama zingine za uchaguzi? nakukumbusha tu kwamba Pombe ndo inakuongoza hapa nchini sasa hivi
Siungi mkono hoja tena mtoa posti ume niuzi sana, yani pombe ipigwe marufuku ili iweje
Amka ukojoe mkuu
ipige marufuku pombe alafu tunywe nn mkuu??
Oooh unataka matusi tu mkuu kuingilia ibada ya watu,huwezi kueleweka
Ikiwezekana na ngono nayo ipigwe pini. Watu wengi wanaenda kuserebuka wakati wa kazi. Si ndo hivyo unataka?
Ukipigwa usitulilie watazamaji.
Pombe hipi unayoizungumzia hapa??View attachment 1274460
Karibu sana mtoa uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1274495
Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa.
Hivyo ushauri wangu kwa serikali ipige marufuku unywaji wa pombe kwa raia wake na ipige marufuku uuzwaji pia utengenezaji wa pombe hapa nchini. Ipige marufuku hata kwa muda wa miaka 10 - 15 hivi
Nawasilisha.
Huna adabu wewe