Hapo sasa!! Rais awe mfano kwa kuweka wazi mshahara wake, marupurupu yake, ili tupate namna ya kumshinikiza juu ya yeye kulipa kodi pia.Hivi unatoa wapi moral authority ya kumwambia mtu alipe kodi wakati wewe si mlipa kodi?.............
Kitu pekee kinachoweza mponesha ni uthibitisho kama atashindwa kuthibisha ye alipe tuMfumo wa ulipaji kodi ulikuwa wa hovyo hovyo Sana, inawezekana kodi jamaa analipa lakini wajanja kumbukumbu walikuwa wanapoteza, hilo pia liangaliwe ili tusiumizane sana hii ni nchi yetu sote.
Serikali inadaiwa na TANESCO 125 bilioni. 85 billioni kule Zanzibar na 40 billioni Serikali ya Tanganyika lakini hatuoni juhudi za Serikali kukusanya deni hili kubwa pamoja na Serikali kujua fika hali mbaya ya kifedha inayoikabili TANESCO.
Hapo sasa!! Rais awe mfano kwa kuweka wazi mshahara wake, marupurupu yake, ili tupate namna ya kumshinikiza juu ya yeye kulipa kodi pia.
Sasa Mkuu hiii inahalisha kwamba Mbowe asilipe kodi kama anadaiwa? Mimi naamini Kiongozi wa upinzani ni kama mke wa Kaisari (hata kuhisiwa ni kosa!). Sidhani kwa Kiongozi kama Mbowe atakuwa na moral standing ya kusimama na kukemea madudu wafanyayo wengine kama na yeye anafanya hayo hayo. Ni kanuni za uongozi. Ujinga hauhalalishi ujinga. Wizi hauhalalishi wizi.
Kipindi cha nyuma wengi tulijisahau kwa kweli. Na kipindi hiki cha Magufuli watu tutapata wakati mgumu. Huwezi kusema eti serikali inakuonea wakati ni kweli inakudai! cha msingi lipa deni la watu malizana nao. Dawa ya deni ni kulilipa si vinginevyo. Ya Lugumi na mengineyo yana mda wake.
alete risitiMfumo wa ulipaji kodi ulikuwa wa hovyo hovyo Sana, inawezekana kodi jamaa analipa lakini wajanja kumbukumbu walikuwa wanapoteza, hilo pia liangaliwe ili tusiumizane sana hii ni nchi yetu sote.
Mkuu serikali kudaiwa ndo kiwe kigezo cha watu kukwepa kodi?Serikali inadaiwa na TANESCO 125 bilioni. 85 billioni kule Zanzibar na 40 billioni Serikali ya Tanganyika lakini hatuoni juhudi za Serikali kukusanya deni hili kubwa pamoja na Serikali kujua fika hali mbaya ya kifedha inayoikabili TANESCO.
Mkuu serikali kudaiwa ndo kiwe kigezo cha watu kukwepa kodi?
Simtetei Mbowe kama anadaiwa alipe kodi..
Lakini namshangaa mkusanya kodi kuvunja sheria za nchi kwa matumizi ya kodi zetu na yeye kutolipa kodi......
Hivi unatoa wapi moral authority ya kumwambia mtu alipe kodi wakati wewe si mlipa kodi?......
Hiyo ndio Tanzania mpya bwana watu walipe kodi lakini sheria za kusimamia kodi zikiukwe .....
Tuchukue pesa za kodi tumpe mtoto Wa shangazi ajenge majengo chato bila tenda kutangazwa wala bunge kupitisha hizo pesa.......
...kama unauhuru wa maoni MBONA unatumia ID fakeNimeongea kama Mtanzania ambaye ana uhuru wa kikatiba wa kutoa maoni yake hadharani. LOL! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wake! Utasubiri sana kuona mafisadi wa lugumi, escrow etc na Wabunge wapiga madili wakiguswa umesahau kauli ya "sifukui makaburi ya zamani" na makaburi ya zamani yote yanawahusu MACCM.
Ukimaliza kumpongeza mwambie nae alipe kodiAlipe kodi tu. Maendeleo hayawezi kuja kama watu hawalipi kodi.
Hongera Mh. Rais kwa kupambana na wakwepa kodi. Tunaendelea kukuombea ili ushinde hii vita.
..ukiona unatumia ID fake ujue hauko Huru kutoa Maoni,..Kwani wewe Maxence Melo!? Mwenye Forum yake hakuona shida kuruhusu watu kutotumia majina yao, wewe nani humu mpaka uhoji hili!?
Yani hata mid nashangaaNaamini Mbowe kama mwananchi mwingine yeyote anapaswa alipe kodi.
Lakini hivi awamu hii ambaye halipi kodi ni mbowe tu!!? Kuna ulazima wa kumuandama kiasi hiko!?
..ukiona unatumia ID fake ujue hauko Huru kutoa Maoni,..