Serikali na Hatima ya ATCL





Another sad day for Tanzania.

So we are leasing planes that are just sitting on the runway. How much money is being lost everyday.

And nobody has been held accountable for anything. I really don't know when this country will wake up.


(a) Hii inaonyesha picha nzuri sana jinsi gani tunavyoendesha mambo yetu. Quality, safety, na efficiency ni mambo ambayo hayamo katika utaratibu wetu utendaji kazi. Ni bahati nzuri sana kuwa usafiri wa anga unasimamiwa na chombo cha kimataifa, kama ingekuwa kusingekuwa na IATA ungeona bado air Tanzania ikiwa iko hewani. Tunafanya hivyo katika kila jambo letu: upangaji wa mipango miji yetu, uendeshaji wa shughuli za serikali, usimamizi wa wa ubora wa bidhaa zinazoingia nchini, usimamzi wa mikataba ya aina yoyote ile n.k.

(b) Nikisema kuwa hiyo yote inatokana na Rais wetu kuwa na madaraka makubwa sana, watu hawatanielewa. Hata hivyo ukweli ni kuwa kazi madaraka makubwa yote hapa nchini kwetu ni ya kuteuliwa ama na Rais au na mteule wa Rais, ikiwa ni pamoja na wakuu wa vyuo vikuu vya serikali (State Universities) !!! Dawa mojawapo kusaidia kuondokana na aibu za namna hii ni kumpunguzia rais wetu madaraka na kuhakikisha kuwa tuna tume imara ya utumishi serikalini (civil service commision) ambayo haiogopi kutetemeshwa na wanasiasa. Kuwepo kwa tume ya namna hiyo kutaimarisha sana utawala wa sheria, na vile vile kutahakikisha kuwa watu wanapewa madaraka kulingana na uwezo wao siyo kutokana na majina yao kama hawa akina Nyang'anyi; ni kweli alikuwa anatangaza RTD mwishoni mwa miaka ya sitini na mwanzoni mwa miaka ya sabini.

(c) Kitu kingine ambacho huenda tumewahi kukijadili ni kuhuzu utaratibu wa Rais kuteua Mawaziri kutokana na wabunge. Utaratibu huu umesababisha Bunge lisiwe na makali kwa vile kuna wabunge wanataka waonekane wazuri kwa serikali ili siku moja waukwae uwaziri. Kama Bunge lingekuwa na makali yake ya kikatiba sawasawa, tungeambiwa kwa kina ni kwa nini jamo hili lilitokea na kama utaratibu wa kistaarabu wa kuwajibia, ni lazima Waziri muhusika naye angehusika. Bunge linapokuwa kali, serikali huogopa na kuwa makini katika maamuzi yake.

(d) MWKJJ: Nyerere alisema pesa siyo msingi wa maendeleo. Viongozi wetu wanaabudu sana pesa ndiyo maana wanazunguka dunia nzima kuomba pesa; na wanapopata nafasi wanatuibia hizo hizo pesa (V.G. Cent) Bila pesa huwa hawawezi kufikiri namna nyingine ya kuendesha shirika kwa mafanikio. Hawajui kuwa pesa za kuendeshea bishara hutokana zaidi na mipango ya kibiashara ya kampuni kuliko pesa taslimu zinaazomilikiwa na kampuni hiyo. Kama ATCL ingekuwa na mipango imara ya kuendesha biashara, wasingeshindwa kwenda benki na kupata pesa za kuendesha biashara zao.
 
Sasa wao walikuwa wakurugenzi wa shirika linaloshunghulilkia usafiri wa anga, Na anga yenyewe ndio hiyo wamepigwa marufuku kuitumia, shirika halina biashara nyingine ya kufanya technically na wao ndio hawana shughuli ya kufanya hivyo waondoke tu, labda wazigeuze ndege kufanyia mradi wa kuku na bata mzinga sasa.
 

Hapana, Air Tanzania isingekuwa hewani.

Kampuni ya kitaifa (TCAA) ndio haswa lilianza kusitisha usafiri wa anga ndani na nje ya Tanzania kabla ya shirika la kimataifa (IATA.) Kwahiyo hata kama IATA isingetia neno la ku ground ndege zetu, bado Air Tanzania ingekuwa grounded!

I think a little credit to TCAA is appropriate, au?
 
Uthibitisho anaoutaka yeye ni upi?Its simple..Management goofed big time, the board failed to deal with them decisively and in a timely way.As a result ATCL has been grounded.No business means loss to the GOT.

Can we bring derivative suite against the board of directors for the loss the nation as suffered? These folks were to act as our agents with utmost good faith and loyalty as a result they milk ATCL to death.

JK may take is that this is another kind of abuse of power... I know the guys might claim that they are covered with business judgment rule but I am we can prove them wrong ....bring them to book and let embraces the rule of law and good governance
 



Hapana, Tafuta habari sawasawa ujue TCAA ilianzia wapi hadi kuzuia ATC isiruke hewani; haikuanzia kwao. Kama ulifuatilia hii thread hapa, utagundua kuwa TACL ilikaguliwa na IATA na kugundua makosa zaidi ya 500 ndipo TCAA ikaamua kufuta license yake huku ikijua wazi kabisa kuwa IATA nayo itatoa uamuzi wake siku chache zijazo. Kama TCAA ingekuwa macho vya kutosha isingeacha ATCL ifikishe makosa yote hayo 500!
 

halafu angalia hapa


if the hiring is as above then another richmond saga on the making a cool 40,000 usd a month on some peoples pockets.

Ndivyo nchi inavyoliwa na wenye meno makali
 
IF THE HIRING IS AS ABOVE THEN ANOTHER RICHMOND SAGA ON THE MAKING A COOL 40,000 USD A MONTH ON SOME PEOPLES POCKETS.

NDIVYO NCHI INAVYOLIWA NA WENYE MENO MAKALI

What the heck. Mr. President, I think hiyo safisha safisha ya mafisadi safari bado ndefu, naomba sasa hivi elekeza darubini yako kwenye watendaji wakuu wa ATCL pamoja na Bodi yote.
 
Hawa copycats wa logo za watu tuliwaona siku nyingi. Hakuna kitu pale ni changa la macho kuonyesha wanafanya kazi.

Hata walipolaza watu airport hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa juu yao...labda this time rais ataelewa hawa sio watu wa kuendesha shirika lile.
 
The spill over... (hivi Keko kuna vyumba vingapi kwa VIPs?) maana kuna orodha karibu ya watu kumi peke yake toka ATCL..wanakuja huko..

 
The spill over... (hivi Keko kuna vyumba vingapi kwa VIPs?) maana kuna orodha karibu ya watu kumi peke yake toka ATCL..wanakuja huko...


Why double standard kwenye hiyo idara ya magereza? mtuhumiwa anapewa VIP? labda kutengwa kwa sababu za usalama wao lakini hili la VIP, does not sink well into my mind.
 
This is when we need to ask Mheshimiwa tough questions. How can he promote tourism and invite foreign investors when we are failing to run electricity, water, railways, airways and soon roadways?

We know our health and education systems are in shambles. Not only that, most of commercial services and so is the government services are corrupt and full of bureaucracy!

Telll me with everyone getting a clear hi definition picture and ultra stereo sound like FMES sauti ya Umeme about ATC crisis, who with his right mind would like to take a trip to Tanzania?

What is the use to parade taxi cabs in London, New York, Tokyo, Rome, Paris and Berlin while we have nothing to offer?

Should we contract Preceision Air or Kenya Airways to run business on our behalf? guess who will get the revenue?

I curse to the sand that the begging bowl will get bigger next year. With ATCL getting suspended, we may loose at least 50% of our national revenue through tourism!

Mambo Bado....
 
Wakati huo huo KQ inapaa vizuri. This is very frustrating.


Kwa hiyo unakubaliana na jamaa wa Kenya wanaposema kuwa watanzania ni wajinga hawajui kutumia raslimali zao?

Kama kweli watanzania sisi siyo wajinga na wala hatukubaliani na upuuzi huo, je tutakubalina kuingia mitaani kuitaka serikali ituambie hela yetu ya kodi wanaitumiaje kama matokeo yenyewe ni haya. Huoni kuwa zoezi zima la ubinafshijai tangu lianze halijatusaidia watanzania ipasavyo ila faida zote zimekwenda mifukoni mwa viongozi. Pale Kenya wakati waziri alipotaka kujichukulia 2Gcent kwa kuuza hoteli akakabwa koo mpaka akatapika chengi zote? Lakini kwetu sisi jamaa anachukua 2Gcent na kutuficha nchi za nje na sote tunafahamu kabisa nchi nzima lakini bado tunamtetemekea, na hasa pale alipotuchinjia ngombe kila kijiji ndiyo tukasahau kabisa?
 
Lakini kwetu sisi jamaa anachukua 2Gcent na kutuficha nchi za nje na sote tunafahamu kabisa nchi nzima lakini bado tunamtetemekea, na hasa pale alipotuchinjia ngombe kila kijiji ndiyo tukasahau kabisa?

Mwalimu Kichuguu,

Ndivyo tulivyo....mazoea..
 
Me am totally frustrated! Kuna ufisadi mkubwa sana ATCL, hasa kipindi kile inavunjwa ndoa kati ya ATCL na SA. Kuna Binti mmoja Internal Auditor aliyeajiriwa muda si mrefu kutoka kampuni moja reputable ya ukaguzi wa mahesabu then akafichua mambo mengi. Baada ya miezi kadhaa wakamfukuza. Inasemekana binti huyo machachari ambaye anaipenda profession yake alikataa ku-agree to disagree then wakaamua kumfukuza... Yapo mengi sana pale.
 
...walisema kuwa Mattaka was so successful at PPF,na ATC would have been a piece of cake.Well,walisahau kitu kimoja,kuwa PPF alikuwa anakusanya michango ya wanachama,yeye kazi yale ni ku invest tu.Kapewa vyeo vikubwa...Managing Director&CEO. Akaanza kwa kujikopesha Mercedes Benz ML,na kununua ma Land Cruiser VX's toka Dubai.Its obvious kuwa aliingia na mentality ileile alikuwa nayo PPF.Alisahau kuwa ATC ilikuwa kwenye life support,yeye badala yake akaja kuingozea malaria juu! Hapa ndio huwa namkumbuka marehemu Sanare.
 

Napenda sana yule mtaalamu hapa anavyosema "ndivyo tulivyo".

Nadhani the law of the averages stands.

Tunaweza tukawa na watu wenye uelewa mzuri, lakini wengi wetu ndio kama vile. Kwa hivyo ingawa mmoja wetu anaweza akawa hayupo hivyo, on average ndivyo tulivyo.
 

Usiogope kutaja jina lake kama unalo. Kuwashambulia mabaradhuli kwa upande mmoja inahitajika, na kuwapa heshma yao watu wenye nyoyo safi ni wajibu pia. Hasa ukichukulia kwamba inaonekana watu wenye nyoyo safi are in short supply katika maeneo ya dunia tuliyojikuta tupo.
 
How things fell apart for ATCL

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…