ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu
Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu
Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache kama democrasia, haki za binadamu, kutunza mazingira n. K
Sasa huko Kwa mwarabu mtaishia kupewa tende, alkasusi, na vikoi