toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,632
Maeneo ya Kibangu Juu huku mitaa ya kwa Mdee, kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji.
Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio.
Dawasa mnajua kututesa sasa kesho tunaianza wiki ya 3 bila maji hata ya kidogo jamani ni haki hiyo?
Serikali mpo wapi? Hivi kweli mnajua kuwa wananchi wa kibangu hawana maji katika maeneo hayo nilotaja?