Dar mgao wa maji umeanza kimyakimya Serikali ipo kimya

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
Kuna mgao wa kimya kimya wa majj umeanza

Kuna maeneo mengi hayana maji leo ni wiki ya pili

Na kuna maeneo huku Goba maji imekua ni mgao sana.

Pia nimeskia kuna maeneo ya kimara baadhi hawana maji kabisa

Kuna maeneo ya Ubungo Makoka naskia wana wiki hawana maji

Nimesikia pia kuna maeneo baadhi ya Ubungo kibangu juu wana wiki ya tatu hawana maji

Nimeskia pia kuna baadhi ya maeneo ya Tabata kisukuru wana wiki bila maji

Pia maeneo ya kifuru naskia pia kuna shida ya maji

Nimeambiwa kuna baadhi ya sehemu za Bunju nako kuna shida za maji vilevile yanatoka baada ya siku 5

DAWASA semeni mmeshindwa kazi hili shirika bora wangepewa wazungu tu maana sisi ngozi nyeusi tumeshindwa!!
 
mjomba si unaona hali ya ukame mzee baba!!!..sio kwamba natetea,no......"use common sense!!
 
Ujenzi wa Bwawa la kidunda limeishia wapi?kama vipi wayatoe bwawa la nyerere huko rufiji.
 
Tunahitaji uwekezaji kwenye sekta ya maji pia
 
Kuna mgao wa kimya kimya wa majj umeanza

Kuna maeneo mengi hayana maji leo ni wiki ya pili

Na kuna maeneo huku Goba maji imekua ni mgao sana.

Pia nimeskia kuna maeneo ya kimara baadhi hawana maji kabisa

Kuna maeneo ya Ubungo Makoka naskia wana wiki hawana maji

Nimesikia pia kuna maeneo baadhi ya Ubungo kibangu juu wana wiki ya tatu hawana maji

Nimeskia pia kuna baadhi ya maeneo ya Tabata kisukuru wana wiki bila maji

Pia maeneo ya kifuru naskia pia kuna shida ya maji

Nimeambiwa kuna baadhi ya sehemu za Bunju nako kuna shida za maji vilevile yanatoka baada ya siku 5

DAWASA semeni mmeshindwa kazi hili shirika bora wangepewa wazungu tu maana sisi ngozi nyeusi tumeshindwa!!
Kwani saizi ni masika? Mgao uko Kila mahali kasoro Iringa
 
Na Umeme unakatwa pia kwa sana.. muda wowote sasa

Kazi iendelee...
 
Makabe,msakuzi,misumi,mpigi magoe,kwa lubaba n.k.haya maeneo hayajaungwa maji miaka 62 sasa ya uhuru.mvua ikinyesha ndo wanapata maji.watu wa maeneo haya washukuru tu kwa kuwa mvua hua inanyesha mara moja moja hata kipindi cha kiangazi.kila siku aweso nasifiwa wakati utendaji kazi wake ni sifuri kabisa
 
na bado waziri wa maji mama samia anamlea utafikiri nae mchengerwa
 
mjomba si unaona hali ya ukame mzee baba!!!..sio kwamba natetea,no......"use common sense!!
Wewe ni fala kabisa ni miezi mingapi tokea mvua zikate ni miezi miwili tu

Vipi tungekua nchi za jangwa kama za Uarabuni ambazo mito na maziwa hakuna?

Yaani wewe huna akili kabisa
 
okay!! basi zunguka uwanja wa mpira mara milioni moja,alafu nenda kakamulie jasho lako mto ruvu ili tupate maji!!..."mimi fala wewe mjanja"...wewe unafikiri kwa nini nchi za kiarabu zinabadilisha maji ya bahari na yanafaa kutumika!!!!!!!'''why wasisubiri mvua??? kwa sababu kwa hainyeshi wakaone watumie mbinu mmbadala!!!......sasa najua hapo kimoyomoyo ushajua baina yangu mimi na wewe nani fala!!!!!...moyo wako umeniambia wewe ndo fala!!ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Maji Hakuna Ila Mwisho Wa Mwezi Unaambiwa Umetumia Unit 2
Wizi Umerudi Kwa Kasi Sana, Wakati Wa Mzilankende Kama Hayakutoka Hakuna Kulipa
 
Back
Top Bottom