kiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima.
Sgr imesimama kuanzia tabora hafi uvinza tabora to isaka kimya
Uwanja wa mpira kimya hadi leo dodoma hakuna kitu wakati mlisema ujenzi unaanza mwezi wa 3 hakuna kifaa hata kimoja site.
UWANJA WA ARUSHA WATU HAWANA MIKATABA WALA OVER TIME HAZITHAMINIWI.
FUNDI ANALIPWA 12500 KIBARUA ANALIPWA 12500 NA HELA INATOLEWA MKONONI SERIKALI ONESHENI MAKALI YENU. SERIKALI MNAPOTEZA MAPATO MENGI.