Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.
Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.
MAMBO YA UADLIFU siyo lazima anayoyataka WARYOBA.
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.
Hii mijadala ni michache sana na hufanyika mara chachechache saaana. Nilifikiri sirikali ningekuwa na strategies za kuhakikisha usalama wa washiriki midahalo. Maandamano NO.... midahalo NO..... what is next
Kuna hadithi ya nyani kukosa wenzake msituni pale wanapoamua kumtenga kisa mahindi mabichi anapenda kula yeye tu. Anajiona kuwa bora zaidi kuliko nyani wote msituni.Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Embu fuatilia impact za kilimo kwanza uone ni jinsi gani wakulima wadogo walivyo nufaika awalili chakula tena sasa wanauliza masoko vijana wajisiriamali ndio wanatengenezwa sio kazi rahisi lakini tutafika na safari imeanza.
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.
Another bogus si ndio maana ya kuinada au we ushazoea kununua mbuzi wa kwenye magunia sito shangaa kama umeichangia CDM jana.
Kinachozuia na wewe kuwaelimisha wananchi kuhusu katiba mpya nini ili wajue haki zao zimekuwa deprived kivipi. Lakini habari za kusema wananchi walitaka ABC sijui CCM wamefanya hivi na vile ni upotoshaji na uchonganishi kazi ya tume imeisha mjadala sasa ni katiba iliyopo kama wengine awakutaka kushiriki kwa utashi wao kwanini waongope?
kwa huu usenqe-usenqe mimi naona sasa zipigwe tu..
Are you serious?Sina uhakika kama umewahi hata kufika huko vijijini.Pole ni bahati mbaya ukiwa CCM hutakiwi kuwa na mawazo binafsi.