Serikali kuwasajili na kuwapatia vitambulisho wakulima

Hio ni njia mbadala ya kupata mapato kutoka kwa wakulima, yajayo yanasikitisha.
Hii Avatar Imekaaje duh!
1546452012891.png
1546452012891.png
 
Ni kweli ukiwa katibu unakuwa mtaalam wa ujenzi wa bandari, reli, viwanja vya ndege.

Nakuunga mkono lazima akacheki ccm inavyotimiza ahadi.

Je hili la vitambulisho vya wakulima lipo kwenye ilani? Je serikali na ccm inatenganishwaje? Lakini kwa kutumia deductive reasoning ccm ndiyo serikali ya Tanzania.
Ameenda kukagua vitambulisho

Ilani sio lazima itaje vitambulisho, ilani itazungumzia uboreshaji na uwezeshaji kwa wakulima na kuwasaidia kuondoa migogorona wafugaji. Vitambulisho inaweza kuwa mbinu tu kuwezesha hayo.
 
Nijambo la kuchekesha sana ingawa linasikitisha.Waziri wa kilimo Japhet Asenga amesema sasa serikali yake itawasajiri wakulima na kuwapatia vitambulisho.sasa unajiuliza ni katika kuwasaidia kuimarisha kilimo au kuuza vitambulisho na kujipatia mapato baada ya kuona mapato yanashuka kila uchao?maana kwa mradi wa vitambulisho vya machinga wamepiga 13 billionView attachment 983857

-------------

Baada ya Serikali nchini Tanzania kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo 675,000, sasa inahamia kwa wakulima ambao nao watapatiwa vitambulisho na kusajiliwa.

Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Januari 2, 2019 mjini Dodoma na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga.

Amesema tayari taratibu zote zimekamilika na kinachotakiwa ni kuanza kazi ya kuwatambua na kuwasajili ili Serikali iweze kutambua idadi ya wakulima na uwezo wao wa kuzalisha.

Amesema mpango huo utasaidia wakulima kupata masoko ya mazao yao na nchi kujua ina kiasi gani cha chakula kwa ajili ya watu wake.

Kwa mujibu wa Hasunga, usajili huo utafanyika chini ya Wizara hiyo na bodi za mazao ambao wameelekezwa kutowabagua wakulima, kuhakikisha wanaosajiliwa ni wakulima.

“Katika hili tutataka kujua huyu mtu analima shamba lenye ukubwa wa kiasi gani na liko wapi, je anatarajia kuvuna kiasi gani katika msimu unaokuja,” amesema Hasunga.

Kuhusu gharama za vitambulisho, amesema Wizara inaacha jambo hilo kwa bodi za mazao, kwamba havitakuwa na bei kubwa.

“Hapana si kwamba tunarudisha kodi kwa mgongo wa nyuma, kinachofanyika ni kuwatambua na hizo gharama za vitambulisho hazitakuwa kubwa,” amesema Hasunga.

Chanzo: Mwananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema Shs Ngapi?
 
Wazungu wanatupa masharti magumu sana tunataka kuwaonyesha kuwa tunaweza bila wao.Tunataka watu wasiopungua 30milion walipe kodi ambayo ni rafiki isiyo na bughudha. Tax base lazima iwe 30milion hawa akilipa kodi ya flate rate ya machinga ya she. 20,000 serikali itakusanya kwa urahisi kabisa tshs.600,000,000,000 haya ni mapato mbali na kodi zingine.Tanzania inatarajiwa kuwa donor country
Serikali imekosa kabisa vyanzo vya mapato.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameenda kukagua vitambulisho

Ilani sio lazima itaje vitambulisho, ilani itazungumzia uboreshaji na uwezeshaji kwa wakulima na kuwasaidia kuondoa migogorona wafugaji. Vitambulisho inaweza kuwa mbinu tu kuwezesha hayo.
Serikali inataka wakulima na wafugaji wawe huru waondokane na kodi kero za huko vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameenda kukagua vitambulisho

Ilani sio lazima itaje vitambulisho, ilani itazungumzia uboreshaji na uwezeshaji kwa wakulima na kuwasaidia kuondoa migogorona wafugaji. Vitambulisho inaweza kuwa mbinu tu kuwezesha hayo.
Sawasawa, lakini unakubali kwa Japhet Hasunga ni mwanaccm? Sasa anapokuja na uboreshaji wa maisha ya wakulima kwa kugawa vitambulisho hawi muwakilishi wa chama chetu.

Baadaye akipongezwa kwa kukomboa wakulima tuseme safi hii ni ccm ya kiwango cha 4g?

Ila utakuta vitambulisho vinauzwa kwa shekeli ili wakulima tupate raha wakati wa kuuza mazao yetu.

Nampongeza nwanaccm Hasunga na Chama Cha Mapinduzi kwa ujumla
 
Kuwa mwana ccm kunahitaji ujitoe akili timamu
Sawasawa, lakini unakubali kwa Japhet Hasunga ni mwanaccm? Sasa anapokuja na uboreshaji wa maisha ya wakulima kwa kugawa vitambulisho hawi muwakilishi wa chama chetu.

Baadaye akipongezwa kwa kukomboa wakulima tuseme safi hii ni ccm ya kiwango cha 4g?

Ila utakuta vitambulisho vinauzwa kwa shekeli ili wakulima tupate raha wakati wa kuuza mazao yetu.

Nampongeza nwanaccm Hasunga na Chama Cha Mapinduzi kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kuna watu na viatu
Wazungu wanatupa masharti magumu sana tunataka kuwaonyesha kuwa tunaweza bila wao.Tunataka watu wasiopungua 30milion walipe kodi ambayo ni rafiki isiyo na bughudha. Tax base lazima iwe 30milion hawa akilipa kodi ya flate rate ya machinga ya she. 20,000 serikali itakusanya kwa urahisi kabisa tshs.600,000,000,000 haya ni mapato mbali na kodi zingine.Tanzania inatarajiwa kuwa donor country

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni upumbafu wa kiwango cha fly over. WatZ bana, wallet inajaa vitambulisho... Vya Taifa (NIDA), Kupigia kura, Mkulima, Biashara, kazi, bima ya afya, leseni ya gari, kadi ya benki hapo wengine wana kadi za benki tatu (CRDB, NMB, NBC, DTB etc).

Natamani nihame nchi....
 
Kila wizara imeambiwa itafute vyanzo vipya vya mapato na chanzo kipya alibuni mkulu mwenyewe Kwa kuwauzia watu vitambulisho visivyokua rasmi Kwa shilingi 20,000.
Hapo wameshapiga hesabu wakiamini %80 ya wananchi ni wakulima Tanzania inakisiwa kuwa na watu million 50 hivyo %80 ni watu 40 million Mara 20,000 Mara vitambulisho vya machinga vinavyotakiwa vigawiwe Kwa machinga million 2. Mengine jazia mwenyewe.

Kweli nchi hii siku si nyingi tutatoa misaada ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijambo la kuchekesha sana ingawa linasikitisha.Waziri wa kilimo Japhet Asenga amesema sasa serikali yake itawasajiri wakulima na kuwapatia vitambulisho.sasa unajiuliza ni katika kuwasaidia kuimarisha kilimo au kuuza vitambulisho na kujipatia mapato baada ya kuona mapato yanashuka kila uchao?maana kwa mradi wa vitambulisho vya machinga wamepiga 13 billionView attachment 983857

-------------

Baada ya Serikali nchini Tanzania kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo 675,000, sasa inahamia kwa wakulima ambao nao watapatiwa vitambulisho na kusajiliwa.

Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Januari 2, 2019 mjini Dodoma na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga.

Amesema tayari taratibu zote zimekamilika na kinachotakiwa ni kuanza kazi ya kuwatambua na kuwasajili ili Serikali iweze kutambua idadi ya wakulima na uwezo wao wa kuzalisha.

Amesema mpango huo utasaidia wakulima kupata masoko ya mazao yao na nchi kujua ina kiasi gani cha chakula kwa ajili ya watu wake.

Kwa mujibu wa Hasunga, usajili huo utafanyika chini ya Wizara hiyo na bodi za mazao ambao wameelekezwa kutowabagua wakulima, kuhakikisha wanaosajiliwa ni wakulima.

“Katika hili tutataka kujua huyu mtu analima shamba lenye ukubwa wa kiasi gani na liko wapi, je anatarajia kuvuna kiasi gani katika msimu unaokuja,” amesema Hasunga.

Kuhusu gharama za vitambulisho, amesema Wizara inaacha jambo hilo kwa bodi za mazao, kwamba havitakuwa na bei kubwa.

“Hapana si kwamba tunarudisha kodi kwa mgongo wa nyuma, kinachofanyika ni kuwatambua na hizo gharama za vitambulisho hazitakuwa kubwa,” amesema Hasunga.

Chanzo: Mwananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
unapofanya utafiti wa kitaaluma ni lazima uonyeshe tatizo la mada yako pasipo shaka na ithibitike kua hilo ni tatizo hivyo basi nimategemeo kwamba baada ya utafiti huo utakuja na mapendekezo ya kumaliza tatizo. Sasa nauliza je mh waziri ukitoa vitambulisho utakua umepunguza matatizo ya wakulima wa nchi hii kwa asilimia ngapi? Na je ni nani aliyekuambia kwamba shida ya wakulima wa nchi hii ni kukoswa vitambulisho??
 
Back
Top Bottom