Serikali kuwasajili na kuwapatia vitambulisho wakulima

Ni UHAKIKI...UHAKIKI...UHAKIKI...UHAKIKI...UHAKIKI....kila kona !!!
Kila siku ni uhakiki lakini HAKUNA UBORESHAJI hata kiduchu....!!!
Huu ni utawala wa Vichaa kuwahi kutokea Tanzania kama siyo duniani kote!!!
Hapo washapiga hesabu ya kujipatia fedha za uchaguzi na baada ya hapo wana watupa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapofanya utafiti wa kitaaluma ni lazima uonyeshe tatizo la mada yako pasipo shaka na ithibitike kua hilo ni tatizo hivyo basi nimategemeo kwamba baada ya utafiti huo utakuja na mapendekezo ya kumaliza tatizo. Sasa nauliza je mh waziri ukitoa vitambulisho utakua umepunguza matatizo ya wakulima wa nchi hii kwa asilimia ngapi? Na je ni nani aliyekuambia kwamba shida ya wakulima wa nchi hii ni kukoswa vitambulisho??
Pesa ya matumizi nyumbani inaachwa kutokana na idadi ya familia, kama hujui wapo wangapi sio rahisi kuwahudumia, Mataifa makubwa kila MTU analipa kodi kasoro watoto na vikongwe tu HUU UTAMADUNI WAKUCHUKIA KUJENGA TAIFA LAKO SIJUI TUMELISI WP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huduma za AFYA,shule, barabara,mahakama,polisi nk. zinatumiwa na watanzania wote kwanini zigaramiwe na watu wachache hasa wafanyakazi na wafanyabiashara??

Hongera sana Serekali yangu kwa kuwatambua wakulima ili nao wachangie pato la taifa letu sio sababu yakuwatweza wakulima wanaweza

View attachment 983930

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitambulisho au namba, kilimo chetu ni utumwa wa kisasa, kwa hiyo kuwapa namba ni kukamisha jina lao badala ya wakulima wanakuwa MANAMBA
 
Driving License, National ID, Voters Registration Card, Kitambulisho Cha Kazi, Kitambulisho cha Mfuko wa kijamii, ATM card, Passport, Kitambulisho cha Mmachinga, Kitambulisho cha Mkulima, Kitambulisho cha Ukaazi......huyu Huyu mtu mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijambo la kuchekesha sana ingawa linasikitisha.Waziri wa kilimo Japhet Asenga amesema sasa serikali yake itawasajiri wakulima na kuwapatia vitambulisho.sasa unajiuliza ni katika kuwasaidia kuimarisha kilimo au kuuza vitambulisho na kujipatia mapato baada ya kuona mapato yanashuka kila uchao?maana kwa mradi wa vitambulisho vya machinga wamepiga 13 billionView attachment 983857

-------------

Baada ya Serikali nchini Tanzania kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo 675,000, sasa inahamia kwa wakulima ambao nao watapatiwa vitambulisho na kusajiliwa.

Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Januari 2, 2019 mjini Dodoma na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga.

Amesema tayari taratibu zote zimekamilika na kinachotakiwa ni kuanza kazi ya kuwatambua na kuwasajili ili Serikali iweze kutambua idadi ya wakulima na uwezo wao wa kuzalisha.

Amesema mpango huo utasaidia wakulima kupata masoko ya mazao yao na nchi kujua ina kiasi gani cha chakula kwa ajili ya watu wake.

Kwa mujibu wa Hasunga, usajili huo utafanyika chini ya Wizara hiyo na bodi za mazao ambao wameelekezwa kutowabagua wakulima, kuhakikisha wanaosajiliwa ni wakulima.

“Katika hili tutataka kujua huyu mtu analima shamba lenye ukubwa wa kiasi gani na liko wapi, je anatarajia kuvuna kiasi gani katika msimu unaokuja,” amesema Hasunga.

Kuhusu gharama za vitambulisho, amesema Wizara inaacha jambo hilo kwa bodi za mazao, kwamba havitakuwa na bei kubwa.

“Hapana si kwamba tunarudisha kodi kwa mgongo wa nyuma, kinachofanyika ni kuwatambua na hizo gharama za vitambulisho hazitakuwa kubwa,” amesema Hasunga.

Chanzo: Mwananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ngonjera koroshow kwanza
 
Duuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali hii sasa imeamua kukusanya "Development Levy" kwa watu ambao hata haina msaada wowote kwao kwa kisingizio cha kuwasajili.

Kwa nini sasa wanafanya "Census" kila baada ya miaka kumi au wanashindwa nini kuwatumia wenyeviti wa vijiji kuwahesabu hao wakulima?

Baada ya kuchuniwa na wafadhili kwa kushindwa kuheshimu haki za watu wake, serikali iko desperate kutafuta vyanzo mbadala vya mapato na ndio maana inakuja na kisingizio cha usajili.

Kodi za wananchi zimekuwa zikitumiwa vibaya kwa mambo ya kijinga kama kununulia wapinzani na marudio ya chaguzi feki huku zingine zikiingizwa kwenye miradi isiyo na impact yoyote kwa ustawi wa wananchi na kuendelea kuongeza deni la taifa.

This ploy is very awkward and shallow in its perspective and definitely will not yield the desired result as it is reminiscent of the colonial era tactics applied by the colonialists to collect taxes from their subjects.
 
Vip wazurulaji na tuso na kazi, vyetu Lini?

Back
Top Bottom