thundercat8
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 310
- 677
1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni mataifa makubwa kama BRICS na mengineyo yameshtuka mapema yanataka kujitoa kwenye mfumo wa dollar ( dumping USD to buy gold) huku wakitengeneza currency yao itayoshindana na dollar.
2. Serikali ya TZ haina mgodi wa kuchimba hio dhahabu, wanainunua kama watu wengine wanavyonunua. Kumbuka tunapewa percent ya mapato kutoka kwenye migodi yetu in pesa not dhahabu. Bei ya dhahabu inapanda kwa kasi sana kiasi kwamba serikali itashindwa kuzinunua hizo dhahabu back because it will be more expensive to buy back.
3. He who has the gold makes the rules. Jua kwamba mataifa hayanunui dhahabu kama akiba wananunua ili siku mfumo wa pesa tulionao sasa ukifeli wawe wana mbadala wa pesa (gold is still money na ndio matumizi makubwa ya dhahabu achana na urembo ambao ni percent ndogo ya matumizi ) So kuuza dhahabu ni kuujirudisha umaskinini sana kwa sababu siku haya makaratasi wanayoprint stationery za BOT na FED America zikienda mrama, kama nchi itakua exposed kwenye umasikini makubwa sana.
Hoja ijibiwe kwa hoja