Chama dola kongwe kimeshindwa kuendesha nchi kiasi hata suala la sukari hawawezi kulipatia ufumbuzi.
Jawabu ni kuruhusu sukari iagizwe na hilo limeshindikana. TMA Mamlaka ya Hali ya Hewa ilitangaza mvua nyingi za El Niño, serikali ikashindwa kujipanga!
Ama kuna tatizo jingine la ukosefu wa akiba ya fedha za kigeni yaani dola ndiyo tatizo? Maana waagizaji bidhaa zingine pia wanalia muda mrefu unatumika kupata kiasi cha dola ili waagize vitu na bidhaa toka ngambo.
Ukosefu wa fedha za kigeni unatokana na utawala mbovu wa CCM usiokuwa na mipango ya kuhakikisha muda wote fedha za kigeni zipo za kutosha kulipia bidhaa, huduma, madawa, madeni ya taifa ya miundo-mbinu inayojengwa na kampuni za kigeni tunazozikaribisha kujenga reli, magati ya bandari n.k
Zigo hilo la mipango ya kuwa na sera ya fedha za kigeni za kutosha hawalisemi CCM badala yake wanakimbizana na wafanyabiashara wa sukari huku wakiwalaumu kuwa ndiyo kiini cha uhaba wa sukari.
Mambo haya yanajulikana na yalipaswa kuwemo ktk sera ya muda mrefu ya serikali makini kubalansi mahitaji ya kuagiza nje na uwezo wa kuzalisha fedha nyingi za kigeni kwa kuuza nje. Au kuzalisha bidhaa nyingi tunazoagiza nje hapahapa ndani na kuuza kwa wingi nje ili mizania ya fedha za kigeni ielemee uwingi wa akiba kwetu tuepukana na adha na aibu ya sukari ya kuagiza nje kwa muda mfupi.
Pia tunakosa fedha nyingi za kigeni kwa mikataba mibovu ya gesi na madini :

Kama Dhahabu ni pesa, kwanini tupokee mgao wa makaratasi Badala ya Dhahabu?
Zimbabwe imetengeneza sarafu ya Dhahabu yenye thamani sawa na USD 900 baada ya pesa Yao kutoimarika. Sie Watanzania tumebinafsisha migodi yetu, wachimbe pesa Kisha kutupa mgao wa makaratasi, tena Kwa makadirio na wakati mwingine wanatangaza HASARA na kubadili Majina Ili kukwepa Kodi mf Kutoka...
www.jamiiforums.com