BUNGENI: Serikali imeagiza sukari kutoka nje sababu ya uhaba

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema bungeni leo wakati akifanya majumuisho ya bajeti yake kuwa, Serikali imeagiza sukari nje ya nchi kuukabili uhaba wa bidhaa hiyo.

Amewaagiza maofisa biashara wa wilaya, mikoa na Taifa kukagua maghala yote ya wafanyabiashara walioficha sukari na kuwachukulia hatua.

Waziri Majaliwa alisema hayo leo asubuhi wakati akihitimisha mjadala wa hotuba ya mapato na matumizi ya ofisi yake na kuliomba Bunge likubali kupitisha.

Waziri Mkuu alisema ni kweli kwamba kuna upungufu wa sukari nchini, ingawa pia upo udanganyifu kwa baadhi ya wafanyabiashara.

13083086_10154138522619339_5652588224813364247_n.jpg

Beat around the bush - Means, "To talk about something without mentioning it directly or avoid getting to the core of the subject--to try to bring up a subject in a roundabout way."

Ni lini viongozi wa kiafrika wataanza kuwa na akili ya kudeal na core subjects?!

Core subject ni kuwa hatuna viwanda vya kuweza kuzalisha sukari kukidhi mahitaji ya taifa.

Sasa, wanaanza oh! Kuna watu wanahujumu ...

I won't buy this.!
 
Vp kuhusu bei? Hajagusia maana walitoa bei elekezi lakini huku mitaani bei imechumpa balaa.2400 kwa kilo
 
Beat around the bush - Means, "To talk about something without mentioning it directly or avoid getting to the core of the subject--to try to bring up a subject in a roundabout way."

Ni lini viongozi wa kiafrika wataanza kuwa na akili ya kudeal na core subjects?!

Core subject ni kuwa hatuna viwanda vya kuweza kuzalisha sukari kukidhi mahitaji ya taifa.

Sasa, wanaanza oh! Kuna watu wanahujumu ...

I won't buy this.!
Mimi binafsi nilishtuka pale Mkuu wetu alipotoa tamko nadhan wakati ule wa kuzungumza na wazee wa Dar. Lakini nilijaribu kufikiri kikawaida, nikaona kutakuja kutokea upungufu. Bado tuna mambo hatuko sawa. Na kwa kuwa amri ile iliashiria mtu kutumbuliwa majipu, nadhani hata washauri wakaona isiwe shida, muda utaamua.
Cha kujifunza hapa ni kuwa siyo kila kitu kinachotamkwa na mkubwa ni sahihi 100%,sote tukiwa kama binadam, tuna mapungufu. Hata kama inaweza kuwepo hujuma, kadri ya viwanda vyetu, havikidhi soko la ndani. Mahitaji ni makubwa. Kila ukienda duka la rejareja, sukari kwa Dar ni 2200-2300,yaani badala ishuke kutoka 2000,bali inapanda. Kuna mdau alidai huko Mwanza kwa jana bei ilifika 2700,nikaona kazi ipo.
Kwa ujumla nimpongeze PM na Serikali kwa uamuzi huo, ila monitoring iimarishwe ili wajanja wachache wasije kufanya ujanja ujanja
 
Beat around the bush - Means, "To talk about something without mentioning it directly or avoid getting to the core of the subject--to try to bring up a subject in a roundabout way."

Ni lini viongozi wa kiafrika wataanza kuwa na akili ya kudeal na core subjects?!

Core subject ni kuwa hatuna viwanda vya kuweza kuzalisha sukari kukidhi mahitaji ya taifa.

Sasa, wanaanza oh! Kuna watu wanahujumu ...

I won't buy this.!
Tatizo kubwa la watanzania mnapenda kuzungumzia kila kitu hata ambacho hamkijui vizuri.Mnakomenti kwa kila suala,na hapa inategemeana maana uelewa wa watu na tafsiri zao ni tofauti..Anyway serikali haikuzuia kuingiza sukari kutoka nje ila ni utaratibu tu wa utoaji vibali ulibadilishwa.
 
Back
Top Bottom