Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,423
- 106,058
Kama kwa umeme huu hawawezi kuzalisha kwa bei ya tija, wa nje waruhusiwe tu.Kwa umeme huu watashindana vipi bila kuwabeba labda waambiwe wafunge viwanda! Au serikali ipunguze makodi tuu!
Yani ni bora wananchi wapoze maumivu ya kutokuwa na umeme kwa chai yenye sukari, kuliko kukosa umeme na kukosa sukari pia.