Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Tunamshukuru rais samia
Hili la kelele NEMC wanastahili lawama amaaa kufutwa kabisa
Mbona kelele zimekuwepo sana, kwanza wapige marufuku kuhusu misikiti inayopiga kelele saa 10 usiku maana hao ndo hatari sana
Wameviweka vijitu vinaitwa bwana afya vinakula rushwa tu hamna kituBro kuna msikiti mmoja uko mtaani kwetu huku lizabon. Yaani ni kerooo
Apoteze cheo kwani kuna kipi kadanganya?
Huyo ni waziri kwahiyo wewe na yeye kuna utofauti mkubwa mno...kama hakuna huo ugaidi kwanini vijiji vilivyo wilaya ya newala kwa upande wa mpaka na msumbiji kuna operesheni kali mno zinafanyika sana? Namjua mwalimu wa shule ya msingi aliekaja kugongewa nyumba usiku na mpaka leo hajulikani aliko,kuna vijana kama 4 hivi wameshikwa majumbani kwao usiku kwa mfumo huohuo inakuja gari unagongewa nyumba unabebwa chini ya kipigo hatari sanakwa hiyo tunzania kuna ugaidi?
Ushoga na utoaji mimba japo ni dhambi kubwa ila athari zake sio kubwa kama ugaidiAngeonekana yuko siliasi na masilahi ya nchi iwapo angedhibiti kwanza ng`o zinazo fadhili ushoga na utoaji mimba zilizo jaa hapa nchini.
Huyo ni waziri kwahiyo wewe na yeye kuna utofauti mkubwa mno...kama hakuna huo ugaidi kwanini vijiji vilivyo wilaya ya newala kwa upande wa mpaka na msumbiji kuna operesheni kali mno zinafanyika sana? Namjua mwalimu wa shule ya msingi aliekaja kugongewa nyumba usiku na mpaka leo hajulikani aliko,kuna vijana kama 4 hivi wameshikwa majumbani kwao usiku kwa mfumo huohuo inakuja gari unagongewa nyumba unabebwa chini ya kipigo hatari sana
Hapo ndipo shida inapoanza sasa hebu nikupe homework kidogo kama upo mtwara mjini au kuna ndugu yako unayemjua muulize kisa kilichokatokea msikiti wa soko kuu halafu uje uandike tena ujinga wakowaglatia bana punguzeni chuki mkuu, zitakuuweni