Serikali kumwaga ajira za kutosha mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao

Nchi inaajiri kwa matakwa ya Rais, na siyo demand kwa ajili ya uchumi wa nchi.. Nchi mfu.
 
Vijana wote muwe na subira, kilio chenu Mh. Rais amesikia.

Ni wakati wa kujiandaa kwa ajili ya jjira zijazo. Ndugu zangu wa JF, msiwe wepesi wa kusema vibaya. Tanzania ni yetu sote.
mishahara mipya kashindwa hiyo ajira atawalipa nini
 
Back
Top Bottom