Serikali kumwaga ajira za kutosha mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao

Tangu 2016 nilishaandika humu ndani kuwa serikali hii hautathubutu kuajiri kwa idadi wanayoitangaza bungeni au mahali pengine popote. Ukiambiwa mwaka huu wa fedha ajira mpya zitakuwa 54 elfu basi hiyo number igawe kwa tatu au nne.
Msiamini kirahisi ahadi na kelele zao.
 
Back
Top Bottom