Yanalipwa kwa matamko na maandiko yaliyoeditiwa na rafiki wa Bashite.
Hovyo kabisa. Deni la zaidi ya trioni 1, kulipwa bilioni 2 tu, huku yakipigwa matarumbeta ya walinzi wa Bashite
hiyo list ya Halmashauri zilizolipwa mbn hatuioni na hayo malipo ni kwa walimu wale ambao walipandishwa madaraja kisha wakarudishwa katika madaraja ya zamani baada ya agizo la uhakiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.