Serikali kujenga daraja jipya katika mto Wami

Umeona eeeh bora walihamishe pale juu ilikuwa hatari hata wakandarasi wakiboronga lisiwe na madhara makubwa
Lile liachwe kabisa lisiguswe iwe choice ya mtu kuchagua wapi apite...

Mana ukweli ni kua hakuna makandarasi wa tanzania wanaoweza kujenga vitu imara kama vilivyojengwa na wakoloni ambao sio mamboleo!
 
Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo litaunganisha Barabara ya Chalinze - Segera na ujenzi huo utagharamiwa na serikali 100%.

#KaziItutambulishe #HapaKaziTu #JPMTena2020View attachment 865945
Duuuu litakuwa mbali sana Mita 670 mashariki.Nikama kuhamisha njia kabisa
 
Lile liachwe kabisa lisiguswe iwe choice ya mtu kuchagua wapi apite...

Mana ukweli ni kua hakuna makandarasi wa tanzania wanaoweza kujenga vitu imara kama vilivyojengwa na wakoloni ambao sio mamboleo!
Hyo la kuliacha ka lilivo ni good idea nakubaliana na wewe
 
Lile liachwe kabisa lisiguswe iwe choice ya mtu kuchagua wapi apite...

Mana ukweli ni kua hakuna makandarasi wa tanzania wanaoweza kujenga vitu imara kama vilivyojengwa na wakoloni ambao sio mamboleo!
Hivi kwanini tunajidharau sana?
 
Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo litaunganisha Barabara ya Chalinze - Segera na ujenzi huo utagharamiwa na serikali 100%.

#KaziItutambulishe #HapaKaziTu #JPMTena2020View attachment 865945
Hakuna kitu huwa kinaleta ukakasi kama kusema kwamba ujenzi utagharamiwa na serikali kwa 100% halafu unakuta siku ya ufunguzi shukrani zinaenda kwa serikali ya nchi fulani....
 
Mbona kama huo upana bado mdogo..

au hili la sasa lina upana gani?
Sijui upana wa hili la sasa,ila upana wa mita 11 unatosha kwa daraja maana upana wa gari la kawaida ni mita 2.6.
Hivyo kwa upana wa mita 11 unaweza pitisha magari mawili kwa pamoja yenye upana wa 3.5m (ABNORMAL WIDE LOAD).
 
Ila bora ilo la zamani la WAKOLONI ni imara kuliko hilo jipya la WACHINA featuring MAKANDARASI WAZALENDO itakua hatari zaidi!
Wacha kutuzarau kiasi hicho mkuu ujenzi ni ramani na wote tunafuata ramani. Na kila kitu kinahua kimeainishwa kwenye b o q. Inamana wazawa hatujui chochete?.
Kama hatujui kitu umewahi kujiuliza kama wanakuja na kibarua, fundi na mama lishe?.
 
Back
Top Bottom