Serikali kujenga daraja jipya katika mto Wami

Serikali kujenga daraja jipya katika mto Wami

Wacha kutuzarau kiasi hicho mkuu ujenzi ni ramani na wote tunafuata ramani. Na kila kitu kinahua kimeainishwa kwenye b o q. Inamana wazawa hatujui chochete?.
Kama hatujui kitu umewahi kujiuliza kama wanakuja na kibarua, fundi na mama lishe?.
Tatizo si ramani...tatizo vilaza wengi kwenye fani

Majengo yanaanguka tu ..ufa kibao mnaita expansion joints eti kujustify
 
Hivi kwanini tunajidharau sana?
Huwezi kublind yourself to the common-sense reality mkuu kwa kusifia sifia.....

Yani mtu anajenga jengo miezi miwi lina ufa...anakuja kusema ni expansion joints yet unataka tusiwadharau??

Majengo ya mjerumani mpaka leo miaka 100 baadae hayana hata ufa...

Haimake sense!
 
Tatizo si ramani...tatizo vilaza wengi kwenye fani

Majengo yanaanguka tu ..ufa kibao mnaita expansion joints eti kujustify
Nitake radhi hatujuani, wale wamejenga kisiasa na sio kitaalamu. Hivyo kunifananisha nao ni sawa na kunifananisha na mijinga ya ccm usinizoee na ujinga wako.
 
Huwezi kublind yourself to the common-sense reality mkuu kwa kusifia sifia.....

Yani mtu anajenga jengo miezi miwi lina ufa...anakuja kusema ni expansion joints yet unataka tusiwadharau??

Majengo ya mjerumani mpaka leo miaka 100 baadae hayana hata ufa...

Haimake sense!
Na huwezi kuhukumu fani nzima na taaluma ya nchi nzima kwa kosa la jengo moja. Hata huko ulikosema majengo yana miaka 100 yapo yanaanguka kwa makosa ya kibinadamu.
 
Utakuta wanatangaza hivyo hawana hata shilingi ili kupata kick za kisiasa..
 
Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo litaunganisha Barabara ya Chalinze - Segera na ujenzi huo utagharamiwa na serikali 100%.

#KaziItutambulishe #HapaKaziTu #JPMTena2020View attachment 865945
Kuna watu humuhumu JF walishawahi lalamika juu ya uhatarishi wa hilo daraja kwa watumiaji... Kutokana na kwamba ni la muda mrefu sana... nadhani wameyaona malalamiko hayo
 
Na huwezi kuhukumu fani nzima na taaluma ya nchi nzima kwa kosa la jengo moja. Hata huko ulikosema majengo yana miaka 100 yapo yanaanguka kwa makosa ya kibinadamu.
Sijasema "huko"....
nimesema majengo ya wakoloni hapa Tanganyika!

Huezi kulinganisha ubora wa miundo mbinu ya enzi za ukoloni na sasa hivi!

Anyway labda nikusaidie kuunga mkono jitihada za self-declared Kichaaa...kwa kusema okay fani ni nzuri
 
Habari njema, napita sasahv Wami kwakweli haka kadaraja kanatishia uhai wa wapitaji. Naomba serikali isisubiri mpk majanga yatokee ndio waanze.
 
Sijajua miaka yote hii walikuwa wanasubiri nini kujenga? Hivi Mbunge wa hilo Eneo anatoka chama gani?

Siku ilipotokea ajali hivi majuzi nilisema watatengeneza lingine baada ya ajali nyingine. Na kweli hatukuchelewa ikatokea ajali nyingine, at least sasa wameamka usingizi wa pono.
 
Duh afadhali. Siku hiyo nishafika katikati ya daraja alafu naona jamaa ametungua Scania anateremka nayo ikabidi tu nisimame katikati ya daraja huku mikono nimeweka kichwani...
 
Back
Top Bottom