Serikali kujenga daraja jipya katika mto Wami

Serikali kujenga daraja jipya katika mto Wami

Mradi huu ndio itakuwa kete muhimu 2020, kwakuwa miradi mingine yote inayoendelea ilikuwa ndoto za JK zinazokamilika kwenye awamu hii ya tano. Ujenzi na ukamilifu wake utazigusa siasa za Arusha, Kilimanjaro Tanga, na Dar es Salaam
 
Haya usisahau kupeleka tenda
Tenda za mradi huo siwezi pewa kamwe ndio maana nimejikita na wanaojielewa (kampuni za kitalii tena nyingi zikiwa za wageni) hakuna cha 10% wala nini ni mambo ya kuambiwa uliwahi fanya wapi na wapi basi.
Pia sina kampuni yenye vigezo vya kupewa mradi kama huo Usije ukaanza tena maneno, isipokua kufanya tunafanya sana tukiwa chini ya hizo kampuni kana sub.
 
Poa mkuu kila la kheri
 
Taarifa ingejamilika kama tungejua ni lini ujenzi unaanza.
ukifika Wami km unatoka msata kabla ya kufika darajani angalia upandecwa kushoto utaona wachina wamejenga kambi yao pale umbali km wa mita 500 kutoka barabarani,hii ni kumaanisha ujenzi umeshaanza
 
Back
Top Bottom