Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani
 
wamechelewa sana, kila mwl anasema ameumizwa vya kutosha hivyo anahitaji MABADILIKO!, hakika hali ni mbaya kwa pande ile zaidi ya vile unavyotegemea!
 
asikudanganye mtu kuwa wanaweza kulipa wiki ijayo,kwani nimemsikia madai mengi ni malimbikizo ya mshahara, haya yanalipwa pamoja na mshahara ,la kama mshahara utatoka wiki ijayo sawa
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Jasho letu tunachukua na kura zetu kwa Lowassa.Wametufanya misukule.Its too late,ndege imekwisharuka!!
 
Waache walipwe pesa zao, unawaonea gere hao?
 
Walimu tupokee then tule na tunywe vizuri (visivyokuwa vilevi) na tulale mapema usiku wa kuamkia tarehe 25 ili tuamke tukiwa na fresh mind na nguvu tele za kupiga kura kwa kuweka alama ya vema isiyotoka nje ya kibox kwa Wagombea wa CHADEMA.
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Ni madai halali ya walimu na nihaki yalipwe.

Lakini Watawalipa, Ila watazirudisha kinamna Wakiirudisha serikali hii madarakani.
Walimu acheni kugeuzwa MATAMBARA YA DEKI.
 
Ni vizuri sana kuwalipa ,kama wasingewalipa Serikali ya UKAWA ingewavuta ukosi wale wote waliohusika na malipo na kuwahoji.

CCM ijitahidi kulipa kila kitu kabla ya kuondolewa madarakani hapo 25 ,tunaelewa kifo cha CCM kimekaribia Wasije wakafa na madeni
 
chanzo cha taarifa yako kwanza kabla hatujaanza kujadili.

Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

ngoja wawalegezee nafuu ya maisha kwa wakati huu,ila walimu (mke wangu akiwa mmoja wapo) washafanya maamuzi,wanasubiri kutia tiki kwa jina la lowasa tu.kwishney.
ng'ombe hanenepi siku ya mnada
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Madeni kulipwa hakuna uhusiano na kampeni ni haki yao kupata.
 
Kuanzia wiki ijayo serikali itaanza kulipa madai ya walimu ambayo yanafikia bilion 32.wakuu nauliza hii sio kampeni chafu ya chama cha mapinduzi. Walikuwa wapi siku zote wasiwalipe hadi waje wawalipe wiki ijayo ilhali tayari kuna walimu wengine walishakufa wakiwa njiani kufuatilia madai yao. CCM acheni kampeni za kizamani

Tulisha amua.Wacha watupe haki yetu na uamuzi ni ule ule.
 
Back
Top Bottom