Serikali, kipeni chuo cha SUA tenda ya kupandikiza michikichi nchi nzima!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa mafuta hapa nchini, ninaiomba serikali iipe mradi chuo cha SUA wenye thamani angalau ya bilioni 50 kupandikiza miti ya michikichi nchi nzima kwa kila mwananchi atakayetaka hasa katika mikoa ya Kigoma, Tanga na Mbeya ili baada ya miaka kumi tusiwe na tatizo la mafuta na hii itawasaidia wananchi kuinuka kiuchumi.

Mradi huu utahusisha kuotesha mbegu na kupandikiza miti angalau kumi hadi mia kwa kila mwananchi mwenye ardhi bila malipo.

Kupiga hatua ni sasa na kupanga ni kuchagua.
 
Waanze na zile trilion 1.5 walizofyonza kama funza au kupe
 
Ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa mafuta hapa nchini, ninaiomba serikali iipe mradi chuo cha SUA wenye thamani angalau ya bilioni 50 kupandikiza miti ya michikichi nchi nzima kwa kila mwananchi atakayetaka hasa katika mikoa ya Kigoma, Tanga na Mbeya ili baada ya miaka kumi tusiwe na tatizo la mafuta na hii itawasaidia wananchi kuinuka kiuchumi.

Mradi huu utahusisha kuotesha mbegu na kupandikiza miti angalau kumi hadi mia kwa kila mwananchi mwenye ardhi bila malipo.

Kupiga hatua ni sasa na kupanga ni kuchagua.
Wameshindwa kuendeleza alizeti, mawese, parachichi, ufuta na karanga. Kuwapa 50b itakuwa ni sawa na kuzichoma moto au kuamua kuzawadia kikundi.
 
Back
Top Bottom