Serikali Izuie Watu Kuja Dar...

Serikali Izuie Watu Kuja Dar...

Ukiisoma katiba ya Tanzania kuna guaranteed freedom of movement kwa Watanzania.

Huwezi kukataza watu kuja Dar, Tanzania hatuna udikteta kama China.

Anzishwni mashamba makubwa nje ya Dar muwape watu kazi, watakuwa wapo karibu na Dar na pia wana kazi.

Vinginevyo wapelekeeni huduma muhimu huko vijijini.

Sio mnawanyima huduma.muhimu vijijijini, wakizifuata mjini mnawasimanga.

Kama wenyewe ambao Dar ni kwetu kabla Azania Front haijajengwa tungetaka kuendekeza kukataza watu kuja Dar Nyerere asingejua kuvaa suruali.

Watu tuna pedigree Dar kabla Misheni kota haijajengwa, tangu Wanyamwezi hawajaenda kulima viazi kinyasini, tangu kabla Shomvi hajatupa Mzizima.

Na huwezi kusikia tunakataza watu kuja mjini, sanasana tutatafuta viunga vingine tu.

That was just a mumbo jumbo! Dar yenyewe anaijua?
 
Wakazi wote wa Dar tupewe vitambulisho special.., hakuna kuingia Dar kama huna hicho kitambulisho.., unless uwe umepata kazi huku au unamwaliko maalumu kutoka kwa mwana Dar.., na hiyo shughuli iliyokuleta ikiisha unarudi ulikotoka.., TUMEJAAA...!!
 
Sasa inakuaje kwa mimi nnayetaka kuja kujenga kibanda changu hapo kigamboni,
 
Kama Dar kwenu kweli kabisa huwezi kuwa na mawazo ya kiduwanzi kiasi hiki!!!!!

Watu wenyewe wa Dar ya tangu enzi za Shomvi anatoka Barawa, tangu enzi za Sayyidina Said Majid, tangu enzi za Dr. Seward na Pazi Mazungera, tangu enzi za Jumbe Tambaza huwezi kutusikia tunaongea maneno mbofumbofu.

Ni hawa wa kuja juzi na mbio za Mwenge hata ukiwauliza Odeon iko wapi, City Drive imeanzia wapi na kuishia wapi na kwa nini imebadilishwa jina? Kitchwele ni wapi? Mwembetogwa pako wapi? Mchafukoge inaanzia wapi na kuishia wapi?

Mtu hajui Aga Khan kauziwa na nani uwanja wa kujenga shule, au kwa nini Salender Bridge linaitwa Salender Bridge.

Mtu hajui Tangi Bovu liko wapi, na kwa nini kwa Sykes kunaitwa kwa Sykes.

Hamjui Mwanamboka alianzia wapi, Mengi alijaza wino kwenye peni nyumbani kwake wapi, wala kiosk cha kwanza cha Bakhressa kilikuwa wapi.

Mtu hajui Saigoni iko wapi, na chapati kwa mchuzi inaliwaje.

Hamjui Sykes wala Mwinyijuma, Chamgui wala Rupia.

Hana historia ya familia Misheni kota wala Gerezani.

Watoto hawajui hata historia ya Jumbe Tambaza alivyomtilia ngumu Carl Peters kuuza vijiji vya Mzi Mzima kwa rupia 15 kila kijiji.

Leo wanataka kukuambia Dar es salaam kwao wanakataza wengine wasije.

By Tambaza na mimi nikirudi naweza kuitwa mgeni wakati babu wa Bibi yangu kajenga Azania Front mpaka kulimaliza 1903 !

Sasa kama.wenye mji wenyewe hatuwezi kukataza wagenu, mshihiri gani wa kutoka wapu anaweza kujipakazia yeye Dar ndio kwao?
 
Watu weniyewe wa Dar ya tangu enzi za Shomvi anatoka Barawa, tangu enzi za Sayyidina Said Majid, tangu enzi za Dr. Seward na Pazi Mazungera, tangu enzi za Jumbe Tambaza huwezi kutusikia tunaongea maneno mbofumbofu.

Ni hawa wa kuja juzi na mbio za Mwenge hata ukiwauliza Odeon iko wapi, City Drive imeanzia wapi na kuishia wapi na kwa nini imebadiloshwa jina? Kitchwele ni wapi? Mwembetogwa pako wapi? Mchafukoge inaanzia wapi na kuishia wapi?

Mtu hajui Aga Khan kauziw na nani uwanja wa kujenga shule, au kwa nini Salender Bridge linaotwa Salender Bridge.

Hamjui Sykes wala Mwinyijuma, Chamgui wala Rupia.

Hana historia ya familia Misheni kota wala Gerezani.

Watoto hawajui hata historia ya Jumbe Tambaza alivyomtilia ngumu Carl Peters kuuza vijiji vya Mzi Mzima kwa rupia 15 kila kijiji.

Leo wanataka kukuambia Dar es salaam kwao wanakataza wengine wasije.

By Tambaza na mimi nikirudi naweza kuitwa mgeni wakati babu wa Bibi yangu kajenga Azania Front mpaka kulimaliza 1903 !

Sasa kama.wenye mji wenyewe hatuwezi kukataza wagenu, mshihiri gani wa kutoka wapu anaweza kujipakazia yeye Dar ndio kwao?
Dude you need to write a book about history of Dar...mimi nimezaliwa Gerezani but kuna vingi umeongea sivijui.
 
mie wala sina hamu na jiji lenu. hamna ukarimu, wachoyo, roho mbaya, chakula rakaa mbili, dhiki zimewajaa, uchafu, joto, mafuriko, ushoga, madawa ya kulevya, ukahaba na kadhalika. nani aje? kaeni wenyewe mie wala sina haja na sitaki kabisa kuja Dar.
 
Watu wenyewe wa Dar ya tangu enzi za Shomvi anatoka Barawa, tangu enzi za Sayyidina Said Majid, tangu enzi za Dr. Seward na Pazi Mazungera, tangu enzi za Jumbe Tambaza huwezi kutusikia tunaongea maneno mbofumbofu.

Ni hawa wa kuja juzi na mbio za Mwenge hata ukiwauliza Odeon iko wapi, City Drive imeanzia wapi na kuishia wapi na kwa nini imebadilishwa jina? Kitchwele ni wapi? Mwembetogwa pako wapi? Mchafukoge inaanzia wapi na kuishia wapi?

Mtu hajui Aga Khan kauziw na nani uwanja wa kujenga shule, au kwa nini Salender Bridge linaotwa Salender Bridge.

Hamjui Sykes wala Mwinyijuma, Chamgui wala Rupia.

Hana historia ya familia Misheni kota wala Gerezani.

Watoto hawajui hata historia ya Jumbe Tambaza alivyomtilia ngumu Carl Peters kuuza vijiji vya Mzi Mzima kwa rupia 15 kila kijiji.

Leo wanataka kukuambia Dar es salaam kwao wanakataza wengine wasije.

By Tambaza na mimi nikirudi naweza kuitwa mgeni wakati babu wa Bibi yangu kajenga Azania Front mpaka kulimaliza 1903 !

Sasa kama.wenye mji wenyewe hatuwezi kukataza wagenu, mshihiri gani wa kutoka wapu anaweza kujipakazia yeye Dar ndio kwao?

Duuh.., Kumbe we ushazeeka.., rudi kijijini kwenu
 
mie wala sina hamu na jiji lenu. hamna ukarimu, wachoyo, roho mbaya, chakula rakaa mbili, dhiki zimewajaa, uchafu, joto, mafuriko, ushoga, madawa ya kulevya, ukahaba na kadhalika. nani aje? kaeni wenyewe mie wala sina haja na sitaki kabisa kuja Dar.

Aya nenda mumbai basi..
 
Watu wenyewe wa Dar ya tangu enzi za Shomvi anatoka Barawa, tangu enzi za Sayyidina Said Majid, tangu enzi za Dr. Seward na Pazi Mazungera, tangu enzi za Jumbe Tambaza huwezi kutusikia tunaongea maneno mbofumbofu.

Ni hawa wa kuja juzi na mbio za Mwenge hata ukiwauliza Odeon iko wapi, City Drive imeanzia wapi na kuishia wapi na kwa nini imebadilishwa jina? Kitchwele ni wapi? Mwembetogwa pako wapi? Mchafukoge inaanzia wapi na kuishia wapi?

Mtu hajui Aga Khan kauziwa na nani uwanja wa kujenga shule, au kwa nini Salender Bridge linaitwa Salender Bridge.

Mtu hajui Tangi Bovu liko wapi, na kwa nini kwa Sykes kunaitwa kwa Sykes.

Hamjui Mwanamboka alianzia wapi, Mengi alijaza wino kwenye peni nyumbani kwake wapi, wala kiosk cha kwanza cha Bakhressa kilikuwa wapi.

Mtu hajui Saigoni iko wapi, na chapati kwa mchuzi inaliwaje.

Hamjui Sykes wala Mwinyijuma, Chamgui wala Rupia.

Hana historia ya familia Misheni kota wala Gerezani.

Watoto hawajui hata historia ya Jumbe Tambaza alivyomtilia ngumu Carl Peters kuuza vijiji vya Mzi Mzima kwa rupia 15 kila kijiji.

Leo wanataka kukuambia Dar es salaam kwao wanakataza wengine wasije.

By Tambaza na mimi nikirudi naweza kuitwa mgeni wakati babu wa Bibi yangu kajenga Azania Front mpaka kulimaliza 1903 !

Sasa kama.wenye mji wenyewe hatuwezi kukataza wagenu, mshihiri gani wa kutoka wapu anaweza kujipakazia yeye Dar ndio kwao?

mkuu umesahau Starlight, mtaa wa Idirisa na Dosi Magomeni.
New Chox, Social halls za hapo mjini......
 
Dude you need to write a book about history of Dar...mimi nimezaliwa Gerezani but kuna vingi umeongea sivijui.

Mtu hana hata babu mmoja aliyekuwa na property Kariakoo halafu naye anajitutumua eti kukataza watu wasije Dar.

Wenyewe wenye historia zetu kuanzia Misheni Kota mpaka Mwembetogwa, Mtaa wa Togo mpaka Yombo Vituka tumekaa kimya tu.

Gerezani Relini pale, unaweza kula boda ukajishtukia.uko bandarini. Nilikuwa sikosi kwenda kumuangalia Stanley Mabesi, upande wa pili kwa kina Mwamba, ukitoka kuangalia ngumi unaenda kumsalimia auntie na kuchukua kuku, hapa mbele DT Dobie, ukikata mara umetokea misheni kota, mara uko Mwembetogwa.

Jumamosi jumba la Korea kwenda kujifunza ala za muziki na kusoma manoti.

Sio siku hizi watoto wanakimbilia kuwa wanamuziki hata kusoma muziki hawawezi.

Dar ndiyo Tanzania bwana.

Siku.wakikataza watu kuja New York City let's talk about kukataza watu kuja Dar.

They don't call it Bongo New York for nothing.
 
mkuu umesahau Starlight, mtaa wa Idirisa na Dosi Magomeni.
New Chox, Social halls za hapo mjini......

Nshaenda kuangalia "Bedroom Eyes" hapo ndani ya Empress, na "Never Say Never Again" ndani ya Empire.

Huku nna John Rupia, huku nna Jeshi.

Mkavirondo anayekataza watu wasije mjini alikuwa tarafa gani enzi hiyo?
 
Wakazi wote wa Dar tupewe vitambulisho special.., hakuna kuingia Dar kama huna hicho kitambulisho.., unless uwe umepata kazi huku au unamwaliko maalumu kutoka kwa mwana Dar.., na hiyo shughuli iliyokuleta ikiisha unarudi ulikotoka.., TUMEJAAA...!!

Unaomba kitu ambacho hakitakuja tokea unless mjitangazie Uhuru!
 
Mtu hana hata babu mmoja aliyekuwa na property Kariakoo halafu naye anajitutumua eti kukataza watu wasije Dar.

Wenyewe wenye historia zetu kuanzia Misheni Kota mpaka Mwembetogwa, Mtaa wa Togo mpaka Yombo Vituka tumekaa kimya tu.

Gerezani Relini pale, unaweza kula boda ukajishtukia.uko bandarini. Nilikuwa sikosi kwenda kumuangalia Stanley Mabesi, upande wa pili kwa kina Mwamba, ukitoka kuangalia ngumi unaenda kumsalimia auntie na kuchukua kuku, hapa mbele DT Dobie, ukikata mara umetokea misheni kota, mara uko Mwembetogwa.

Jumamosi jumba la Korea kwenda kujifunza ala za muziki na kusoma manoti.

Sio siku hizi watoto wanakimbilia kuwa wanamuziki hata kusoma muziki hawawezi.

Dar ndiyo Tanzania bwana.

Siku.wakikataza watu kuja New York City let's talk about kukataza watu kuja Dar.

They don't call it Bongo New York for nothing.
Dah usikute tunajuana aisee jana nimeongea na Mwamba anaishi Kigamboni these days
 
Watu wenyewe wa Dar ya
tangu enzi za Shomvi anatoka Barawa, tangu enzi za Sayyidina Said Majid,
tangu enzi za Dr. Seward na Pazi Mazungera, tangu enzi za Jumbe Tambaza
huwezi kutusikia tunaongea maneno mbofumbofu.

Ni hawa wa kuja juzi na mbio za Mwenge hata ukiwauliza Odeon iko wapi,
City Drive imeanzia wapi na kuishia wapi na kwa nini imebadilishwa jina?
Kitchwele ni wapi? Mwembetogwa pako wapi? Mchafukoge inaanzia wapi na
kuishia wapi?

Mtu hajui Aga Khan kauziwa na nani uwanja wa kujenga shule, au kwa nini
Salender Bridge linaitwa Salender Bridge.

Mtu hajui Tangi Bovu liko wapi, na kwa nini kwa Sykes kunaitwa kwa
Sykes.

Hamjui Mwanamboka alianzia wapi, Mengi alijaza wino kwenye peni nyumbani
kwake wapi, wala kiosk cha kwanza cha Bakhressa kilikuwa wapi.

Mtu hajui Saigoni iko wapi, na chapati kwa mchuzi inaliwaje.

Hamjui Sykes wala Mwinyijuma, Chamgui wala Rupia.

Hana historia ya familia Misheni kota wala Gerezani.

Watoto hawajui hata historia ya Jumbe Tambaza alivyomtilia ngumu Carl
Peters kuuza vijiji vya Mzi Mzima kwa rupia 15 kila kijiji.

Leo wanataka kukuambia Dar es salaam kwao wanakataza wengine wasije.

By Tambaza na mimi nikirudi naweza kuitwa mgeni wakati babu wa Bibi
yangu kajenga Azania Front mpaka kulimaliza 1903 !

Sasa kama.wenye mji wenyewe hatuwezi kukataza wagenu, mshihiri gani wa
kutoka wapu anaweza kujipakazia yeye Dar ndio kwao?

we kweli mwana daslam
 
Dah usikute tunajuana aisee jana nimeongea na Mwamba anaishi Kigamboni these days

Duh,

Tunajuana.

Mshua wake nilisikia alifariki.

Kule Tabata walihama?

Au ndo kabaki mama na madogo?
 
Duh,

Tunajuana.

Mshua wake nilisikia alifariki.

Kule Tabata walihama?

Au ndo kabaki mama na madogo?

Walihama na mimi niliongea nae juu juu sikutulia tulipishana kivukoni ..msiba sikusikia could be
 
Yeah, mimi niliambiwa nilivyoongea na home, tena kama mwaka au zaidi umepita hivi.

Sasa unakutana na mtu alwatan anaijua Dar kama hivyo, ukimtajia kitongoji tu anakutajia vijana wa mitaa hiyo maaruf wa kipindi.

Hao wajanja wa mjini wote kama.si.kaka.zetu tumewaona wanachipukia basi tumecheza nao na kuwafundisha mambo.

Halafu mtu kama huyu ambaye ndiye anaweza kusema ana historia ya kusema Dar kwao na kama kufunga geti aweze, lakini humsikii kufanya hivyo.

Anakuja mtu tu hata ukimuuliza boda la kutoka Bungoni kwenda Hospitali ya Muhimbili kwa shortcut kwa mguu utapita wapi hajui!

Na yeye anataka kujifanya Dar kwao?
 
Back
Top Bottom