Serikali Izuie Watu Kuja Dar...

Serikali Izuie Watu Kuja Dar...

Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

Halafu dar yenyewe unakaa kwa shemeji alipo olewa dada yako chumba na sebule,una lala sebuleni wa mwisho kulala wa kwanza kuamka teh teh teh.
 
Ni kweli kabisa waende makwao wanatufanyia fujo enzi za nyerere hua wanarudishwa makwao kila kabila ..tuacheni dar yetu.
 
huyu jamaa anachekesha, yeye kaja dar kwa ajili ya chuo duce...sasa anakaa uswahilini gani huko anaona pamejaa ndio eti wengine wasije..
wenzio tunafanya kazi dar makazi nje mji...tutakurudisha kwenu...
 
Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

umeununua huo mkoa?
 
......Achaneni na Mourinho...sikiliza kisa hiki cha kusisimua kilitokea Keko miaka ya nyuma....Timu ya Ubatani na Bogota zilicheza mechi ya robo fainali kugombea seti ya TV....mechi ikaenda katika hatua ya matuta lakini giza likaingia mechi ikalala. wachezaji wa Ubatani wakawa wameingiwa na uoga kurudiana penalti kesho yake asubuhi. Jamaa mmoja anaitwa Jabir Rumba anachezea ubatani akaona wenzake wajinga. asubuhi peke yake akachukua jezi ya kipa na mpira akaenda uwanjani akakutana jamaa wa Bogota wote wapo uwanjani na refa. akawaambia anawakilisha timu yake penalti zipigwe. yeye mwenyewe akawa kipa akapangua penalti tatu, na akapiga zote za timu yake akatupia nne. Mida ya saa nne asubuhi anarudi mtaani..wenzake wanashangaa kachafuka.. akawaambia 'Tumepita tunacheza nusu fainali'.....Jamaa nimemuingiza katika orodha ya mashujaa wangu wa SOKA!!! tehe tehe tehe
ukistaajabu ya Musa utaona ya huyo mchezaji, hata kama umeframe stori lakini imenifurahisha sana
 
Wangekatazwa kabla wewe hujaja ungefurahi?

Ungesema huduma muhimu za kiofisi zihamishiwe mikoa mingine ningekuelewa!
HQ karibu za huduma mblimbali za kiofisi zipo dar na zinahitajika na watu kibao mikoani!
-Mtu anafata ubalozi wa nchi fulani dar kwa hiyo anyimwe kuja?
-Mtu anahitaji kwenda wizara fulani kuna huduma anahitaji na yeye anyimwe kuja dar?
-vyuo visipokee tena wanafunzi kutoka mikoani?
-Muhimbili TMJ, Regency na Ocean road zisitibu tena watu kutoka mikoani?
-Wafanyabiashara wasije kuchukua mizigo yao bandarini na kariakoo?
-vyakula na matunda visiletwe kutoka nje ya dar?

KINACHOPELEKA WATU SEHEMU NI HUDUMA ZILIZOPO, HIZO HUDUMA ZIKITAWANYWA NA MAENEO MENGINE WATU NAO WATATAWANYIKA TU!
 
bora iwe hivyo mkuu hawa watu wa bara wamekuwa wengi mno au wawe wanaingia kwa passport na visa
 
Kama Dar kwenu kweli kabisa huwezi kuwa na mawazo ya kiduwanzi kiasi hiki!!!!!
 
Hahaha, inabidi chalinze watu waonyeshe work permits lol. Ila wa kwanza kutimuliwa wabunge na mawaziri
 
Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

Na wewe utarudi kwenu kwanza au kwakuwa wewe umeshagika Dar ndio wenzio wazuiwe?
 
Hii ni kali! Umetisha!

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?[/SIZE
 
Sijui ma------ yana kazi gani tena kama watu wameanza kuyatumia kama ubongo!
 
We unayetaka watu wasije dar kabila gani? Coz mji wa wazaramo. Huo so kama we c kabila hilo nawe rudi mkoani kwako
 
Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?
Hakika dar ni janga au ukipenda bomu. Watu wengi wamekimbia toka mikoani na kuja dar ambapo wanaishi katika mazingira na makazi duni kabisa. Sera mbovu isiyowapa matumaini wananchi vijijini inasababisha watu kukimbilia dar na kujikuta wanaishi katika mazingira ya ovyo aheri ya vijijini.
 
Nafikiri wakati umefika sasa kwa Serikali ianze kuzuia watu kutoka Mikoani kuja Dar, tumetosha sasa! ikiwezekana Waruhusiwe wale tu ambao wamepata kazi au walioitwa kwenye usahili... Hali inatisha sana ukienda Ubungo Mabasi yanakuja yamejaa na yanaondoka tupu, kwa nini hamkai huko Mikoani mbona mnatutambia kuna kuna Hali ya Hewa nzuri, sasa ni nini kinawaleta Dar?

Inaonekana Leo ulikaa sana katika foleni ndugu yangu hadi ukafika hata kuandika hii thread. pole sana. Amia mkoa kama Dar unaona ni kero
 
Back
Top Bottom