Serikali iwe makini na mapokezi ya Lissu, msisubiri hali ikiwa tete

Kwa hiyo mhalifu asikamatwe kisa kuogopa siasa!!!!!

Kuwa ukiwa kwenye uchaguzi wanasiasa ruksa kufanya uhalifu na sheria hazitakiwi kufanya kazi zinatakiwa zisimame zisubiri uchaguzi upite!!! hakuna kitu kama hicho Lisu akifika ni kukamata na kupeleka segerea.Sheria huwa hazisimami na mahakama na rumande huwa zinaendelea kama kawaida kupokea wahalifu

Itabidi udhaifu wa mgombea wenu muufiche kwenye matumizi mabaya ya sheria. Na hiyo ndio mbinu yenu pekee. Ila hata Elibashir alifanya kama nyie, saa hii anasubiri kuhukumiwa.
 
Wakuu wa vyombo vyote vya Ulinz tafadhalini mulikeni kwa ukaribu sana mapokez ya mtu anaitwa Lisu
Njia zakufanya fanyeni kama Mossad walivyo weza peleka watu wao kwenye vikao vya siri vya Ussr jambo lilisaidia cia kupata mipango hatari ya Ussr ya zamani.

Pia mulikeni makundi special ya...

Pia kuna key people mnaitaji kuwafuwatilia kwa umakini sana mwisho mtanielewa mm natoa ushauri kutokana na kufuwatilia menendo ya mada kutoka blog tofauti nikaja na hii solutution. Huwitaji kupulizia upupu watu wengi wasio juwa wanaenda wapi mpulizie upupu mpangaji wa mipango arudi nyumbani akakunwe na familia yake.

Najuwa na hili nalo litapita.
Debe linakuhusu😃
Halafu mikesi yake haijaisha....
🤔🤔
 
Unaharisha sana , tatizo nini ?
 
Kama mchawi fulani hivi. Ungekuwa ni wewe unarudi kwenu Magu, ungejisikiaje kufanyiwa haya uliyoyaeleza.
 
Mwandishi utakuwa umekunywa supu ya utumbo asubuhi hii ndiyo maana,ulichoandika ni utumbo mtupu.

Uwe unakumbwa chai,yakuwa janja janja...sikia veve toto jinga?
 
Rai yangu kwa Igp na jeshi LA polis, msidanganywe kuanzisha vurugu kwenye mapokezi ya lissu, jukumu lenu Ni kuweka ulinzi ili mapokezi hayo yafanikiwe, mtakuwa mfano Wa kuigwa.Ushauri wangu jeshi LA polis kaeni na viongozi Wa chadema pangeni utaratibu jinsi mapokezi hayo yatakavyoratibiwa, ikiwemo na njia zitakazotumika.Itakuwa jambo LA hovyo sana polis kuanza kukamata na kupiga watu Siku hiyo.RAIA wengi wanasema chanzo kikubwa cha vurugu wakati mwingine Ni jeshi LA polis.Polis mnaweza tenga Massa 2 tu kusimamia mapokezi ya lissu kisha shughuli zikaendelea.jukumu kuu LA jeshi LA polis Ni kulinda RAIA na Mali zao na so vinginevyo.Hoja za kisiasa waachieni wenyewe wanasiasa wajibizane.
 
Wakuu wa vyombo vyote vya Ulinz tafadhalini mulikeni kwa ukaribu sana mapokez ya mtu anaitwa Lisu
Njia zakufanya fanyeni kama Mossad walivyo weza peleka watu wao kwenye vikao vya siri vya Ussr jambo lilisaidia cia kupata mipango hatari ya Ussr ya zamani.

Pia mulikeni makundi special ya...

Pia kuna key people mnaitaji kuwafuwatilia kwa umakini sana mwisho mtanielewa mm natoa ushauri kutokana na kufuwatilia menendo ya mada kutoka blog tofauti nikaja na hii solutution. Huwitaji kupulizia upupu watu wengi wasio juwa wanaenda wapi mpulizie upupu mpangaji wa mipango arudi nyumbani akakunwe na familia yake.

Najuwa na hili nalo litapita.
Ben mlimzika wapi?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom