Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,031
Ana kiu ya kumwaga damu tena.Sikutegemea kukuta Uzi mwingine asubuhi hii wenye maudhui yanayofanana, Tena nyuzi zimepishana DK 3. Tumainiel una shida Gani? Ulihusika tukio la September 7? Mbona una hofu sana?