Serikali iwastaafishe watumishi wake wasio productive

cc RAIS
Tamisemi
halmashauri
serikali kuu
kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeial hii kasi ya mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi. sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale offisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao

sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hio miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze songa mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali Tamisemi saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical,politica,social,envoronmental, kila sehemu

Wewe mwenyewe mleta maada wafaa pia kupunguzwa.Huu uandishi wako sijui hata komputa kama unajua kuitumia vizuri.Ukipewa kazi ya kuandika ripoti kwa uandishi wako huu sidhani kama utabaki ofisini.
 
Ushauri wangu: Kama una nguvu za kufanya kazi, endelea kufanya kazi. Usitamani maisha ya kustaafu katika nchi hii kwa sababu si rahisi kama unavyofikiri. Kama hujui yakoje, watafute wastaafu wawili au watatu waliostaafu miaka mitatu iliyopita watakupa habari yake. Kama unafikiri kazi yako yako ya sasa haina manufaa yoyote eti na ni nafuu ya kustaafu mapema, think again...
 
MLETA UZI NA WEWE UTAZEEKA! CHA MSINGI WAKUU WAO WAHAKIKISHE WANAFANYA KAZI, ZINGINE NI CHUKUTU WAZEE. HAILETI MAANA KAMA HAJAFIKISHA UMRI HALALI WA KUSTAAFU.
 
Unaweza kuwa na hoja kwenye idara ninayofanyia kazi kuna mzee moja nafikiri ana mwaka au miaka miwili ya kustaafu lakini haonekani kazini na kazi zake hazifanyiki kikubwa anaturudisha nyuma staff wenzake

Na akibanwa analeta ubabe kisa tu yeye mkongwe katika hizi kazi.

Na anajiamini zaidi kisa yeye ni kada Wa kile chama dola since his youth .

Kikubwa hana appetite na kazi yake tena yupo kupokea Mshahara tu

Mleta mada unaweza kuwa una hoja maaana watu dizaini hiyo wapo kibao

Ofisi
 
cc RAIS
Tamisemi
halmashauri
serikali kuu
kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeial hii kasi ya mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi. sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale offisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao

sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hio miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze songa mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali Tamisemi saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical,politica,social,envoronmental, kila sehemu
ungeshauri umri wa kustaafu upunguzwe inaonekana unataka cheo wakati uwezo wako mdogo
 
Nina hakika unaumwa maradhi yanayoitwa SONONA!

Kwa namna ulivyowasilisha mada hustahili hata kuwa karani wa masijala! Kumbuka uzee siyo ugoigoi, kwani hata kijana kama wewe unaonyesha jinsi ulivyo na ufinyu wa kufikiri!!

Rais wako ana zaidi ya miaka 55 halafu unadai ana kasi , kinachokuaminisha wengine kama yeye hawana kasi kama yake ni nini?! Anza upya kufanya utafiti wako uweze kujua ni kwa nini kasi ya utendaji wa kazi ndani ya serikali inapungua!
 
Du sijui nianze kukusaidiaje wewe ndugu, niliwatarajia watu kama wewe
ok nitakusaidia kidogo, kwanza anza kwa kuacha uvivu wa kusoma rudi soma tena mwanzo mwisho
hatujakashifu au kudharau wazee, pili sio wazee wote hawafanyi kazi, tatu siwezi endeleaje kukuchambulia kitu kirahisi kusoma na kuelewa rudi soma tena harafu kua positive tujenge nchi, then will take from there
 
ungeshauri umri wa kustaafu upunguzwe inaonekana unataka cheo wakati uwezo wako mdogo

sio mri upunguzwe coz wapo wengine katika umri huo huo wanafanya kazi vizuri sana tu na still ni tegemeo. pill kwa sasa serikalini hapana im too young that kind of culture ya ufanyaji kazi nitaomba kazi baadae sio kwa sasa, na ikitokea yupo mkuu wangu kama hao nilioongea nitamtoa hata kwa nguvu
 
Du sijui nianze kukusaidiaje wewe ndugu, niliwatarajia watu kama wewe
ok nitakusaidia kidogo, kwanza anza kwa kuacha uvivu wa kusoma rudi soma tena mwanzo mwisho
hatujakashifu au kudharau wazee, pili sio wazee wote hawafanyi kazi, tatu siwezi endeleaje kukuchambulia kitu kirahisi kusoma na kuelewa rudi soma tena harafu kua positive tujenge nchi, then will take from there
FIRST IN LAST OUT
 
naunga mkono hoja,sio wazee tu mkuu hata vijana,kuna idara hazina umuhimu sana basi tu,ifanyike research,ikionekana kuna haja ya kufanya hivyo wafanye tu,walipwe haki zao zote za kiutumishi za kimsingi,wakajiajiri mtaani kupitia hcho kiinua mgongo,mimi kwa mfano nikipewa ridandasi nikilipwa kama M50 kutokana na akili yng ya maisha sitatetereka,hata kama na mimi nikikumbwa na huo mchujo sawa tu,itakuwa ni kuelekea tz yenye uchumi imara
 
Du sijui nianze kukusaidiaje wewe ndugu, niliwatarajia watu kama wewe
ok nitakusaidia kidogo, kwanza anza kwa kuacha uvivu wa kusoma rudi soma tena mwanzo mwisho
hatujakashifu au kudharau wazee, pili sio wazee wote hawafanyi kazi, tatu siwezi endeleaje kukuchambulia kitu kirahisi kusoma na kuelewa rudi soma tena harafu kua positive tujenge nchi, then will take from there
Ujinga ulionao ni kudhani kuwa nchi inajengwa na vijana tu wakati ukweli ni kuwa wazee ndiyo wanaotoa miongozo katika ujenzi wa Taifa. Vijana ni vichocheo vya maendeleo!!
 
mkuu unanichosha achakurukia topic ambayo haujaelewa hebu rudia kusoma tena ujue na maanisha nini
 
kama nilivyokwambia haka ni ka research kanafanyika na hawa wazee tunakaa nao tunaongea wanakwambia wanaomba raisi awakumbukwe kwa hilo na ndio maana serikali ikiongezaga miaka ya kustaafu watu huwa wanaandamana hiondio maana yake, ukiona mzee kakomaa ujue hapo alipo pana maslahi mapana ambayo yako beyond mshahara
sema tu unataka cheo na mzee bado kashikilia! unakoelekea utakwenda kwa sangoma ili umroge mzee!
 
Wee ukifikisha hiyo miaka utakubali kuambiwa umechoka usiusifue ujana wako ambao hautakaa nao milele kumbuka na we we ni mzee mtarajiwa hayo maneno ukija kuambiwa na vijana Wa wakati huo sijui utajisikiaje
 
Anayestahili kustaafishwa wa kwanza ni Baba J.esca maana matatizo yote nchini yaliyoongezeka tangu aingie madarakani hasa uchumi tatizo ni yeye na sera zake za kukurupuka.

cc Rais Magufuli
TAMISEMI
Halmashauri
Serikali kuu
Kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana.

Sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeially hii kasi ya Mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi.

Sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale ofisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao.

Sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hiyo miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze kusonga mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali TAMISEMI saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

Hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical, political, social, envoronmental, kila sehemu.
 
Back
Top Bottom