Serikali iwastaafishe watumishi wake wasio productive

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
204
Reaction score
210
cc Rais Magufuli
TAMISEMI
Halmashauri
Serikali kuu
Kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana.

Sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeially hii kasi ya Mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi.

Sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale ofisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao.

Sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hiyo miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze kusonga mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali TAMISEMI saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

Hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical, political, social, envoronmental, kila sehemu.
 
cc RAIS
Tuwmi
halmashauri
serikali kuu
kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeial hii kasi ya mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi. sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale offisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao

sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hio miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze songa mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali Tamisemi saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical,politica,social,envoronmental, kila sehemu
Slots za ajira zinahitajika hapa!
 
cc RAIS
Tamisemi

unajua gharama za kuvunja mkataba wa watu

kwani si kuna umri wa kustaafu kulingana na sheria.
Au hao wazee wamekwambia wanataka wastaafu mapema
 
Kwa kweli ni sahihi kabisa, kuwastaafisha wale wote waliobakiza miaka michache kustaafu, ili tuweze pia kutoa ajira kwa vijana wenye maarifa na nguvu ya kufanya kazi, na wastaafu watakuwa bado wana afya njema, hivyo wataweza kufanya shughuli zao vizuri za kujipatia kipato. Tena ni vema pia Serikali iangalie miaka ya kustaafu serikalini, iwe miaka 50 badala ya 60.
 
cc RAIS
Tamisemi
halmashauri
serikali kuu
kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeial hii kasi ya mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi. sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale offisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao

sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hio miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze songa mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali Tamisemi saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical,politica,social,envoronmental, kila sehemu
Mawazo ya kimasikini.
 
kwani si kuna umri wa kustaafu kulingana na sheria.
Au hao wazee wamekwambia wanataka wastaafu mapema

kama nilivyokwambia haka ni ka research kanafanyika na hawa wazee tunakaa nao tunaongea wanakwambia wanaomba raisi awakumbukwe kwa hilo na ndio maana serikali ikiongezaga miaka ya kustaafu watu huwa wanaandamana hiondio maana yake, ukiona mzee kakomaa ujue hapo alipo pana maslahi mapana ambayo yako beyond mshahara
 
Mawazo ya kimasikini.

sasa umasikini au tunataka ufanisi, hivi uliisha wahi kufatilia jambo au ishu yeyote kwenye hizo halmashauri,naomba ujaribu siku utakuja kuniambia utahisi kupiga mtu huta amini kama hao watu wana degree
 
kwani si kuna umri wa kustaafu kulingana na sheria.
Au hao wazee wamekwambia wanataka wastaafu mapema

yes upo ila kutokana na hali ya kimaisha kuna watu umri bado ila mwili kwakweli umechoka kiasi kwamba anatia huruma na anahitaji msaada wa kupumzishwa, kwa mfano mtu alianza kunywa pombe za kienyeji wakati anaanza kazi akiwa na umri wa miaka 20 aifika 58 utafikiri na miaka 80 sasa hao wanahitaji msaada kidogo
 
cc RAIS
Tamisemi
halmashauri
serikali kuu
kuna wazee katika halmashauri zetu ambao unakuta wamebakiza miaka miwili mmoja au hata mitatu, sasa hawa watu kwakweli kutokana na maisha ya kufanya kazi serikalini kutokua katika kiwango cha umoja wa kimataifa katika mishahara cha kuishi above dollar moja, unakuta hawa watu wengi wamechoka kimwili na kiakili, '' sio wote''but ni wengi sana sasa unakuta kazi hawafanyi na baadhi ni wakuu wa vitengo kazi hazifanyiki kwa wakati espeial hii kasi ya mh raisi kasi yao ni ndogo mno kama mjuavyo serikalini kazi zinafanyika kutokana na uamuzi wa mtumishi yeye ndio anaamua lini afanye sio u urgency wa hio kazi. sasa hawa utakuta wanaenda tu kuzuga pale offisini wataonyesha sura zao then hao wanaendelea na mishe zao ukiwauliza wanakwambia tunasubiri muda wetu iushe tu retire tupate mafao yetu na wengi wameisha calculate kabisa kwa hio akili yake yote imehamia kwenye mafao

sasa mi nilikua ninaomba baadhi yao badala ya wao kusubiri huo muda serikali iwasaidie kuwa staafisha mapema ili wenye nguvu waendelee na kazi na pia kupunguza gharama ya mishahara ya hio miaka mitatu na vile vile kulisaidia taifa liweze songa mbele fasta maana hawa wazee ni vikwazo kwakweli kwa utendaji wa kazi, tafadhali Tamisemi saidieni hawa wazee wapate mafao yao ndio only thing they are waiting for.

hizi mada zitakua zinaendelea kidogogkidogo tunajaribu kufanya research kwa nini hatuendelei Africa(Tanzania case study) sasa moja ya sababu ni utendaji kazi wa watumishi sasa hako ni ka line kamoja ili watu wasiboreke na kuchoka nitakua napakua kidogokidogo na wengine pia tunachangia mawazo yetu tuisaidie nchi yetu iendelee tuivunje hii chain ya kutokuendelea tutagusa kila sehemu, economical,politica,social,envoronmental, kila sehemu
We mtoto usinyanyase wazee hata wewe utazeeka.
 
no sio kwa niambaya waki staafu watajaliwa na kuheshimiwa kama wazee wetu hakuna shida na pia watahitaji msaada wa semina ya ujasiliamali ili waendelee na maisha vizuri plus kuwaunganisha na financial institution eg SACCOS kuwawezesha si maanishi kuwatupa na kuwadharau
 
kwani si kuna umri wa kustaafu kulingana na sheria.
Au hao wazee wamekwambia wanataka wastaafu mapema
Wanakurupuka mkuu, af wana mawazo ya kipuuzi? unapokuwa na nguvu ya mwili na ya akili halafu una mawazo kama hayo unatafsiriwa kuwa ni mmoja kati ya wale wanne
 
sasa umasikini au tunataka ufanisi, hivi uliisha wahi kufatilia jambo au ishu yeyote kwenye hizo halmashauri,naomba ujaribu siku utakuja kuniambia utahisi kupiga mtu huta amini kama hao watu wana degree
Ndio ninafanya nao kazi sana tena kila wakati tena wao ni wadau wakubwa sana bila wao shughuli zangu zinaweza kwama. Ni kweli ni wazembe kiasi fulani baadhi yao na wanapenda sana mlungula. Ila kuwastaafisha kuna procedure zake. Labda kwa kukuelimisha tu mtumishi anatakiwa kuretire akifikisha 55yrs kwa hiari na 60yrs kwa mujibu wa sheria.

Note that,
1. Serekali inaweza kumstaafisha mtumishi nje ya huo muda kisheria kama akiwa mgonjwa sana kwa muda wa miezi 6 na ikadhibitika afya yake haitaweza kumudu kufanya kazi tena, mgonjwa wa akili, mlemavu na ikadhibitishwa na jopo la madakatari.
2. Serekali inaweza kumstaafisha mtumishi pale atakapofikisha umri wa 55yrs kwa kujiridhisha kuwa hana umuhimu sana katika kada yake au mwili wake umedhoofika sana na anashindwa kutekeleza majukumu na amekosa ufanisi katika utendaji kazi wake.
3. Mtumishi anaweza kuomba kustaafu kwa hiari yake pale atakapofikisha umri wa miaka 55.
3. Mtumishi anaweza kustaafu automatical kwa mujibu wa sheria akifikisha umri wa miaka 60.
4. Serekali inauwezo wa kumstaafisha mtumishi akiwa na miaka 60 lakini ikampa mkataba wa kuendelea kuwa kazini kwa mkata wa muda husika kutokana umuhimu wa mtumishi husika katika fani yake. Bahati nbaya hii nafasi inatumika kisiasa sana.

Ushauri wangu.
kumbuka hii ni serekali ya kubana matumizi kuwastaafisha watu kwa wakati mmoja wataingia hasara katika kulipa stahiki na mafao yao na ukilinganisha na hali halisi ya mifuko yetu ipo taabani kifedha.

Watumishi wengi hususani wale wa zamani walidanganya umri kwa kupunguza ili waendelee kuwepo ofisi wakiwa na dhana potofu kuwa kazi za kuajiriwa ndio kila kitu kwao kwa hyo kuondoka mapema na kuachia madaraka itamfanya awe mnyonge na heshima kupungua mitaani. Unakuta mtu kwenye documents zake zinaonyesha ana umri wa miaka 40 lakini ukimcheki tu machoni unaona huyu tayari kafikisha 55 au 60.

Kiukweli ningependa sana wangestaafu mapema ili kutoa fursa kwa damu changa kusukuma gurudumu la maendeleo kwa nguvu zaidi na kasi lakini mpaka sasa its too late kwa mpango huo. Serekali ingetengeneza sera madhubuti mtu akikaribia kustaafu basi wampe nafasi sinior staaf kuanza kujifunza kutoka kwa mzee watu ili pale anapofikisha miaka 55 astaafu kwa hiari au mwajiri amstafishe ili pia kupuguza tatizo la ajira kwa vijana.
 
Pendekeza umri wa kustaafu unaoutaka sio tu kubwabwaja wazee hawatakiwi. Usitafute vyeo kwa fitna, jitume.
 
Back
Top Bottom