Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,478
- 24,571
Huyo askofu anapendwa sana na Salary Slip .Askofu bagonza ni moja ya maaaskofu wabovu na waovu Sana basi tu
Kuna Maaskofu wamejigeuza kuwa wao ndio dini, na Katiba zao zinawalinda wakae milele kwenye viti vyao hata kama wamefanya madudu ya kutisha hasa wizi wa fedha za waumini.Huu mgogoro upoje? kila siku nasoma malalamiko tu humu,mbaya zaidi kila malalamiko ni kipande cha taarifa.Tatizo ni nini?
Je kuna ushahidi wa dhahiri wa hizo tuhuma? kwanini baadhi yao bado wapo kwenye nafasi? je Mamlaka kuu ya kanisa haioni hayo?Kuna Maaskofu wamejigeuza kuwa wao ndio dini, na Katiba zao zinawalinda wakae milele kwenye viti vyao hata kama wamefanya madudu ya kutisha hasa wizi wa fedha za waumini.
FEDHA za Yuda Iskariote wanazopewa ndiyo zinawapa ukuu usiopimika!
Soma gazeti a Mwananchi leoJe kuna ushahidi wa dhahiri wa hizo tuhuma? kwanini baadhi yao bado wapo kwenye nafasi? je Mamlaka kuu ya kanisa haioni hayo? Huyo Dr mwaikali nimesoma ametenguliwa lakini hapa imeandikwa kaingia kwenye kundi hilo,je mtu ambaye katenguliwa mamlaka hayo anayatoa wapi?
I hope hili halihusian na madaKuna Maaskofu wamelifanya Kanisa ,hasa Dayosisi kuwa mali zao na familia zao, na kuteteana hata kama maovu ya dhahiri yanaonekana.
Ni para ya tatu toka mwisho kwenye mada kuu.. Nimeitoa hapoI hope hili halihusian na mada
We mjinga zaidi wala hukumbuki wale Masheikh waliowekwa ndani kwa miaka 9.Mawazo ya kijinga sana, Serikali inapaswa kukaa mbali kabisa na kuingilia mambo ya kidini.
Hajitambui hajui Taasisi zote za kidini ziko chini ya wizara ya Maambo ya Ndani ya serikali-nchiWe mjinga zaidi wala hukumbuki wale Masheikh waliowekwa ndani kwa miaka 9.
We mjinga zaidi wala hukumbuki wale Masheikh waliowekwa ndani kwa miaka 9.
Mmetambua leo?Wewe ndiye mjinga zaidi kwa sababu hujui watu kuwekwa ndani tu wakati sio wafungwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Mkuu bora nawe ukawekwa ndani kwa hiari kuwasindikiza hao Maaskofu wanaochochea vurugu.Wewe ndiye mjinga zaidi kwa sababu hujui watu kuwekwa ndani tu wakati sio wafungwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.