Mkataba usiokua na ukomo kati ya serikali na tasisi za Kanisa uliosainiwa mnamo mwaka 1992, umekua gumzo nchi nzima.
Baadhi ya wananchi wanaona huu mkataba ni upotevu wa pesa ya walipa kodi kwasababu hizo hospitali za kanisa bado zinawatoza pesa kubwa kwajili ya matibabu kama hospitali zingine za private.
Wanasema badala ya kuendelea na unyoonyaji wa kanisa dhidhi ya raia masikini bora serikali ibuni njia ya kulipia bima kwa wazee ambao ni 65yrs and above ni 22% ya raia wote na wakina mama wajawazito na watoto wao wachanga ili wapate uhuru wa kuchagua wapi kutibiwa kuliko kupoteza mabillioni ya pesa kwenye kanisa yenye uwezo wa kujiendesha.
Huo ni wizi kwa wa Tanzania wote. Tukemee mikataba ya aina hii.