Serikali iuze pembe za Ndovu zilizoko maghalani

Serikali iuze pembe za Ndovu zilizoko maghalani

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,211
Gharama za kutunza hiyo mipembe ya ndovu kwenye maghala inatesa walipa kodi bure.

Yaani wazungu wanataka mapembe hayo yatuozee ghalani kwa kuliwa na mchwa.Yaani tumelia marehemu tembo kafariki halafu na pembe zake zituozee tena kwa gharama za walipa kodi wetu.Nimesikia waziri anasema kaomba milioni mia 300 kwa ajili ya kutunza mizoga ya pembe za ndovu.

Serikali iuze hizo pembe haraka vinginevyo marufuku kuchukua hela za walipa kodi kutunzia hiyo mizoga walipe hao hao wazungu tusibebeshwe walipa kodi huo mzigo kwanza kiafrika kulala na maiti ndani muda mrefu ni wanga.Hizo pembe ni maiti za tembo watanzania tumechoka kulala na maiti za tembo.

Serikali nayo ikomae iwaambie hatuwezi endelea kukaa na mizoga sisi tuachieni tuuze.
 
una uhakika kuna pembe kwenye ghala mkuu?
 
Kama Xi Jinping alikuja kununua kimagumashi kwa bei kubwa ni wakati sasa wawauzie officially kwa bei juu tupunguze hata madeni ya taifa letu.
 
nalo neno ingawa kwa upande wa pili wa shilingi ni shidaaaaa
 
....kuna mamiti tu,mzigo woote uliobaki tumepakiza kwenye diplomatic bags...
 
Humo kwenye maghala mbona ni peupeeee siku nyingii we nenda kakague kama hujakuta mifuko ya simenti tu
 
naunga mkono kuuza hayo mapembe maana hata iweje hao tembo waliouawa na majangili hawatarudi kuja kuvishwa hizo pembe japo sikubaliani na wewe kuwa hayo mapembe ni maiti. wangapi wanalalia mgozi za wanyama? nazo ni maiti?

Gharama za kutunza hiyo mipembe ya ndovu kwenye maghala inatesa walipa kodi bure.

Yaani wazungu wanataka mapembe hayo yatuozee ghalani kwa kuliwa na mchwa.Yaani tumelia marehemu tembo kafariki halafu na pembe zake zituozee tena kwa gharama za walipa kodi wetu.Nimesikia waziri anasema kaomba milioni mia 300 kwa ajili ya kutunza mizoga ya pembe za ndovu.

Serikali iuze hizo pembe haraka vinginevyo marufuku kuchukua hela za walipa kodi kutunzia hiyo mizoga walipe hao hao wazungu tusibebeshwe walipa kodi huo mzigo kwanza kiafrika kulala na maiti ndani muda mrefu ni wanga.Hizo pembe ni maiti za tembo watanzania tumechoka kulala na maiti za tembo.

Serikali nayo ikomae iwaambie hatuwezi endelea kukaa na mizoga sisi tuachieni tuuze.
 
Hivi jamani pembe za ndovu zinatumika katika manufacturing ya kitu gani?naona zina bei sana...
 
Kuna sharia ya kimataifa inayozuia biashara ya pembe za ndovu. Ngoja niitafute nikipata nitaweka hapa kwa msaada kwa wengine.
 
Mbona tulipakia kwenye ndege ya prezidaa xjiping toka mwaka jana, au kuna zingine za hivi karibuni?
 
ivi wewe Godwin Mmari si ndo mlishirikiana na Deus Mallya 0787833596 kunitapeli sh laki moja? ww unajifanya uko china ukatoa na no. zako za cm za hotel moja huko china? hyo laki moja mlionitapeli mtairudisha tu.
 
ww Godwin Mmari ni tapeli mkubwa. mlishirikiana na mtu anayeitwa DEUS MALLYA 0787833596 kunitapeli sh laki moja kuwa mnauza lcd tv. ww ulitoa no za hotel moja ya china kuwa upo huko. hyo pesa mtarudisha tu! tena godwin sio jina lako halisi
 
Deus Malya wa Chacha Wangwe?!!!! Mweeh!
 
naona ndo mwenyewe. kwa hyo huyo godwin mmari ndiye anayedanganya watu humu. ni hatari sana fuatilia post zake
 
Hivi jamani pembe za ndovu zinatumika katika manufacturing ya kitu gani?naona zina bei sana...

zinaongeza nguvu za kuloga ndio maana wachina wamejaa nchi nyingi kuvuna mali za wengine
 
Back
Top Bottom