China yaiunga mkono Tanzania kwa kumfunga Malkia wa Pembe za Ndovu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serikali ya China imetangaza kuiunga Mkono Tanzania baada ya kumhukumu kifungo cha miaka 15 jela Raia wake anayefahamika kwa kama Malkia wa Pembe za Ndovu

Serikali ya China imeeleza kuwa inaunga mkono juhudi vita dhidi ya ujangili

Mwanamama Yang Fenglan raia wa China alikamatwa kwa tuhuma za juua tembo na kusafirisha kinyemela takribani pembe za Tembo 700

======

BEIJING — China said Wednesday it backs Tanzania’s sentencing of a Chinese woman labeled the “ivory queen” to 15 years in jail for smuggling elephant tusks, and reaffirmed its opposition to trading in endangered species.

Foreign ministry spokesman Geng Shuang said China supports the Tanzanian authorities in conducting a “just” investigation and trial and is “ready to work with the international community to protect wildlife and curb the international trade.”

Yang Fenglan was convicted of smuggling about 700 elephant tusks and her case was viewed as a major test of Africa-wide efforts to hold key trafficking figures accountable for the mass killing of elephants to supply ivory to illegal markets, including in China.

China has cracked down on smuggling in recent years and a total ban on all trade in ivory products came into effect last year. The ban does not cover the semiautonomous port and financial center of Hong Kong, which remains a major transit point for endangered species products and other contraband but is now working toward a complete ban on the local ivory trade to take effect by 2021.

In Tanzania alone, the elephant population declined by 60 percent to 43,000 between 2009 and 2014, according to the government. Officials there say some herds are recovering.
 
Ila mimi nimesikitika sana kuona faru john na faru ndugai hakuwaua maana ni wasumbufu sana
 
China inasema kuwa inaiunga mkono serikali ya Tanzania kuhusu hukumu iliyoitoa kwa Bi Yang Feng Glan raia wa China anayejulikana kwa jina la "malkia wa pembe za ndovu" kwenda jmiaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo..

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bwana Geng Shuang amesema kuwa China itashirikiana na mamlaka za Tanzania kufanya uchunguzi katika masuala ya biashara haramu ya pembe za ndovu, na pia nchi yao iko tayari kufanya kazi na jumuiya za kimataifa kulinda wanyamapori na kukabiliana na biashara hiyo haramu kimataifa.

Aidha, China imepiga marufuku biashara ya pembe za ndovu ndani ya hiyo, marufuku hiyo ilianza kutumika mwaka jana
 
safi wote tukiwa na kauli moja juu ya maliasili zetu tutafika mbali. enzi za kuoneana aibu zimepitwa na wakati na zile zama za kutorosha pundamilia kwenye makontena hazipo tena.
 
Hata mngemfunga miaka mia tembo wameshakufa faida yake ni nini? China ishafaidika hata wangeunga na matumbo nini miguu tushakula hasara hawatarudi. Ccm mlikua wapi tembo wakiuawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China inasema kuwa inaiunga mkono serikali ya Tanzania kuhusu hukumu iliyoitoa kwa Bi Yang Feng Glan raia wa China anayejulikana kwa jina la "malkia wa pembe za ndovu" kwenda jmiaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo..

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bwana Geng Shuang amesema kuwa China itashirikiana na mamlaka za Tanzania kufanya uchunguzi katika masuala ya biashara haramu ya pembe za ndovu, na pia nchi yao iko tayari kufanya kazi na jumuiya za kimataifa kulinda wanyamapori na kukabiliana na biashara hiyo haramu kimataifa.

Aidha, China imepiga marufuku biashara ya pembe za ndovu ndani ya hiyo, marufuku hiyo ilianza kutumika mwaka jana
Source please:rolleyes::rolleyes:
 
Source please:rolleyes::rolleyes:
China kimataifa. Hata mimi niliiona mkuu. Pia gazeti fulani hivi linaitwa Jamvi sijui la nini. Liangalie huko mitandaoni.

Ila nina maoni kidogo;
Nahisi China wanafurahia hukumu aliyopewa raia wake maana ni ndogo. Sipati picha ingekuwa kule kwao huyo mtu angepigwa vya ncha kali hadharani. So wanaona furaha na naamini huyo hatakaa jela. Soon atarudi Shanghai.
 
Hata mngemfunga miaka mia tembo wameshakufa faida yake ni nini? China ishafaidika hata wangeunga na matumbo nini miguu tushakula hasara hawatarudi. Ccm mlikua wapi tembo wakiuawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu acha kuleta siasa kwenye maswala ya kitaifa mauaji ya wanyama pori sio Tanzania tu je kenya nako kuna ccm? mbona kuna ujangili na kumfunga kutatoa fundisho kwa wengine
 
Hata mngemfunga miaka mia tembo wameshakufa faida yake ni nini? China ishafaidika hata wangeunga na matumbo nini miguu tushakula hasara hawatarudi. Ccm mlikua wapi tembo wakiuawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mtu akihukumiwa kunyongwa kwa kosa la kuua huwa kunamfufua yule aliyeuawa? Au mtuhumiwa akifungwa kwa kosa fulani huwa kunafanya lile kosa liwe halikutendeka? Kufungwa ni adhabu tu ya kosa lililotendeka. La sivyo kusiwe na mahakama wala jela kabisa kwa kuwa tu kufunga mhalifu hakutengui kosa lililofanyika. Tusidhihaki madaraka ya mihimili ya dola wakati inatekeleza majukumu yake.
 
Umeanza sasa hivi utaniambia nachafua nchi

Back
Top Bottom