Serikali itoe tamko rasmi: Daudi Albert Bashite ni nani?

Daudi wa Kolomije
Bujibuji. assaalaam alleykum. Kakana kwenye tv kwamba hana baba anayeitwa Bashite, na Gwajima kafumbafumba kuhusu mtoto wa dawa. Kumkana mzazi wako ni moja ya dalili alizozisema Gwajima. Je ni kweli DAB kakmkana baba yake mzazi star tv?
 
Hivi Bashite huwa anampa nini mkulu?
Maneno kama haya ndio yamesababisha kale kapage kenu kule facebook kakapigwa ban, sijui kamefia wapi?

Yani mnahangaika na vitu vya kijinga badala ya kudeal na issues, mfano leo huko bungeni mmepigwa za uso.
 
Bujibuji. assaalaam alleykum. Kakana kwenye tv kwamba hana baba anayeitwa Bashite, na Gwajima kafumbafumba kuhusu mtoto wa dawa. Kumkana mzazi wako ni moja ya dalili alizozisema Gwajima. Je ni kweli DAB kakmkana baba yake mzazi star tv?
Niliangalia interview mwanzo hadi mwisho, alikataa kuongea lolote kuhusu BASHITE alisema ni mbinu za wauza unga na hayupo tayari kuongea mambo ya adui zake.
 
Kwani hata mazingira tu huoni mkuu?
Alichokataa mkulu sio ukweli wa tuhuma na habari za Bashite, bali ni kuwa "drived" tena na wapinzani na mitandao ya kijamii.
 
Mikoa yote ina wateule tiyari labda tungojee akifyatuka mmoja
Kwani askofu Gwajima ni muongo/mkweli? Kama mtu anaitwa DAB ateuwe kwa kubadilisha jina. Kule Tabora kuna mtangazaji anaitwa DAB. Tuwe na mteule anaitwa DAB, Haya mambo anayoyasema askofu Gwajima ni mazito. Anamtaja aliyekuwa Mstahiki Meya wa Mwanza Suleyman Kamese naye kamlea DAB kabla ya kumtupia DAB rambo yake ya nguo kule kolomije na wasamaria wema kuziokota na kumpelekea. Hawa watu pamoja na Mwl/mkuu wa Pamba Sec. wanajisikiaje? Ukweli uelezwe ili watu wengi wawe huru tujue kama kweli huyu RC ni DAB ila aendelee na u RC kwa KKK.
 
Kwa hapo sitii neno. Tatizo, ni kuwa aliyemteua hataki kuambiwa neno
 
Maneno kama haya ndio yamesababisha kale kapage kenu kule facebook kakapigwa ban, sijui kamefia wapi?

Yani mnahangaika na vitu vya kijinga badala ya kudeal na issues, mfano leo huko bungeni mmepigwa za uso.
Hilo ni swali linahitaji jibu.
 
Aliyeanzisha jina la Bashite ndio wa kutoa tamko...serikali haiwezi tolea tamko upuuzi.
 
Uliza wambea wenzio akina Gwajima!
 
Hahahaa eti maneno mawili kata do sisomi PhD kama ndo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…