Serikali isilale huu ni muda sahihi

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari Watanzania wote poleni na majukum Ila hongereni pia kwa kuendelea kuchukua tahadhar za kiafya ili kuweza kujikinga na korona. Pia tusisahau kusal kila mmoja kwa Imani yake

Kwanini nasema SEREKAL ISILALE

Ni kwa sababu kulingana na janga tulilo nalo la maradhi ya Corona ambalo hatujui litaisha lini nimeona niishauri serekal nini tuanze kujaribu kufanya ili baadaye tuweze kupambana na janga lingine la njaa.

Ni Bora serekal iwekeze sasa hiiv nguvu nyingi kwenye kilimo Cha chakula cha muda mfupi mfupi ili kiweze kutusaidia Apo baadae Kama janga litaendelea kuwepo italazimika watu wawekwe Lock down so tunatakiwa kabla ya kuziwia watu ndani tufikirie ni namna gan ya kuwaudumia

Ni VIP SEREKAL INAWEZA KUENDESHA KILIMO KWA URAHISI NA HARAKA
Serekal inaweza kufanya ivyo kwa kutumia wafungwa. Kabla majanga hayajawa makubwa na kusubir wafungwa waachiwe huru kutoka magerezan waje uraian kuongeza mzigo kwa serekal inatakiwa wafungwa wote wapelekwe maeneo ya mbali na miji katika kila mkoa wapewe mashamba waanze kulima.

Tena wanatakiwa kulima kilimo kile Cha miez michache Kama maharage,mahind, na vingine Ving. Pia SEREKAL inatakiwa pia itumie majesh katika kilimo pia Yan namaanisha kipao mbele chetu kiwe kilimo sababu korona inatupeleka kwenye janga la njaa. So kuliko. Kuacha majesh ndani ya kambi zao wanatakiwa walime kuakikisha ndani ya miez kadhaa nchi inakua na chakula Cha kutosha

Pia mtu Kama nyumbani una eneo ambalo liko wazi unaweza unaweza ukaweka bustan ambalo linaweza kukusaidia Kwa matumizi madogo madogo unaweza ukalina tembele,nyanya,vitunguu,bamia nimetaja ivyo vitu sababu Mara nyingi hua vinakubal mazingira ya shida hasa tembele lenyewe hata kwenye povu hua linastaw

Serekal yetu inatakiwa kujua baadae watanzania wataitaj Sana chakula kulimo sanitariz so ili kulishinda ili baade serekal inatakiwa ifikirie Sana kuhusu njaa Mana ikiingia njaa hatutaweza kupambana na Corona

SEREKAL ITOE ELIM VIJIJINI
Serekal ianze kutoa elim vijijni kwa kujaribu kuwaambia watu nini umuhim wa kilimo sasa iv pia serekal itoe hata maeneo kwa watakao itaji mashamba ili walime. Serekali ijitaid hata kwa mvuno wa kwanza uweze kutulisha watanzania hata japo mwezi mmoja. Ikifikia hatua ya raia kutegemea serekal

Apa nasemea wale raia watakao shindwa kujiebdeleza wenyewe kuweza kupata chakula Kwan sio wote watakao kosa chakula Ila Kuna watu ambao lazima watoke ili wale so huwez kuwafungia ndani bila chakula wakakubal kukaa Sio kweli Ila tukiwaandalia mazingira watakua waelewa

Asanteni Sana
#corona inaua kuwen Makin


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom