Serikali ipitishe sheria hijab na kanzu yawe mavazi ya utambulisho wa taifa

Kwanini isiwe khanga au vitenge?
Yani hili ndio jibu hapo ni nguo za kiafrika tutafute mshono tuu Shati mikono mifupi au mirefu suruali ya kitambaa au kitenge kwa wanaume. Wanawake nahisi wanastyle nyingi za vitenge. Tena inatakiwa kila ijumaa ofisi zote za serikali wasizohitaji uniform wawe wanatupia vitenge..
 
Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika.

Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi.

Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi.

Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na wasichana na wavulana.
Nani aliekwambia mtu akivaa hayo mavazi anaheshimika?watu wanavaa na bado wapogwa shoo za kibabe huku mtaan kama kawaida utasemaje ni vazi la heshima?
 
Wayahudi wanavaa kanzu mkuu hapo unasemaje?
UONGO MTUPU naona HUJIELEWI KABISA
usipende kutamani usichpkijua kwani kuna mavazi ya staha, Dini, Kazi na ulinzi
Hivi majeshi ya wayahudi au hao unaowaamini wakivaa kanzu wanaweza kweli kukimbia?
kaangalie kazi za fatiki ndipo urudi tena nikuwekee picha za Askari wa Nchi unazozifikiria kuwa wanavaa kanzu na hijab wote
1602672122527.png
 
Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika.

Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi.

Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi.

Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na wasichana na wavulana.
Hijabu pia linaficha mengi...
Juzi jamaa yangu jirani kaleta demu kwake kapiga hijabu ila mie najua anamla na pia dada anamnyonya mashine sababu jamaa yangu ananisimulia hayo...
 
Mbona huongelei uhusiano wa kanzu na ugaidi ? Vipi uhusiano wa baibui na kuliwa tigo kulinda bikra ?! Tutolee uislamu wako hapa. Haya mamtu sijui hua yakoje profesional prevelege seekers. Kuchinja wanyama mmengangania mnataka tuvae na mavazi yenu pumbavu. Endeleeni kufumuana marinda na mabaibui yenu shwaini.
Hahahahaaa weye hutakiwi kuchinja kwa sababu huna dini,ukiachiwa kuchinja utawalisha watu mizoga.Katika Bibilia yote anzia mwanzo mpaka ufunuo wa yohana,hakuna sehemu iliyoandikwa Ukristo ni dini.
 
Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika.

Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi.

Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi.

Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na wasichana na wavulana.
Kwa Tanzania hiyo ngumu
 
Utumwa haujaisha tu? Ni aibu mwafrika anakuja waza upumbavu huu wa kitumwa. Utamaduni wa Mashariki ya Kati na Far East unaleta kwa Waafrika? Huoni huo ni Utumwa na Utumwa komavu kabisa? Nyie hata shule hamwendi kuelimika? Why mnajivunia Utumwa na Upumbavu? Mavazi ya kiafrika yapo....yanafaa na yaendelezwe hayo. Jinga kabisa.... Ungekuwa karibu ngekutia Bakora sana matakoni. Upate akili.

Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika.

Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi.

Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi.

Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na wasichana na wavulana.
 
Mentality za mkoloni izo amka uende shule itakusaidia ujitambue wewe na historia yako!
 
Kiukweli mwanamke yeyote alivaa hijab anapewa heshima kubwa sana, pia mwanaume akivaa kanzu anaheshimika.

Ni mavazi ambayo yanavalika popote pale bila kipingamizi.

Kuna haja serikali ikapitisha sheria yawe mavazi rasmi.

Hii itapunguza ukakasi wa nguo za hovyo zinazovaliwa siku hizi na wasichana na wavulana.
Huu ni utamaduni wa kiarabu, nadhani sisi tungetumia vazi analovaa combred Kipepe wa kwenye gazeti la Sani,ingependeza sana !!
 
Back
Top Bottom