Serikali ipige marufuku uagizaji magari kwa miaka mitano tu, tuone kama havianzishwi viwanda

Sio lazima kupiga marufuku uagizaji. Si tuwaite wenye viwanda vya kutengeneza magari waje waweke viwanda Tanzania tu? Tuchimbe makaa ya mawe ya Liganga yayeyushe chuma ya Mchuchuma tuwauzie wawekezaji wa viwanda vya magari na matrekta chuma kwa bei pooooooa kuliko pengine popote duniani. Tuwape na makaa ya mawe ya kuzalisha umeme wao wenyewe ili wasiwe na haja ya kutegemea umeme wa Tanesco ambao saa nyingine una "kigugumizi" Wafanyakazi wa bei poooa wapo Tanzania maana wasomi wasio na ajira wako maelfu. TUWAPE WAWEKEZAJI HAO MOTISHA YA KUTOLIPA KODI KWA MIAKA KUMI YA KWANZA.

Nina hakika tukiweka masharti "matamu" namna hiyo, makampuni ya magari kibao yatakuja. Tukiwaambia wasilipe kodi sio hasara maana wanapouza hayo magari nje tutapata fedha za kigeni. Fedha za kigeni tunazotumia kununulia vipuli vya magari zitapungua sana maana watalazimika kutengeneza vipuli hapa. Na sisi Watanzania tutakaonunua hayo magari tutakuwa tumepata ahueni kubwa kwenye matumizi ya spea maana zitapatikana kwa urahisi hapa hapa nchini na kwa bei ya chini. NI KIASI CHA KUAMUA TU. Mbona Kenya wanavyo viwanda vya magari (japo nadhani wanaunganisha sio kutengeneza from chuma ya kwao)?
 
Hayo yote tume-offer lakini bado hawataki kuja, tufanyeje sasa??! Na shida kubwa ni cheap used cars toka Japan, yaan gari inauzwa hadi laki 3, just imagine, ikipigwa kodi ndio tunaona yana bei, sasa utaweza kushindana na gari ya namna hiyo??! Dawa ni kushurutisha viwanda walau hata vya ku-assemble tu viletwe hapa nchini, hatuwezi kuendelea kuwa dampo la takataka za Japan, mbona Ghana, Kenya na South Africa wameweza?
 
Tukizalisha bidhaa zetu wenyewe ni njia nzuri ya kutengeza ajira kwa vijana, tatizo ni kwamba ukitengeneza hayo magari hapa bongo utaweza kuyauza kwa bei ambayo watu wengi watamudu kuyanunua na kwa viwango na ubora uleule kama yale ya kijapan
 
Kwa kweli nami pia huwa najiuliza sana hili la sukari
Kama wazungu walikuwa wanategemea sana miwa kwa ajili ya sukari na kwa kuwa miwa haivumilii ardhi yao
Wakaja na mbadala wa kulima Sugar beet ambayo sijui kwa kinyumbani
Lakini wamefanikisha na wanalima sana kwa sasa

Yupo Mganda mmoja ambaye amekuwa inspired na walimaji wa Anglia na anataka kuanza kulima Uganda
Uzuri wa hili zao unaweza vuna mara mbili kwa mwaka na inatengeneza sukari nzuri sana na kwa wingi zaidi
Sijui tunashindwa nini kufuatilia na kuleta hilo zao kwetu View attachment 1211767
Likifika Uganda na Mimi niataanda heka zangu kuanza kulima.Nimechoka kutumiwa meseji na wife ukirudi pitia uje na sukari.
 
mkuu kwa kweli Africa tumejifungia ndani ya bara letu hili
Yaani wenzetu wanachukua kuanzia mbegu za maua, chakula na hata wanyama kutoka kwetu na kuzalisha kwao lakini sisi tumelala tu
Imagine China kwa sasa analima tumbaku na baadae hatahitaji tena tumbaku ya nje

Huyu Mganda ni Electrical engineer by professional na ni mtoto wa mkulima hivyo anataka kuanzisha mradi huu
Nilimsoma kwenye jarida moja akitafuta muwekezaji
 
Kuna wakati huwa nawaza, hivi inakuwaje demand ipo ya kutosha lakini bado tunaagiza bidhaa nje. Mfano demand ya sukari ipo kubwa, ardhi kwa ajili ya mashamba ya miwa ipo unlimited na watu wenye uhitaji wa ajira za hicho kilimo wapo, ni kiasi cha kulima tu; ila utasikia sukari haitoshi tunaagiza nje, sasa huu ni uchawi wa wapi huu?

Hivi kwa mfano serikali kwa hasira ikapiga marufuku uagizaji wa magari toka nje kwa miaka mitano au 20 kabisa, hatutapata wawekezaji wa kuzalisha au walau ku-assemble tu magari hapa nchini?

Hebu tufumbe macho na tujaribu tuone itakuwaje, ila kitafutwe chanzo mbadala cha kodi maana haya magari ndio yanategemewa kubamizwa kodi kubwa bandarini.
=============================
Hii ndio Benz ya kwanza iliyotengenezwa mwaka 1886.
View attachment 1212104

Na sasa wako hapa..
View attachment 1212110
===============================
Ghana kuna mchungaji anaitwa Kantanka, anabuni na kutengeneza engine, chassis na body za magari na kuziunganisha yeye mwenyewe kwenye workshop zake hapo Ghana, na serikali inamuunga mkono kwa kununua magari yake aina ya Kantanka V8, lione mwenyewe..
View attachment 1212111
Amini usiamini kama gari likiuzwa japani million 2 mpaka unaipata,wakianza kuzalisha hapa tutanunua million 4, vinavyozalishwa ndani havijawahi kuwa na unafuu zaidi ya ghali
 
Tukizalisha bidhaa zetu wenyewe ni njia nzuri ya kutengeza ajira kwa vijana, tatizo ni kwamba ukitengeneza hayo magari hapa bongo utaweza kuyauza kwa bei ambayo watu wengi watamudu kuyanunua na kwa viwango na ubora uleule kama yale ya kijapan
Unaleta habari kama za nguo za mitumba, bila kuzuia hizo nguo za mitumba viwanda vya nguo vilivyokufa nchi nzima haviwezi kufufuka
 
Hili lijamaa litakuwa ni Standard 7. Stupid and ignorant as always. Litakuwa linaishi Kishimundo vijijini, yeye pekee ana smart phone kijiji kizima. WTF!
 
mkuu kwa kweli Africa tumejifungia ndani ya bara letu hili
Yaani wenzetu wanachukua kuanzia mbegu za maua, chakula na hata wanyama kutoka kwetu na kuzalisha kwao lakini sisi tumelala tu
Imagine China kwa sasa analima tumbaku na baadae hatahitaji tena tumbaku ya nje

Huyu Mganda ni Electrical engineer by professional na ni mtoto wa mkulima hivyo anataka kuanzisha mradi huu
Nilimsoma kwenye jarida moja akitafuta muwekezaji
Hata tunavyowaza na kuwazua utafikiri Dunia ni bara la Africa tu hakuna watu wengine nje ya Bara la Africa.
 
Mfano mdogo, ukiangazia nchi baadhi ambazo zilikumbwa na kadhia ya kufungiwa na kuwekewa masharti ya kimataifa dhidi ya kuingiza, kununua, au kukuza bidhaa zao nje kutokana na unyonyaji na ubabe wa mataifa makubwa kama Marekani na waahirika wake. Vikwazo hivyo walivyowekewa mfano Iran, Iran baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani ndipo walipoanza kuunda na kutengeneza vifaa mbalimbali nchini mwao. Nadhani taabu kuleta faida 😎😎
 
Demand is the mother of all inventions, Huawei alivyopigwa ban kutumia android akaanza kudevelop OS yake, kuona hivyo google wakaamua marekani wakaondoa ban, maana angekija kuwazidi.
 
Demand ya magari nchini ni kubwa kuliko hata madawa hospitlini,tuwe wavumilivu kidogo!
 
Kuna wakati huwa nawaza, hivi inakuwaje demand ipo ya kutosha lakini bado tunaagiza bidhaa nje. Mfano demand ya sukari ipo kubwa, ardhi kwa ajili ya mashamba ya miwa ipo unlimited na watu wenye uhitaji wa ajira za hicho kilimo wapo, ni kiasi cha kulima tu; ila utasikia sukari haitoshi tunaagiza nje, sasa huu ni uchawi wa wapi huu?

Hivi kwa mfano serikali kwa hasira ikapiga marufuku uagizaji wa magari toka nje kwa miaka mitano au 20 kabisa, hatutapata wawekezaji wa kuzalisha au walau ku-assemble tu magari hapa nchini?

Hebu tufumbe macho na tujaribu tuone itakuwaje, ila kitafutwe chanzo mbadala cha kodi maana haya magari ndio yanategemewa kubamizwa kodi kubwa bandarini.
=============================
Hii ndio Benz ya kwanza iliyotengenezwa mwaka 1886.
View attachment 1212104

Na sasa wako hapa..
View attachment 1212110
===============================
Ghana kuna mchungaji anaitwa Kantanka, anabuni na kutengeneza engine, chassis na body za magari na kuziunganisha yeye mwenyewe kwenye workshop zake hapo Ghana, na serikali inamuunga mkono kwa kununua magari yake aina ya Kantanka V8, lione mwenyewe..
View attachment 1212111
Bandiko lina hoja ila hoja inatokana na kukosa uelewa:
1. Unajua Tz inamiaka mingapi toka iweke vikwazo kwa raw hides$skins export?, kunakiwanda cha ngozi kimejengwa? Umeona jinsi ngozi zinavyooza na kutupwa?
2: unajua kwanini tunaagiza sukari kutoka nje?. Ni kwasababu sukari ya nje ni cheeper than locally produced; but why?. Similary; locally made/ assembled vehicles will be comparstively expensive, but, why? Umeme wa generetor viz a viz nuclear.................. and many more

Labda hujajiuliza kwanini bei ya korosho ikiwa ulaya ni ndogo kuliko ukiinunua mtwara.....
 
Back
Top Bottom