Miss weapon
Member
- Sep 9, 2019
- 94
- 66
Kweli kabisa Mr, but tatizo ni kuwa nchi nyingi za kiafrika hazijiamini, tukianzia ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia na hata taifa. Hii ndio inatufanya tunabakia kuwa bara moja dumavu sana tofauti na Asia ya sasa.Demand is the mother of all inventions, Huawei alivyopigwa ban kutumia android akaanza kudevelop OS yake, kuona hivyo google wakaamua marekani wakaondoa ban, maana angekija kuwazidi.