Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

Status
Not open for further replies.

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.
 
Wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye MAOMBI ...hapa Arusha kuna hawa wanaoitwa RADIO SAFINA, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba Chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.
 
Mimi naongelea in a technical aspect kwamba kuwe na machinery ya ku regulate policies ya haya makanisa, mind you they are not institutionalized the way other churches are. Siyo kama RC, Lutheran, Anglican, Sabatho etc wao mhuni mmoja akiamua kujiita akofu mkuu akawa anachukuwa hela zote sawa tu na wao wanazidi kumiminika tu. Na fanya research yako wengi wa waumini kwenye haya makanisa ni wanawake tena wake za watu.

Naomba usilete cheap analysis katika mambo ya msingi.
 
naunga mkono hoja.
ila usisahau,serikali haina dini na hayo makanisa ya walokole yasinge kuwepo kama kusinge kuwepo na vipengele vinavyo tetea uhuru wa kuabudu ktk katiba ya sasa ya JMT.
ila hilo litafanikiwa tu kama katiba tunayo itarajia, itapokonya uhuru wa kuabudu.
sidhani kama litakuja kutokea.
kaa chini na shemeji myamalize.usikute huko anakoenda kuna faraja ambayo anaikosa nyumbani.si unajuwa tena wanawake ni viumbe dhaifu mda wote wanapenda kufarijiwa.
 
Wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye MAOMBI ...hapa Arusha kuna hawa wanaoitwa RADIO SAFINA, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba Chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.

Yani mkubwa ni kweli kabisa, Mimi sikatai kuhusu hizi seminar lakini hawa jamaa pia wangekuwa wanawafundisha jinsi ya kudumisha ndoa zao, mambo ya ku generate income, kuangalia watoto etc. Lakini hawa jamaa wanachofanya ni kuwatengeneza waelewe jinsi ya kutoa sadaka. This is ridiculous I am telling you.
 
hasira zako kwa kukerwa na mkeo leo haziwezi kufanya makanisa yafungwe. mwambie mkeo ajirekebishe.
 
Ki msingi haya makanisa ni mazuli tena yanafa cz wanamwabudu MUNGU wa kweli. Shida ni mkeo hajajielewa na haplay part yake kama mkeo mi nakushauli jalibu kwenda kusali hapo siku 1 lzma umwone MUNGU akikubdilisha mkuu
 
Tatizo sio makanisa ya kilokole tatizo liko kwa mke wako. Yumkini bado hajapata semina jinsi ya kutunza nyumba na kudumisha ndoa yake. Sikupingi kwa hoja yako bali napinga kuwa na mtizamo kuwa hayo makanisa yafungwe. I wish ningekuwa nakufahamu wewe na mkeo ningewapa ushauri wa pamoja. Ila kuna baadhi ya wachungaji hasa wale wa pesa pesa wanahubiri kwa ajili ya matumbo yao na kuwapotosha watu hata wanakuwa hawajali nyumba zao na hata ndugu zao. Biblia inasema "Tafuteni sana kuwa na amani na watu wote na huo Utakatifu...". Usimzuie mkeo kwenda kanisani maybe mhimize kuhudhuria semina za mambo ya ndoa. Be blessed brother!!!
 
Ki msingi haya makanisa ni mazuli tena yanafa cz wanamwabudu MUNGU wa kweli. Shida ni mkeo hajajielewa na haplay part yake kama mkeo mi nakushauli jalibu kwenda kusali hapo siku 1 lzma umwone MUNGU akikubdilisha mkuu

Siungi mkono suala la makanisa ya kilokole kufungwa lakini kama ni kubadilisha kwanini huyo shemeji yetu amesahau majukumu yake kama mama wa nyumbani?
Kuna jambo la kuangaliwa hapo?
 
Kwa hakika makanisa haya ya kilokole yamekosa mtazamo endelevu. Makanisa hayo yamekuwa mengi tena yakianzishwa na mtu mmoja mmoja na hawa watu ndio chimbuko utitiri huo. Mtu akitifautiana na wenzake anakimbilia kuanzisha kanisa lake. Kwa vile yameanzishwa na mtu moja basi hakuna utaratibu wa uendelevu na huyo mwanzilishi akifa wanakondoo hubaki bila mchungaji na husambaratika na kuanza kutangatanga.
Wao huangalia roho pekee bila ya kuangalia namna ya kuuwezesha mwili uweze kulinda roho.
 
Tatizo si kanisa tatizo ni mkeo hajitambui pengine hana elimu juu ya ndoa.
Hata ukirud kanisan kwako matatizo yatabak palepale na pengne kuongeza zaidi.
Pia mchunguze vizuri anaweza kuwa anatumia mwavuli wa kanisa kumbe ana mambo yake,mbona walokole tupo na tunafanya vizuri kwenye ndoa zetu no kelele at all.
 
Lazima kuwe na chombo cha ku regulate operation ya makanisa ya kilokole. Mimi naona watu wakishaingia huku especially wanawake wanatekwa ufahamu kabisa.

Mimi kuanzia leo nimempiga marufuku mke wangu kwenda kwenye kanisa lake kama anataka kuendelea kuishi na mimi arudi kanisa la lutheran ambako tumefungia ndoa yetu takatifu.

Yani mke wangu amekuwa mjinga kabisa na haya makanisa muda wote ni kukimbilia kanisani tu, atafunga bishara yake haraka haraka ahakikikishe anakimbilia kanisani. Leo hii mtoto anaumwa lakini anamwacha hata kumpa dawa kisa eti anakwenda kanisani. Kuna mtu wa maana sana anakuja home kwa ajili ya mkutano wa kibishara lakini mama anaona akimbilie kanisani. Yani nyumba chafu, kitanda hakitandikwi kisa kanisa.

Nasema haya makanisa yakome yanapoteza wake zetu.

Kuwa mwanaume yamalize na mkeo.Serikali haiwezi kutatua matatizo ya ndoa yako.
 
Halafu watumishi wahaya makanisa ni majanga mkuu unaweza ukaibiwa ukizubaa !
 
Ki msingi haya makanisa ni mazuli tena yanafa cz wanamwabudu MUNGU wa kweli. Shida ni mkeo hajajielewa na haplay part yake kama mkeo mi nakushauli jalibu kwenda kusali hapo siku 1 lzma umwone MUNGU akikubdilisha mkuu

Mkuu ya kweli haya?
 
Acha ujinga wewe mvulana umeshindwa kukaa na mkeo muyamalize mpaka uyalete humu jamvini.
 
Wakinamama wengi siku hizi wameshatekwa na haya MAOMBI, MAOMBI, MAOMBI ...anaacha kufanya shughuli zake, ikiwa ni pamoja na kumhudumia mumewe, anakimbilia kwenye MAOMBI ...hapa Arusha kuna hawa wanaoitwa RADIO SAFINA, wamewateka kabisa akina mama zetu, akina dada, hawasikii hawambiwi. Unawakuta wamebeba Chumvi/fruto wanaenda kwenye maombi radio safina.

Mkuu jana Stadium jini mahaba alikuwa anashughulikiwa......Wanawake walikuwa wengi kama utitiri.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom