Ni nchini Bulgaria.Hata wale wataalamu walioanzisha Machine Tools factory ya Kilimanjaro walisomea Bulgaria
Kwa hiyo lazima utambue machine zinahitaji wataalumu tofauti. Kwa hiyo unakuta mtambo una electrical systems, electronic systems, mechanical systems, nk kazi ambayo haiwezi kufanywa na mtu mmoja.
Ghorofa tu la nyumba linakuwa na wataalamu wa ujenzi, architectures, electrical, water etc. Vinginevyo utakuwa na watu wenye general knowledge na hawatafanya chochote cha maana.
Mkuu tukubaliane kuwa Specialization ni muhimu sana kama unataka ufanisi. Mtu akisoma electrical engineering pekee anakuwa na uwezo mkubwa wa kuwa creative katika eneo husika. Kwa hiyo hata mwanafunzi atacover mambo mengi wakati anasoma chuo sababu ana muda wa kutosha. Sasa mtu anasoma mechanical miaka minne, electrical miaka 4, computer and electronics miaka 4, Niambie materials hayo yote uyacondense na kutengeneza kitu cha miaka 4. Jiulize kinakuwa na content gani zaidi ya general knowledge ya taaluma hizo? Ndo maana Marekani, Ulaya na hata China wametengeneza specializations ili mtu asome taaluma husika kwa undani wake kuliko kuunganisha vitu alafu mtu anaishia kusoma tu general knowledgeHicho ulichoandika kinaitwa divide and rule katika elimu.
Mkuu Nyerere kuna wakati alitembelea kiwanda cha PHILIPS kilikuwa Arusha.Alipofika pale alishangaa anakutana na mainjinia wa kitanzania hawajui kutengeneza radio nzima.Kila mmoja ana kaidara kadogo tu anakosimamia.Mwingine sijui yuko idara ya kupachika transistor.Akauliza hivi wewe miaka yote kazi yako ni hiyo tu kupachika transitor akasema ndio.Niliajiriwa ngazi ya chini hadi nimepandia vyeo hapa.
Nchi za kikomunisti waliligundua hilo mapema.Elimu zao wakaanza ku-consolidate mambo muhimu yawe kwenye kichwa kimoja.Kama ni fundi ujenzi wa nyumba wanampa digriii inayobeba vitu ndani vyote muhimu.Anafundishwa Uchoraji ramani,ufundi ujenzi,ufundi umeme na ufundi bomba wa maji.Akitoka na digrii yake kaiva.Anakutolea kitu cha kueleweka.
Elimu zetu za vipande vipande zinatoa watu ambao ni HALF COOKED.nDIO MAANA ukimwambia mtu tengeneza machine hata ya kuchonga vijiti tu vya kuchokonolea meno (toothpicK) Anakukodolea macho tu utafikiri mjusi kabanwa na mlango pamoja na digrii yake ya mechanical engeneering aliyonayo.Hajui hata aanzie wapi.Ndio maana nasema tupate watu wa digrii za machine building.Tuachane na hizi digrii lukuki ambazo hazitengenezi mashine
Sasa mtu anasoma mechanical miaka minne, electrical miaka 4, computer and electronics miaka 4, Niambie materials hayo yote uyacondense na kutengeneza kitu cha miaka 4. Jiulize kinakuwa na content gani zaidi ya general knowledge ya taaluma hizo
Hoja yako ni ya msingi sana.Nchi za wenzetu zinakuwa na digrii zinazofundisha utengenezaji wa mashine mbali mbali.Watu hawa huweza unda kila aina za mashine ziwe za kilimo,viwandani, injini,meli .ndege nk ni watu ambao kama ambavyo watu husomea ujenzi wakawa wajenzi wa majumba na hawa wakitoka wakimaliza masomo huwa waundaji wa mashine za kila namna hata za kutengeneza vipuri mbali mbali.
Tunataka Tanzania ya viwanda ni wakati muafaka serikali kupeleka watu kusoma hizo digrii na pia wakirudi waweza saidia kuanzisha vitivo vya vyuo vikuu vya Machine Building au kuanzisha syllabus VETA ya mafunzo ya utengenezaji mashine.
Watu hao ni muhimu mno katika nchi inayotaka kuingia kwenye viwanda.Kwa sasa wataalamu wengi tunaowatoa kwenye elimu yetu ni mafundi makenika wa kutengeneza vililivyoharibika vilivyotengenezwa sio wataalamu wa kuunda mashine!!! Tupate wataalamu wetu wa kuunda mashine sio mafundi makenika tu wa mashine!! Tuwe na wataalamu wetu wa kuunda magari sio mafundi makenika wa kutengeneza gari lililoharibika tu la mjapan.Digrii hizo pia zaweza zalisha watu wanaoweza jiajiri na kuanzisha viwanda vyao vya kuunda mashine na mitambo mbalimbali.
Ni wakati wa kuondokana na kuzalisha makenika na kuanza kuzalisha waunda mashine
yehodaya123@gmail.com
Nchi za wenzetu zinakuwa na digrii zinazofundisha utengenezaji wa mashine mbali mbali.Watu hawa huweza unda kila aina za mashine ziwe za kilimo,viwandani, injini,meli .ndege nk ni watu ambao kama ambavyo watu husomea ujenzi wakawa wajenzi wa majumba na hawa wakitoka wakimaliza masomo huwa waundaji wa mashine za kila namna hata za kutengeneza vipuri mbali mbali.
Tunataka Tanzania ya viwanda ni wakati muafaka serikali kupeleka watu kusoma hizo digrii na pia wakirudi waweza saidia kuanzisha vitivo vya vyuo vikuu vya Machine Building au kuanzisha syllabus VETA ya mafunzo ya utengenezaji mashine.
Watu hao ni muhimu mno katika nchi inayotaka kuingia kwenye viwanda.Kwa sasa wataalamu wengi tunaowatoa kwenye elimu yetu ni mafundi makenika wa kutengeneza vililivyoharibika vilivyotengenezwa sio wataalamu wa kuunda mashine!!! Tupate wataalamu wetu wa kuunda mashine sio mafundi makenika tu wa mashine!! Tuwe na wataalamu wetu wa kuunda magari sio mafundi makenika wa kutengeneza gari lililoharibika tu la mjapan.Digrii hizo pia zaweza zalisha watu wanaoweza jiajiri na kuanzisha viwanda vyao vya kuunda mashine na mitambo mbalimbali.
Ni wakati wa kuondokana na kuzalisha makenika na kuanza kuzalisha waunda mashine
yehodaya123@gmail.com
ri aanze uzalishaji.
Nyerere alijaribu kuanzisha taasisi kama hizo nazozungumzia za kufanya design kama TEMDO, CAMARTEC, Nyumbu, NECO, Mzinga n.k lakini nyingi zimeuzwa kama NECO au zinapumilia mashine kwa sababu hazipati uwezeshaji kifedha na zimekaa mno kianalogue maana hata wanaoziongoza hawana maono ya kimaendeleo
Kitendo cha kuina neno"Sofia" kwenye hiyo link sikuhangaika kuifungua maana nawajua hapo wahindi wa Gujarat ambao walitulete St. Joseph Universities na wapigaji wenzake. Asibgekuwa JPM Hawa wahindi sijuhi wangelipekeka taifa letu wapi!

Kwa hiyo kwa sababu hawajawahi kudesign chochote ndio watu wasisomeshwe na kupata ngazi za elimu walizofikia maishani?.mwandosya,martin luhanga,makame mbarawa na wenziwe hivi walisha design nini?
Hizo shughuli zako utamaliza lini? Time is money.Ingekuwa vizuri walau ungeandika utakavyomsaidia
Nami naona umeanza kupevuka akili, hongera kwa uziAsante kwa pongezi.Siku hazifanani mkuu.Hata kichaa kuna siku moja moja kichaa huwa kinamtoka akaongea point.
Mkuu mi naona tungeanza na wale wa sido na veta huwa wako vizuri sana,tatizo ni uwezeshwaji tu tuna watu wengi wenye vipaji vya namna hiyo,kama uliangalia jana kwenye dira ya dunia,yule jamaa wa Kilimanjaro alietengeneza machine ya kupandia ufuta kwa kutumia nyenzo duni,yule akiwezeshwa anaweza kufanya mambo makubwa sanaNchi za wenzetu zinakuwa na digrii zinazofundisha utengenezaji wa mashine mbali mbali.Watu hawa huweza unda kila aina za mashine ziwe za kilimo,viwandani, injini,meli .ndege nk ni watu ambao kama ambavyo watu husomea ujenzi wakawa wajenzi wa majumba na hawa wakitoka wakimaliza masomo huwa waundaji wa mashine za kila namna hata za kutengeneza vipuri mbali mbali.