Serikali ipeleke watu kusoma nje Digrii za Machine Building

Hapa kwetu bado tuna Mechanical,electrical,electromechanical, electronics ambazo ukichanganya kwa pamoja hao maengineer kwenye hizo taaluma wanatakiwa kabisa waweze kudesign na kutengeneza mitambo aina fulani.. Mfano kuchonga crankshaft, kumould engine blocks, overhead crane, lift za maghorofa nk

Hapa kwetu ili uweze kujenga mtambo au machine kwa maelezo yako unatakiwa uwe na watu wengi wenye wa fani nyingi kama ulivyosema!!! Kitu ambacho huo umati kuukutanisha pamoja ni shuhuli pevu na gharama kubwa.Ndio maana hao waliobuni digrii ya Machine building waliamua wawe na kichwa kimoja kijaze masomo hayo ya watu wengi uliowataja ili hicho kichwa kimoja kiweze kuunda machine.Hii digrii si kwa ajili ya watu wenye vichwa vibovu ni kwa ajili ya kipanga na wenye akili za uhakika .Sylabuss yake inabeba vyote ulivyotaja kwenye kichwa kimoja.

Ukisubiria kuwe na mkutano wa mechanical engineer ,electrical enginer ,electromechanical na electronics engineer halafu kwa pamoja wakae pamoja kama wako kitchen party wawaze wabuni nini utakesha milele mashine haiji kutengenezwa.Ndio maana kama nchi tunahitaji vichwa vyenye digrii za machine building ziingie kazini moja kwa moja kwenye uzalishaji badala ya vikao vya wataalamu lukuki ambao kuwakusanya tu ni shida
 
sasa umeanza mambo ya UVCCM,the jack of all trades,master of none
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Nchi za wenzetu zinakuwa na digrii zinazofundisha utengenezaji wa mashine mbali mbali.Watu hawa huweza unda kila aina za mashine ziwe za kilimo,viwandani, injini,meli .ndege nk ni watu ambao kama ambavyo watu husomea ujenzi wakawa wajenzi wa majumba na hawa wakitoka wakimaliza masomo huwa waundaji wa mashine za kila namna hata za kutengeneza vipuri mbali mbali.

Tunataka Tanzania ya viwanda ni wakati muafaka serikali kupeleka watu kusoma hizo digrii na pia wakirudi waweza saidia kuanzisha vitivo vya vyuo vikuu vya Machine Building au kuanzisha syllabus VETA ya mafunzo ya utengenezaji mashine.

Watu hao ni muhimu mno katika nchi inayotaka kuingia kwenye viwanda.Kwa sasa wataalamu wengi tunaowatoa kwenye elimu yetu ni mafundi makenika wa kutengeneza vililivyoharibika vilivyotengenezwa sio wataalamu wa kuunda mashine!!! Tupate wataalamu wetu wa kuunda mashine sio mafundi makenika tu wa mashine!! Tuwe na wataalamu wetu wa kuunda magari sio mafundi makenika wa kutengeneza gari lililoharibika tu la mjapan.Digrii hizo pia zaweza zalisha watu wanaoweza jiajiri na kuanzisha viwanda vyao vya kuunda mashine na mitambo mbalimbali.

Ni wakati wa kuondokana na kuzalisha makenika na kuanza kuzalisha waunda mashine

yehodaya123@gmail.com
Kama watu wasio kuwa na degree.wanaweza wakatengeneza helkopita yenye uwezo wa kupaa Kama ile iliyotengenezwa na Mzungu Kuna haja gani ya kuwapeleka watanzania kwenda nje kusomea degree?kwa nini hao wazungu wasitwe ndani ya nchi kujakuwafundisha vijana wetu hapahapa nchini ambapo watafundishwa vijana wengi zaidi ya watakao pelekwa nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kuboresha vyuo vyetu ambavyo vitawasaidia vijana wetu kuendelea kupata elimu kwa muda mrefu zaidi pasipo kwenda kwa wazungu Ili viende sambamba na vyuo vya wazungu.
 
kwa nini hao wazungu wasitwe ndani ya nchi kujakuwafundisha vijana wetu hapahapa ambapo watafundishwa vijana wengi zaidi ya watakao pelekwa nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kuboresha vyuo vyetu ambavyo vitawasaidia vijana wetu kuendelea kupata elimu kwa muda mrefu zaidi pasipo kwenda kwa wazungu Ili viende sambamba na vyuo vya wazungu.

Sina tatizo na hilo .Swala karakana na miundo mbinu ya walimu hao wakija kufundisha hapa zipo za kutosha kama kule kwao? Mfano mwanafunzi anafundishwa kuunda nchini ya ndege je karakana zetu za vyuo vyetu zinazo karakana za aina hiyo za kufundishia.Kwenda wanafunzi nje ni kuwapa ujuzi na uwezo kwenye mazingira yenye walimu wa kutosha na miundombinu ya kutosha ya kujifunzia.Hii ni kwa muda mfupi wakajue kulivyo na ufundishaji ulivyo baadaye waweza kuwa walimu kwenye vyuo vyetu hapa.Kitivo huwa na walimu wengi kuwaleta vyuo vyetu ni gharama kubwa mno na si rahisi.Wakajifunze waje warudi wawe walimu
 
Nchi za wenzetu zinakuwa na digrii zinazofundisha utengenezaji wa mashine mbali mbali.Watu hawa huweza unda kila aina za mashine ziwe za kilimo,viwandani, injini,meli .ndege nk ni watu ambao kama ambavyo watu husomea ujenzi wakawa wajenzi wa majumba na hawa wakitoka wakimaliza masomo huwa waundaji wa mashine za kila namna hata za kutengeneza vipuri mbali mbali.

Tunataka Tanzania ya viwanda ni wakati muafaka serikali kupeleka watu kusoma hizo digrii na pia wakirudi waweza saidia kuanzisha vitivo vya vyuo vikuu vya Machine Building au kuanzisha syllabus VETA ya mafunzo ya utengenezaji mashine.

Watu hao ni muhimu mno katika nchi inayotaka kuingia kwenye viwanda.Kwa sasa wataalamu wengi tunaowatoa kwenye elimu yetu ni mafundi makenika wa kutengeneza vililivyoharibika vilivyotengenezwa sio wataalamu wa kuunda mashine!!! Tupate wataalamu wetu wa kuunda mashine sio mafundi makenika tu wa mashine!! Tuwe na wataalamu wetu wa kuunda magari sio mafundi makenika wa kutengeneza gari lililoharibika tu la mjapan.Digrii hizo pia zaweza zalisha watu wanaoweza jiajiri na kuanzisha viwanda vyao vya kuunda mashine na mitambo mbalimbali.

Ni wakati wa kuondokana na kuzalisha makenika na kuanza kuzalisha waunda mashine

yehodaya123@gmail.com

Sio tu kwamba hatuna wataalamu mahiri wa kuweza kubuni mitambo na mashine bali pia hadi sasa hatuna Kiwanda cha kutengenezea Spare parts za mashine.Viko vitu ni common kwa kila mashine.Kwa mfano Bolts na Nults.Sasa hivi tunahamasisha viwanda kila kona ya nchi lakini hakuna kiwanda cha kutengeneza vitu muhimu kama hivyo kwa wingi.Unajenga kiwanda Biharamulo kule Bolt uje uipate DSM au iagizwe nje.Je, production haitaathirika kunapotokea tunasubiria mabolt?

Nadhani Magufuli angemwambia Waziri wake aitishe mjadala wa Kitaifa juu ya mpango huu wa Viwanda.Hili linapaswa kuwa wazo la Watanzania wote.Viwanda likiwa wazo la Kitaifa ni kwamba hata watoto walioko chekechea wataanza kuimba kujenga viwanda ukubwani mwao.Kwa Sasa watoto wetu wanaimba "kujenga" mistari kama Diamond.

Nchi nyingine zilizoendelea ki-viwanda hayakuwa mawazo tu ya watawala bali yalifanywa mawazo ya kizazi hata kizazi.Jamii nzima ilihusika.Tufike mahali tuuze CD za jinsi mashine mbalimbali duniani na za tekinolojia mbalimbali zinavyofanya kazi.Wizara ya Elimu ihuishe mitaala yetu.Watoto kuanzia shule ya msingi wakienda kushoto,kulia,nyuma au mbele wakutane na picha,video za mashine na mitambo mbalimbali.Kwa kufanya hivi tutapandikiza shauku ya watoto hao kuja kuwa na viwanda ukubwani na hata kubuni mashine na mitambo mbalimbali.Vinginevyo Magufuli akiondoka tutarudi kule kule.Tatizo nchi tunafanya vitu vyetu kwenye apex ya Pyramid.We are endoctrinated by Pyramidal thinking.
 
mwandosya,martin luhanga,makame mbarawa na wenziwe hivi walisha design nini?
Wamedesign ilani ya CCM na hapa juzi pro Makame kadesign chapa ya ndege mpya iwe 'HAPA KAZI TU'.
 
Hapa kwetu ili uweze kujenga mtambo au machine kwa maelezo yako unatakiwa uwe na watu wengi wenye wa fani nyingi kama ulivyosema!!! Kitu ambacho huo umati kuukutanisha pamoja ni shuhuli pevu na gharama kubwa.Ndio maana hao waliobuni digrii ya Machine building waliamua wawe na kichwa kimoja kijaze masomo hayo ya watu wengi uliowataja ili hicho kichwa kimoja kiweze kuunda machine.Hii digrii si kwa ajili ya watu wenye vichwa vibovu ni kwa ajili ya kipanga na wenye akili za uhakika .Sylabuss yake inabeba vyote ulivyotaja kwenye kichwa kimoja.

Ukisubiria kuwe na mkutano wa mechanical engineer ,electrical enginer ,electromechanical na electronics engineer halafu kwa pamoja wakae pamoja kama wako kitchen party wawaze wabuni nini utakesha milele mashine haiji kutengenezwa.Ndio maana kama nchi tunahitaji vichwa vyenye digrii za machine building ziingie kazini moja kwa moja kwenye uzalishaji badala ya vikao vya wataalamu lukuki ambao kuwakusanya tu ni shida

Nafikiri hujaelewa, hata huyo aliyesoma Machine building usifikiri anaweza kufanya kazi bila elecronics engineer kwenye design ambayo ni Mechanical + electronics, unachotakiwa kuelewa ni kwamba tofauti ya Machine building and Mechanical engineering ni ndogo sana tena inawezekana aliyesoma Mechanical Engineering akawa amesoma vitu vingi kuliko huyu wa Machine building. Hata huyu Mechanical engineer kuna project anaweza kuwa mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote mfano kudesign na mould crankshaft, machine ya juice ya miwa ambayo ni pure mechanical kwahiyo mechanical engineer anaweza kusimama peke yake...
 
Serikali hii ikipeleka wanafunzi nje wakihitimu na kurudi nchini huwa haina habari nao. Inatumia gharama kubwa kuwasomesha nje ili wapate ujuzi mzuri lakini wakirudi wanahangaika na bahasha mjini. Wapo jamaa wengi mtaani wamesoma Ukraine, Poland, Urusi, China, Cuba, Algeria n.k. Wana miaka mitano, minne, mitatu, miwili mitaani bado wanasota.
 
Nafikiri hujaelewa, hata huyo aliyesoma Machine building usifikiri anaweza kufanya kazi bila elecronics engineer kwenye design ambayo ni Mechanical + electronics, unachotakiwa kuelewa ni kwamba tofauti ya Machine building and Mechanical engineering ni ndogo sana tena inawezekana aliyesoma Mechanical Engineering akawa amesoma vitu vingi kuliko huyu wa Machine building. Hata huyu Mechanical engineer kuna project anaweza kuwa mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote mfano kudesign na mould crankshaft, machine ya juice ya miwa ambayo ni pure mechanical kwahiyo mechanical engineer anaweza kusimama peke yake...
kamanda uko vizuri,mwaga maziwa na asali
 
Kuanzisha mashindano mbalimbali kuanzia shule za msingi (science project)....kushirikiana na viwanda vilivyopo vinavyofanya kazi. Kuongeza nguvu VETA na SIDO. Kuwa na ushirikiano kati ya viwanda na vyuo katika ufundishaji na uandaaji wa mafunzo.
 
Mpaka sasa mfumo wa Elimu kuanzia msingi mpaka chuo unamuandaa mwanafunzi kufaulu mtihani kwa maana ya kukalili na sio kuelewa kile anachosomea, na ukijifanya unataka kuelewa lazima utafeli maana muda hautatosha na ndio utakuwa mwisho wa kipaji chako maana kwa tanzania ukikalili na kufaulu unaonekana ni mtu wakati hujaelewa hiko ulisomea. HILI NI TATIZO LA MSINGI KABISA..

Ndio maana kuna wakati huwa namchana Magufuli na CCM.Hivi kweli kama Taifa tumeendelea kuamini kwa dhati kuwa wanafunzi wenye akili ni wale tu wanao-score GPA nzuri tu madarasani? Hivi hawa watu kila matokeo yakitoka tunaonyeshwa na Vyombo vya habari kama ndio Vinara wa akili baadaye wanaishia wapi?Ni vitu gani exceptional sana(kulingana na akili zao) baadaye huja kulifanyia Taifa hili?Mimi naona wanaojitokeza kwa ubunifu uliotukuka wengi wao sio hao tunaotangaziwa na Baraza la Mitihani.
Tunahitaji kutofautisha kati ya uwezo wa kurejea tuliyosimuliwa au kujifunza(memorizing intellect) na uwezo wa kuumba mambo au vitu ili wengine waje wayakumbuke au wayahadithie kwa wengine(Creative intellect).Ubunifu wa Mitambo na mashine iwayo yote huletwa na Creative intellect/ability.Viwanda vinahitaji creative intellect. Vinginevyo tutaendelea kutukuza watu ambao baadaye wanakuja kuwa mahiri wa kutuhadithia tu jinsi akina Newton walivyoishi na yale waliyoyafanya na wengine wafuatiliaji tu wa lini siku ya JK kuzaliwa.

Viwanda sio lazima tu vijengwe na walio na tangible capital.Kama ni hivyo itatuchukua miaka mia moja kwa kuwa wenye mitaji ya fedha kama ya kuweka viwanda ni wachache.Na kama ni wageni(foreign investors) nao wataanza kuangalia kuwekeza kwao kwanza ili watoto na ndugu zao wapate ajira.
Kwa nini Magufuli asi-adopt utaratibu hata wa vijana ambao ni Ma-guru katika ubunifu wa kitekinolojia wakaanzisha vikundi au kampuni na wakaandika proposals za viwanda vidogo,kati na vikubwa vinavyoweza hata kutumia locally available raw materials na serikali ikawasaidia mitaji ya pesa kupitia Supervised Lending?
 
Hapa kwetu ili uweze kujenga mtambo au machine kwa maelezo yako unatakiwa uwe na watu wengi wenye wa fani nyingi kama ulivyosema!!! Kitu ambacho huo umati kuukutanisha pamoja ni shuhuli pevu na gharama kubwa.Ndio maana hao waliobuni digrii ya Machine building waliamua wawe na kichwa kimoja kijaze masomo hayo ya watu wengi uliowataja ili hicho kichwa kimoja kiweze kuunda machine.Hii digrii si kwa ajili ya watu wenye vichwa vibovu ni kwa ajili ya kipanga na wenye akili za uhakika .Sylabuss yake inabeba vyote ulivyotaja kwenye kichwa kimoja.

Ukisubiria kuwe na mkutano wa mechanical engineer ,electrical enginer ,electromechanical na electronics engineer halafu kwa pamoja wakae pamoja kama wako kitchen party wawaze wabuni nini utakesha milele mashine haiji kutengenezwa.Ndio maana kama nchi tunahitaji vichwa vyenye digrii za machine building ziingie kazini moja kwa moja kwenye uzalishaji badala ya vikao vya wataalamu lukuki ambao kuwakusanya tu ni shida
Mkuu hapa napingana na wewe kama lengo lako ni kupunguza idadi ya watu na gharama kwa kuunganisha taaluma lukuki katika degree program moja. Mfano mtu anayeelewa maswala ya kitaaluma hawezi kukwambia kwamba tuwe na bachelor degree inayoitwa BSc in Computer, kwa mantiki kwamba tunataka wataalamu wa computer. Computer imeundwa na mainjinia wa computer, mainjinia wa umeme, computer scientists, na chips nyingi za computer ni kazi ya electronics, n.k.

Kwa hiyo lazima utambue machine zinahitaji wataalumu tofauti. Kwa hiyo unakuta mtambo una electrical systems, electronic systems, mechanical systems, nk kazi ambayo haiwezi kufanywa na mtu mmoja.

Ghorofa tu la nyumba linakuwa na wataalamu wa ujenzi, architectures, electrical, water etc. Vinginevyo utakuwa na watu wenye general knowledge na hawatafanya chochote cha maana.
 
Nimesoma hiyo link lakini naomba unisaidie ni nchi gani, ila kwa ufahamu wangu najua itakuwa Urusi au nchi zilizokuwa Urusi. Hoja yangu pia ni sikweli eti kukosa watu waliosoma degree au masters ya Machine design and building ndio kunatufanya tusiweze kutengeneza machine na mitambo. Kwa watu wenye taaluma ya Mechanical,electrical, electromechanical, electronics wanatakiwa waweze kudesign na kumanufacture mitambo au mtambo aina yoyote kwa fani moja au kuchanganya fani tofauti tofauti, Engineer wa MECHANICAL +ELECTRONICS kwa pamoja wakikaa wanatakiwa waweze kudesign kitu na kifanye kazi kama hawawezi basi ni wazembe. Kuna tatizo mahali kama hao maengineer tuliokuwa nao waliosoma hizo fani nilizoainisha hawawezi kutengeneza au kudesign kitu, tulitafute hilo tatizo.
Ni nchini Bulgaria.Hata wale wataalamu walioanzisha Machine Tools factory ya Kilimanjaro walisomea Bulgaria
 
Back
Top Bottom