Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

Amani anaivunja JPM...

Yy anataka kututawala kama wake zake badala ya kutuongoza kama Rais.
 
Naunga mkono hoja kw %100.hawa watu hawana nia njema hata kidogo na nchi hii.ni jambo la kushangaza sn wao kule waliko wanazitii sheria za nchi hizo.lkn wanataka huku watu wavunje sheria.NI AJABU SN.km huyu kahaba.huku aliko hasomi,hafanyi biashara wala hana kz ya kufanya.lkn anaishi.
Nyinyi bila Polisi mbona mnafurushwa na nchi.
 
Asilimia kubwa ya wanaosoma posts za Mange na kuzipenda ni watu wanaoishi ndani ya Tanzania.

Cha muhimu na cha busara ni kutambua kuwa kuna sauti nyingi zinazolia, ambazo zipo hapa Tanzania, zikipata mahali pa kusikilizwa na hao kina Mange, basi zinaona kama zimepata sehemu ya kupunguzia hasira.

Serikali itekeleze ahadi zote ilizoziahidi na wakati huo huo itambue changamoto za vijana na kuzifanyia kazi.

Hao kina Mange na Chahali wataonekana hawana jipya kutokana na ubunifu wa serikali yenyewe.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Wapo Watanzania wengi wanaoishi nje ya nchi nikiwemo mimi. Hata hivyo, tumegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni la wale tuliokuja huku kwa shughuli maalum ikiwemo masomo kama ilivyo ujio wangu hapa Uingereza na wakati wowote tunataraji kurejea nchini.

Hata hivyo, wapo baadhi ya Watanzania ambao wameamua kuendesha maisha yao nje ya nchi yao. Kwa maana nyingine, Tanzania hawana lolote wanalotumainia na wengine wapo kwenye mchakato wa kuchukua uraia wa nchi wanazoishi. Kwao Tanzania haina maana tena. Kwao Tanzania si nchi ya kuishi. Kwao amani ya Tanzania haina faida. Kwao Tanzania ikiwaka moto hawana cha kupoteza.

Ni kwa misingi hiyo, kiwango cha uzalendo na moyo wa kupenda nchi yao wa Kundi hili la Pili kipo chini sana. Kwa nini ninasema hayo? Nitaeleza hapa chini;
  1. Watanzania hawa kwa sasa wameibuka wachochezi wakubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia. Mijadala mingi inayoashiria uvunjifu wa amani inaasisiwa na hawa wanaojiita Watanzania. Hawa ndio wanaoongoza kutukana na kudhalilisha viongozi wetu.
  2. Watanzania hawa wanaheshimu utawala wa sheria wa nchi wanazoishi. Ila wanahamasisha Watanzania wavunje sheria ili polisi watumie nguvu kuwatawanya na hivyo wapate sababu za kuishambulia Serikali. Mathalan, tunasikia kuwa Watanzania waishio Ujerumani na Marekani wamewasilisha barua za kuomba kuandamana tarehe 26/04/2018 na tayari Ujerumani wameruhusiwa. Hata hivyo, wanawahamasisha Watanzania wasifuate sheria katika kuandamana. wanawataka tu ifikapo tarehe 26/04/2018 waingie barabarani na kwamba kuandamana ni haki yao. Kama kuandamana ni haki ya kila mmoja hapa duniani, why kwenye nchi wanazoishi wanawasilisha maombi ya kuandamana but wanawataka Watanzania wasifuate sheria huko nyumbani?
  3. Watanzania hawa hawana faida yoyote kwa nchi kwani hawana mchango kwa maendeleo ya Taifa. Baadhi yao hawatumi hata fedha za matumizi kwa ndugu zao waliopo huko nyumbani.
  4. Baadhi ya Watanzania hawa wamechukua uraia wa nchi nyingine kinyemela na wengine wapo kwenye harakati za kuchukua uraia huo.
  5. Watanzania hawa wanapandikiza chuki miongoni mwa jamii ili Tanzania ifarakane kwa sababu binafsi.
  6. Baadhi ya Watanzania hawa wanatumiwa na mataifa wanayoishi kufanya Ujasusi Tanzania. Ni hatari sana wakiendelea kuwa Watanzania.
  7. Baadhi ya Watanzania hawa hawajulikani hata wanafanya kazi gani na hivyo kuwa wepesi kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu.
Zipo sababu nyingi ila kwa leo nimeamua kuweka hizo kwa dhamira ya kuanzisha mjadala. Naamini pia Watanzania wema wanazo sababu nyingine na nitaupdate kwa kadri nitakavyopata mawazo mapya.

Kwa muktadha huo, why kuendelea kuwa na watu hawa? Wana faida gani kwa taifa letu? Kuishi na watu hawa ni sawa na kukaa nyumba moja na mtu kichaa. Japo ni ndugu yako ila akili zake zikicharuka siku yoyote anakucharanga mapanga.

Nitoe wito kwa Serikali yangu. Huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu. Maamuzi yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Maamuzi yenye lengo la kuminya mianya ya watu kutumia Utanzania kuleta vurugu kwa Watanzania. Shime pelekeni Muswada hata ikiwezekana kwenye Bunge la Bajeti linalotarajiwa kuanza mwezi Aprili 2018 wa KUFUTA URAIA WA WATANZANIA DIASPORA ambao hawana dhamira njema kwa nchi yao. Mchakato wa kuwapata watu hao ufanyike kwa umakini ili kuepuka kumuonea mtu.

Nawasilisha.

Unamtambuaje kama huyu anapinga na yule hapingi? Kama ni walowezi tayari au wana uraia tayari kwa nchi wakaayo, je sheria ya Tanzania inasemaje juu ya mtu aliyechukua uraia wa nchi nyingine?
Je, ni haki kumyima mtu uraia wa mahali alipozaliwa bila kumsikiliza, na kutafuta ni wapi alipokosea kuliko kuhukumu kwa kuhisi?
 
UTANZANIA WAO HAWAKUUPATA KWA MISWAADA BALI GENEALOGY, WAMEZALIWA NA WAZAZI WATANZANIA AMBAO NAO WALIZALIWA NA WATANZANIA, HUWEZI WANYANG'ANYA KWA MAKARATASI. HATA MUSWADA UKIPITA WAO WATABAKI KUWA WATANZANIA TU. VIPI WAKIJA WENGINE MADARAKANI NA KUFUTA UTANZANIA WA WALIO WAFUTIA? NANI ATABAKI MTANZANIA?
 
Ni haki yangu kutoa mawazo. Hujalazimishwa kuchangia
Sasa kama mnajua kuna haki ya kutoa mawazo, kwanini mnawaandama hao watoa mawazo yaliyo tofauti na nyinyi? Au haki hiyo imetolewa kwa CCM tu?

I doubt kama elimu ya Uingereza imekuwa ya hovyo kiasi hiki. Ila kwa upande mwingine, vijana wa CCM mmekuwa na uwezo mdogo sana, na huu uwezo wenu mdogo utaigharimu hiyo nchi miongo hata miongo.
 
Hapo Tandale ndio nje ya nchi ? Siwezi kuchangia andiko ambalo limeanza na uongo .
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Wapo Watanzania wengi wanaoishi nje ya nchi nikiwemo mimi. Hata hivyo, tumegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni la wale tuliokuja huku kwa shughuli maalum ikiwemo masomo kama ilivyo ujio wangu hapa Uingereza na wakati wowote tunataraji kurejea nchini.

Hata hivyo, wapo baadhi ya Watanzania ambao wameamua kuendesha maisha yao nje ya nchi yao. Kwa maana nyingine, Tanzania hawana lolote wanalotumainia na wengine wapo kwenye mchakato wa kuchukua uraia wa nchi wanazoishi. Kwao Tanzania haina maana tena. Kwao Tanzania si nchi ya kuishi. Kwao amani ya Tanzania haina faida. Kwao Tanzania ikiwaka moto hawana cha kupoteza.

Ni kwa misingi hiyo, kiwango cha uzalendo na moyo wa kupenda nchi yao wa Kundi hili la Pili kipo chini sana. Kwa nini ninasema hayo? Nitaeleza hapa chini;
  1. Watanzania hawa kwa sasa wameibuka wachochezi wakubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa kisiasa na asasi za kiraia. Mijadala mingi inayoashiria uvunjifu wa amani inaasisiwa na hawa wanaojiita Watanzania. Hawa ndio wanaoongoza kutukana na kudhalilisha viongozi wetu.
  2. Watanzania hawa wanaheshimu utawala wa sheria wa nchi wanazoishi. Ila wanahamasisha Watanzania wavunje sheria ili polisi watumie nguvu kuwatawanya na hivyo wapate sababu za kuishambulia Serikali. Mathalan, tunasikia kuwa Watanzania waishio Ujerumani na Marekani wamewasilisha barua za kuomba kuandamana tarehe 26/04/2018 na tayari Ujerumani wameruhusiwa. Hata hivyo, wanawahamasisha Watanzania wasifuate sheria katika kuandamana. wanawataka tu ifikapo tarehe 26/04/2018 waingie barabarani na kwamba kuandamana ni haki yao. Kama kuandamana ni haki ya kila mmoja hapa duniani, why kwenye nchi wanazoishi wanawasilisha maombi ya kuandamana but wanawataka Watanzania wasifuate sheria huko nyumbani?
  3. Watanzania hawa hawana faida yoyote kwa nchi kwani hawana mchango kwa maendeleo ya Taifa. Baadhi yao hawatumi hata fedha za matumizi kwa ndugu zao waliopo huko nyumbani.
  4. Baadhi ya Watanzania hawa wamechukua uraia wa nchi nyingine kinyemela na wengine wapo kwenye harakati za kuchukua uraia huo.
  5. Watanzania hawa wanapandikiza chuki miongoni mwa jamii ili Tanzania ifarakane kwa sababu binafsi.
  6. Baadhi ya Watanzania hawa wanatumiwa na mataifa wanayoishi kufanya Ujasusi Tanzania. Ni hatari sana wakiendelea kuwa Watanzania.
  7. Baadhi ya Watanzania hawa hawajulikani hata wanafanya kazi gani na hivyo kuwa wepesi kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu.
Zipo sababu nyingi ila kwa leo nimeamua kuweka hizo kwa dhamira ya kuanzisha mjadala. Naamini pia Watanzania wema wanazo sababu nyingine na nitaupdate kwa kadri nitakavyopata mawazo mapya.

Kwa muktadha huo, why kuendelea kuwa na watu hawa? Wana faida gani kwa taifa letu? Kuishi na watu hawa ni sawa na kukaa nyumba moja na mtu kichaa. Japo ni ndugu yako ila akili zake zikicharuka siku yoyote anakucharanga mapanga.

Nitoe wito kwa Serikali yangu. Huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu. Maamuzi yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Maamuzi yenye lengo la kuminya mianya ya watu kutumia Utanzania kuleta vurugu kwa Watanzania. Shime pelekeni Muswada hata ikiwezekana kwenye Bunge la Bajeti linalotarajiwa kuanza mwezi Aprili 2018 wa KUFUTA URAIA WA WATANZANIA DIASPORA ambao hawana dhamira njema kwa nchi yao. Mchakato wa kuwapata watu hao ufanyike kwa umakini ili kuepuka kumuonea mtu.

Nawasilisha.

Umewasilisha chuki na ujinga mtupu. Nani kakupa madaraka ya kuhukumu watanzania wote waliopo nje? Kwanza kuna viongozi wa upinzani wanaokuja huku nje kupandikiza chuki za kisiasa za Tanzania huku nje. Na ndio walio nyuma ya hayo maandamano unayoyasema.
 
Unamtambuaje kama huyu anapinga na yule hapingi? Kama ni walowezi tayari au wana uraia tayari kwa nchi wakaayo, je sheria ya Tanzania inasemaje juu ya mtu aliyechukua uraia wa nchi nyingine?
Je, ni haki kumyima mtu uraia wa mahali alipozaliwa bila kumsikiliza, na kutafuta ni wapi alipokosea kuliko kuhukumu kwa kuhisi?
Hizo ni ndoto za mchana kweupe,kwanza huyo kijana Lizaboni yupo Mburahati anatuambia yuko UK.

Umemuliza maswali mazuri sana na sijui kama atarudi kukujibu..!!!
 
KAMA UPO HUKO NA MIMI NITAFTIE NAMNA YA KUPATA VISA BASI NA URAIA ILI NIKAHAMASISHE MAANDAMANO KWA UHURU ZAIDI.....WE ARE TIRED WITH THIS RUBBISH ADMNISTRATION BRO THAT'S WHY
 
Hivi mtu anasema yupo anasoma halafu anaandika vitu ambavyo havina substance neither doable. Sishangai kukuona hata kiongozi wenu Magu akiwa na akili kama zenu wapumbavu.

Unathani njia yako ndio itasolve tatizo? Unathani umoja na uhuru wa nchi unakwenda wapi?
Nasikitika sana kuona watz tunazidi kugawanyika kutokana na maslahi ya watu wachache.

Wewe lizaboni endelea na maisha yako na hio masters unayosomeshwa na ccm. Tanzania sio mali yenu wangese nyinyi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom