monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,444
Hamna aliesema tunapesa, na hayo ndio matatizo yenu Nyie matichaNjoo huku Kwa wahindi na degree Yako utanielewa vizuri tuu!!! Kumbuka mhindi ndio waajiri wa Tz Kwa sasa!! Nyie hamjakwa Bado akili ni za kitoto ila muda utawahukumu!! Kwa kujifanya mnapesa saaaana
Badilisheni mentality yenu
Ivi unaona ni sawa mtendaji wa kijiji kumtukana head master?
Haya bwana endeleeni kuvaa mikadeti imepauka na mibuti ilioisha soli upande mmoja