Serikali ingilieni kati, walimu wanadhaurika sana

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Tuache masikhara hii taasisi ya Ualimu inaonewa sana jamani, walimu shida ni nini?

Huu uoga mtaacha lini? Nawaheshimu sana Walimu ila mmezidi sana.

Nilikua nimekwenda Paani huko shambani kuangalia maendeleo ya shamba. Sasa kule nina mwenyeji wangu ambaye huwa ananisadia uangalizi na pia anafunguo za banda langu kule shamba.

Baada ya kufika nikawasiliana naye akanambia niko shuleni nina kikao cha wazazi kuhusu maendeleo ya watoto shule. Akanambia pitia nikupe funguo maana ndo njia hio hio ya kwenda shambani.

Nilivyofika pale shuleni nikampigia simu akawa hapokei wala msg hajibu nikamwambia bodaboda anisubiri niende maana anajua nitapita pale.

Nikasogea mpaka eneo la tukio nikaona kweli kuna mkusanyiko wa watu kama kikao. Wakati nasogea taratibu nilikua nasikia mtu anaongea kwa sauti kubwa kama anakaripa.

Huyu mzee alikua anamkaripia mkuu wa shule mbele ya walimu na wazazi bila wasiwasi wowote. Aisee nilishangaa sana

Nikamwuliza mtu pale huyo anayemkaripia mkuu wa shule ni nani?… jamaa akanmbia ni mtendaji wa kijiji. Aisee nilishangaa sana hivi Mtendaji wa kijiji wengi elimu yao ni form 4, anapataje jeuri na nguvu ya kumtukana mkuu wa shule tena shule ya Secondary?

Hivi ni kwanini walimu hawaheshimiwi yaani hata mtendaji anawavimbia? sasa wale wa wilayani huko itakuaje?

Walimu amkeni acheni kulala mkitaka heshima mjitambue, acheni uoga mtaendelea kudharaulika.

Kiukweli yale ya jana sikupenda kabisa, maana mkuu wa shule alikua kama kamwagiwa maji ya baridi.

Nafikiri Walimu watakua wanapitia mengi sana zaidi ya haya.
 
Tuache masikhara hii taasisi ya Ualimu inaonewa sana jamani, walimu shida ni nini? huu uoga mtaacha lini??. Nawaheshimu sana Walimu ila mmezidi sana.

Nilikua nimekwenda Paani huko shambani kuangalia maendeleo ya shamba. Sasa kule nina mwenyeji wangu ambaye huwa ananisadia uangalizi na pia anafunguo za banda langu kule shamba. Baada ya kufika nikawasiliana naye akanambia niko shuleni nina kikao cha wazazi kuhusu maendeleo ya watoto shule. Akanambia pitia nikupe funguo maana ndo njia hio hio ya kwenda shambani.

Nilivyofika pale shuleni nikampigia simu akawa hapokei wala msg hajibu nikamwambia bodaboda anisubiri niende maana anajua nitapita pale.

Nikasogea mpaka eneo la tukio nikaona kweli kuna mkusanyiko wa watu kama kikao. Wakati nasogea taratibu nilikua nasikia mtu anaongea kwa sauti kubwa kama anakaripa. Huyu mzee alikua anamkaripia mkuu wa shule mbele ya walimu na wazazi bila wasiwasi wowote. Aisee nilishangaa sana

Nikamwuliza mtu pale huyo anayemkaripia mkuu wa shule ni nani?… jamaa akanmbia ni mtendaji wa kijiji. Aisee nilishangaa sana hivi Mtendaji wa kijiji wengi elimu yao ni form 4, anapataje jeuri na nguvu ya kumtukana mkuu wa shule tena shule ya Secondary??. Hivi ni kwanini walimu hawaheshimiwi yaani hata mtendaji anawavimbia? sasa wale wa wilayani huko itakuaje???.

Walimu amkeni acheni kulala mkitaka heshima mjitambue, acheni uoga mtaendelea kudharaulika. Kiukweli yale ya jana sikupenda kabisa, maana mkuu wa shule alikua kama kamwagiwa maji ya baridi.

Nafikiri Walimu watakua wanapitia mengi sana zaidi ya haya.
Nani anawadharaulisha??
 
Na kuhusu kukalipiwa na mtendaji sijui mwenyekiti, Kama makosa yakwake mwl mkuu, Kuna tatizo hapo shuleni, labda wanachangisha Ela za chakula na watoto hawapewi chakula, au wanachangisha Ela za mlinzi na mlinzi hapewi chake, n.k na kalifumbia macho asipewe makavu yake.
 
Why? Serikali ndiyo ifanyaje?. Anyway ikiamua haishindwi, iliwahi kuingilia kati wakati fulani shirika moja la masuala ya utafiti na tathimini ya kielimu lipokuwa linawabeza walimu kuwa wana uwezo mdogo katika igizo lao luningani
 
Tuache masikhara hii taasisi ya Ualimu inaonewa sana jamani, walimu shida ni nini?

Huu uoga mtaacha lini? Nawaheshimu sana Walimu ila mmezidi sana.

Nilikua nimekwenda Paani huko shambani kuangalia maendeleo ya shamba. Sasa kule nina mwenyeji wangu ambaye huwa ananisadia uangalizi na pia anafunguo za banda langu kule shamba.

Baada ya kufika nikawasiliana naye akanambia niko shuleni nina kikao cha wazazi kuhusu maendeleo ya watoto shule. Akanambia pitia nikupe funguo maana ndo njia hio hio ya kwenda shambani.

Nilivyofika pale shuleni nikampigia simu akawa hapokei wala msg hajibu nikamwambia bodaboda anisubiri niende maana anajua nitapita pale.

Nikasogea mpaka eneo la tukio nikaona kweli kuna mkusanyiko wa watu kama kikao. Wakati nasogea taratibu nilikua nasikia mtu anaongea kwa sauti kubwa kama anakaripa.

Huyu mzee alikua anamkaripia mkuu wa shule mbele ya walimu na wazazi bila wasiwasi wowote. Aisee nilishangaa sana

Nikamwuliza mtu pale huyo anayemkaripia mkuu wa shule ni nani?… jamaa akanmbia ni mtendaji wa kijiji. Aisee nilishangaa sana hivi Mtendaji wa kijiji wengi elimu yao ni form 4, anapataje jeuri na nguvu ya kumtukana mkuu wa shule tena shule ya Secondary?

Hivi ni kwanini walimu hawaheshimiwi yaani hata mtendaji anawavimbia? sasa wale wa wilayani huko itakuaje?

Walimu amkeni acheni kulala mkitaka heshima mjitambue, acheni uoga mtaendelea kudharaulika.

Kiukweli yale ya jana sikupenda kabisa, maana mkuu wa shule alikua kama kamwagiwa maji ya baridi.

Nafikiri Walimu watakua wanapitia mengi sana zaidi ya haya.
walimu hasa wa kijijini mafala sana, mtendaji wa kijiji anaanzaje kuniwashia moto halafu nimuache, upambavu tu na uoga usio na maana
 
Back
Top Bottom