Serikali ingilieni kati, walimu wanadhaurika sana

Serikali ingilieni kati, walimu wanadhaurika sana

Tuache masikhara hii taasisi ya Ualimu inaonewa sana jamani, walimu shida ni nini?

Huu uoga mtaacha lini? Nawaheshimu sana Walimu ila mmezidi sana.

Nilikua nimekwenda Paani huko shambani kuangalia maendeleo ya shamba. Sasa kule nina mwenyeji wangu ambaye huwa ananisadia uangalizi na pia anafunguo za banda langu kule shamba.

Baada ya kufika nikawasiliana naye akanambia niko shuleni nina kikao cha wazazi kuhusu maendeleo ya watoto shule. Akanambia pitia nikupe funguo maana ndo njia hio hio ya kwenda shambani.

Nilivyofika pale shuleni nikampigia simu akawa hapokei wala msg hajibu nikamwambia bodaboda anisubiri niende maana anajua nitapita pale.

Nikasogea mpaka eneo la tukio nikaona kweli kuna mkusanyiko wa watu kama kikao. Wakati nasogea taratibu nilikua nasikia mtu anaongea kwa sauti kubwa kama anakaripa.

Huyu mzee alikua anamkaripia mkuu wa shule mbele ya walimu na wazazi bila wasiwasi wowote. Aisee nilishangaa sana

Nikamwuliza mtu pale huyo anayemkaripia mkuu wa shule ni nani?… jamaa akanmbia ni mtendaji wa kijiji. Aisee nilishangaa sana hivi Mtendaji wa kijiji wengi elimu yao ni form 4, anapataje jeuri na nguvu ya kumtukana mkuu wa shule tena shule ya Secondary?

Hivi ni kwanini walimu hawaheshimiwi yaani hata mtendaji anawavimbia? sasa wale wa wilayani huko itakuaje?

Walimu amkeni acheni kulala mkitaka heshima mjitambue, acheni uoga mtaendelea kudharaulika.

Kiukweli yale ya jana sikupenda kabisa, maana mkuu wa shule alikua kama kamwagiwa maji ya baridi.

Nafikiri Walimu watakua wanapitia mengi sana zaidi ya haya.
Maticha most of them hawajielewi

Waendelee kuvaa mikadeti imepauka kinoma
 
Mtendaji ndie raisi wa kijiji watumishi wote wa Serikali wapo chini yake.
Mtendaji anaripoti kwa Mkuu wa wilaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Kanye ukalale. Mkuu wa kijiji ni mwenyekiti wa kijiji hata kwenye kikao mtendaji anakuwa ni katibu.
 
Serikali ipi unayoizungumzia hapa?
Je , hiiyo serikali ina mtazamo gani kwenye hiyo kada ya ualimu??

Kesi ya tumbili unataka tumpelekee ngedere halafu ukitarajia uamuzi wa kesheria au namna gani?!!

Nahisi utakuwa umenielewa!
 
Hizi hoja zenu tumezichoka ni za hovyo mno mnomno Kila siku walimu walimu!! Waanakuhusu nn!? Mbona walimu Wana maisha Yao tuuu!! Wana nyumba zao magari Yao mashamba Yao wanasomaga watoto wao !!! Nashangaa kuwashadadia sijui hamna Cha kufanya!??
Kuna mdada namjua kamaliza degree kapangiwa kufundisha chuo Cha ualimu aliniambia anaanza na 940,000/ nyumba bure !!! Hivi huu ni mshahara mdogo!??kweli sio mdogo njoo kwa mhundi na degree Yako uone!!
 
Jamaa
Unaona 900k ni kama bilioni hivi

Ila mleta mada hajazungumzia maslahi,
Kazungumzia jinsi mwalimu anavoendeshwa endeshwa kiboya tena na watu aliowazidi elimu mbali mnoooo
 
Jamaa
Unaona 900k ni kama bilioni hivi

Ila mleta mada hajazungumzia maslahi,
Kazungumzia jinsi mwalimu anavoendeshwa endeshwa kiboya tena na watu aliowazidi elimu mbali mnoooo
Njoo huku Kwa wahindi na degree Yako utanielewa vizuri tuu!!! Kumbuka mhindi ndio waajiri wa Tz Kwa sasa!! Nyie hamjakwa Bado akili ni za kitoto ila muda utawahukumu!! Kwa kujifanya mnapesa saaaana
 
Hizi hoja zenu tumezichoka ni za hovyo mno mnomno Kila siku walimu walimu!! Waanakuhusu nn!? Mbona walimu Wana maisha Yao tuuu!! Wana nyumba zao magari Yao mashamba Yao wanasomaga watoto wao !!! Nashangaa kuwashadadia sijui hamna Cha kufanya!??
Kuna mdada namjua kamaliza degree kapangiwa kufundisha chuo Cha ualimu aliniambia anaanza na 940,000/ nyumba bure !!! Hivi huu ni mshahara mdogo!??kweli sio mdogo njoo kwa mhundi na degree Yako uone!!
Sumeona akili zenu, hii inahusiana vipi na kukoromewa na mwenyekiti wa kijiji
 
Njoo huku Kwa wahindi na degree Yako utanielewa vizuri tuu!!! Kumbuka mhindi ndio waajiri wa Tz Kwa sasa!! Nyie hamjakwa Bado akili ni za kitoto ila muda utawahukumu!! Kwa kujifanya mnapesa saaaana
Ivi una akili Sawa Sawa kweli? Umesoma mada iliyopo mezani halafu laki tisa pesa gn hiyo nyie mbuzi [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom