NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,529
- 17,441
MkuiNa wewe kanunue ardhi kwaajili ya wajukuu wako.
Duniani ardhi haijawahi kuwa tatizo huko ulaya wanaishi miaka na miaka lakini bado kuna maeneo yako tupu kabisa.
Mkuu hawajielewi haoNa wewe kanunue ardhi kwaajili ya wajukuu wako.
Duniani ardhi haijawahi kuwa tatizo huko ulaya wanaishi miaka na miaka lakini bado kuna maeneo yako tupu kabisa.
Hii ni hatariWakuu
Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini.
Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi chetu kijacho!
Tujiulize haya yanayotokea ni juhudi za serikali kuifanya nchi yetu kuwa kama jamuhuri ya kenya ambapo mabepari wachache wanamiliki ardhi ya wengi Sana Hadi wazawa waliowengi hawana ardhi na kuwa watumwa katika nchi yao wenyewe.
Mamlaka husika TUNAWAOMBA mfuatilie hilo muokoe mstakabali wa TAIFA letu HUKO mbeleni!!
Asanteni KWA kusoma.
Akili za kimaskini ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu.
Hukunielewa maana yangu. Mimi ni mwananchi mnyonge tu na hapa nipo kwenye foleni ya kufatilia kazi ya sensa.Utajikuta hapo unavieka vyako mia kadhaa unajio umemaliza na uzao wako. Usichojua hao wakezaji wakishachukua hayo namia elfu ya hekari ndio imekula kwa Ndg zako ambao leo hawana huo uwezo uliio nao wewe. Kesho wakiwa na uwezo watakuta ardhi imeshakuwa kama hapo Kenya. Familia moja inamiliki nusu ya ardhi ya nchi.
Wakuu