Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,194 Reaction score 28,625 Jan 16, 2026 #21 Wagumu Tunadumu said: Chapati inauzwa mia tano kwasababu ya sarafu kuwa adimu Click to expand... Ikiwepo ya afu hamsini tujiandae na nauli hiyo kwa urahisi wa change.
Wagumu Tunadumu said: Chapati inauzwa mia tano kwasababu ya sarafu kuwa adimu Click to expand... Ikiwepo ya afu hamsini tujiandae na nauli hiyo kwa urahisi wa change.
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,194 Reaction score 28,625 Jan 16, 2026 #22 Zuella zuu said: ongeza nyama kidogo mkuu Click to expand... Tiririka na wadau,utapewa nyama,mifupa,ngozi,hadi na kwato za mnyama husika,usiwe na haraka kwani kila mnyama hakosi ulimi na hata mkia!
Zuella zuu said: ongeza nyama kidogo mkuu Click to expand... Tiririka na wadau,utapewa nyama,mifupa,ngozi,hadi na kwato za mnyama husika,usiwe na haraka kwani kila mnyama hakosi ulimi na hata mkia!