Zuella zuu
Senior Member
- Jan 1, 2026
- 166
- 294
mods naomba mnirekebishie hapo'SARAFU'hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? kwamba ndio tuanze kutumia miatano kama sarafu ndogo kuliko? na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
ni huzuni, wafanya biashara wadogo wanateseka sanasarafu zipo kwenye madubwi ya wachina
Chapati inauzwa mia tano kwasababu ya sarafu kuwa adimuni huzuni, wafanya biashara wadogo wanateseka sana
kuna upande wa nauli pia, abiria na makondakta umekua ugomvi mkuuChapati inauzwa mia tano kwasababu ya sarafu kuwa adimu
wamepanga zipotee kama zilivyopotea shillingi kumi na ishiriniPesa yetu ipoipo tu.
ongeza nyama kidogo mkuu
huzuni kwakweli, wao wanatumia dollarsUnauziwa kitu Mia 7 ila inabidi ukinunue kwa Mia 8 maana sh. 100 hazipatikani!
Hivi hatupangi kuwa na noti ya afu hamsini na afumia?Hapo sasa sijui, lakini inawezekana pia ikawa ni mpango wa serikali kwamba mia tano ndo iwe sarafu ndogo zaidi that's why mia na mia mbili zinapungua taratibu