Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

TV zipi za kitaifa zaidi ya TBCCM?

Ni kweli tuna tv moja YA TAIFA TBC ambayo ndio imeshachukuliwa na CCM. Ila tuna tv ZA KITAIFA ambazo pia watanzania wanazipata free kama ITV Na StarTV.
 

Kweli tatizo kubwa sana la DSTV ni bei za kiwizi. Wanadanganyia zile za bei ndogo dola 10 ambazo ukilipia hizo unaona kama unatupa pesa.

Serikali kuwa na sera tofauti kati ya makampuni yanayofanya biashara ya huduma za TV basi hapo ndipo tunasema serikali imewekwa mfukoni na Kampuni ya Multichoice.

Hizi Kampuni za Star times, Zuku etc zinafanya biashara kama inayofanywa na Multichoice bila kujali source ya matangazo yao. Kuwa na sera tofauti au mikataba tofauti ndani ya nchi moja ni weakness ya serikali Na wizara inayohusika.

Hili swala la monopoly liko kwenye mkataba Kati ya serikali na Kampuni ya Multichoice.
 
Jirani zetu wakenya kuna chanel zaidi ya nne zinazorushwa na DSTV kwanini nasisi isiwe hivyo? hao startime ni wazushi tu sehemu za vijijini na mawilayani ambako hawaja weka minala tutawapataje inamaana tutanyimwa haki yetu ya msingi
 
Jirani zetu wakenya kuna chanel zaidi ya nne zinazorushwa na DSTV kwanini nasisi isiwe hivyo? hao startime ni wazushi tu sehemu za vijijini na mawilayani ambako hawaja weka minala tutawapataje inamaana tutanyimwa haki yetu ya msingi

Ni kweli, naona serikali imeharakisha sana bila kufanya maandalizi ya kutosha. Walicholenga ni kodi watakayoivuna.

Hata mijini watu wengi watakosa huduma. Subiri tarehe moja utasikia malalamiko
 
Pia tunalipishwa kwa thamani ya dollar ndani ya Tz
 
......The rich also cry!

TV as source of information and education is not supposed to be for the rich and elite people only.

Human right declaration declares education and information as basic human right.
 
Leo ndio siku ya mwisho Kwa Dar kupata analogy.

Nina uhakika zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar kwesho hawana TV watakayoangalia
 
kesho watu wengi wakazi wa dar watakosa haki yao ya kupata taarifa
 
Na DSTV wameigomea serikali kuweka local channels

Serikali imeendelea kuonyesha udhaifu
 
Tuliyokuwa tukiyajadili ndio yameshatufika
 
DSTV hakuna local tv isipokuwa TBCCM.

Nasikia huko Star times mambo ndio hayaeleweki
 
Kama operation au business ya Dstv inaweza kuendeshwa kwa rates ndogo zaidi na faida ikapatikana, kwa nini hakuna mtanzania anayeweza kuanzisha business hii na kuitoa Dstv kibiashara? Gtv ilianza kuitetemesha Dstv, bahati mbaya ikafa.

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
 
Nielimishe abudhabi sports unaipataje?

Nimefunga abudhabi sports jana mchana nimefungiwa na jamaa mmoja anaitwa mudi white.. maarufu sana kariakoo msimbazi maduka yaliyopo underground yanayouza tv na madish

Niliunganishiwa na jamaa mmoja pale udsm.. Kwa mtu yeyote anaetaka abudhabi sports aende pale chuo udsm kwenye mgahawa wa Tuki atapata maelekezo yote as mudi anahusika pia na huo mgahawa..

Mechi za leo za ligi uingereza nimeangalia kupitia abudhabi sports through sky sports hd 1, hd 2 na hd 3 na zinginezo.. Pia kuna access ya NBA via espn na television kibao za movie.. Abudhabi sports ina television za michezo 43 zinazoonesha ligi mbali mbali duniani za michezo yote.. Bei ya vifaa pamoja na installation ni lak 8 jumla ukijumlisha na bili ya mwaka mzima.. Baada ya mwaka kuisha per year utalipia usd 100 online au through bank transfers... Na pia tv nyingi ni high definition na decoder zake za humax hd zinarecord na ku rewind match kama pvr decoder za dstv...

Nimeshaiaga dstv bye bye toka 2012 mwaka huu mpya ni mwendo wa abudhabi sports tu
 

Hongera sana kuachana na hawa wezi wa DSTV.

Hebu niambie unapata local channels na wanazo channel za katuni kwa ajili ya watoto?
 
naomba kuliza,kwani tanzania kua serikali au kundi la waganga njaa wanaotawala wapumbavu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…