Serikali imeishiwa haina pesa za mishahara

...hawa wenye viwanda ni longo longo tuu wanataka kumake profit 1000% huku wakifanyiwa kazi kwa bei ya bure...nchi haiendelei kwa kuwanyonya wafanyakazi na seriakli ishikilie hapo hapo maana tunajua wanachomake na hawatafunga viwanda kwa hiyo mishahara maana still ni midogo sana!
 
Finally! I am seeing news that is looking at the other side of the coin! I had a bad feeling that this will lead to massive job losses and also wakishindwa wenye viwanda wataenda Sri Lanka na India! I mean we need industries, siyo kuwapa masharti magumu! This will lead to recession (double it with inflation, fuel prices etc).... Again I am not an economist but it's obvious that more than 300% increase of salary is not a good strategy! Battle the inflation instead!


hapa ndio utamu ulipo, sisi hulalamika mishahara wanayolipwa wafanyakazi sekta binafsi midogo, serikali ikiliangalia na kuwasaidia huzuka tena oooh sasa hizi lawama hadi lini?


ukweli mshahara lazima uongezwe na wajibu wa viwanda kuangalia uwezekano wa kuwatumia wafanyakazi wake kwa kuongeza productivity. na hiyo ndio challenge kwa viwanda, wote watu wa soko, watu wa human resources watu wa management, na wengineo wakae wabuni na wafanyakazi wawe na ari ya kazi sio kupunguza wafanyakazi.

tutekeleze wajibu wetu
 
Sorry, I beg to differ:
ukweli mshahara lazima uongezwe na wajibu wa viwanda kuangalia uwezekano wa kuwatumia wafanyakazi wake kwa kuongeza productivity. na hiyo ndio challenge kwa viwanda, wote watu wa soko, watu wa human resources watu wa management, na wengineo wakae wabuni na wafanyakazi wawe na ari ya kazi sio kupunguza wafanyakazi.
Kutupia sekta binafsi mzigo siyo suluhisho. Tukubali, tunajenga free market economy au ujamaa? Kama ni soko huria basi tuheshimu law of supply and demand. Ukiongeza mishahara 300%, ni lazima mtu 1 afanye kazi ya watu 3! Unaongelea productivity, well then let's talk about downsizing, machinization etc.
Mimi nadhani kilichotokea ni siasa tupu na hakuna mchumi aliyefanya analysis ya kweli. Serikali imekuwa hijacked by labor unions.
Well, it's a debate duniani kote siyo tu Tanzania but what I see here is a lack of debate. Kuongeza mishahara si suluhisho. Mnasema hawawezi kufunga viwanda... just wait and watch. Siyo lazima waende Sri Lanka, they can go to Rwanda where Kagame is waiting for them with open hands. There people desperately need jobs!

...hawa wenye viwanda ni longo longo tuu wanataka kumake profit 1000% huku wakifanyiwa kazi kwa bei ya bure...
Yes, mfanya biashara au mtu mwenye kiwanda anataka ku-make profit 1000% if s/he can, that is soko huria. Unafikiri Bill Gates na wenzake wamekuwa ma-billionaire kwa kuwapa mishahara mikubwa floor workers wao in some Asia country?! Get real! When the economy takes off there's trickle down effect. FYI hata Mwanza wamepunguza juzi watu 395 katika kiwanda kimoja cha Nile Perch and others will follow! huwezi kumlazimisha mwenye biashara apate less profit! The principle of business is to INCREASE your profit!
Ni lazima tuamue, tunataka Ujamaa (at its best in the 1980s wakati hata Colgate ilikuwa ni magendo) au free market economy! Wafanyakazi hawafanyi kazi bure! Wanalipwa mshahara, na kama hautoshi, wako huru kwenda kutafuta kazi kwingine.
Kwani watu wa Sri Lanka na Pakistan na Philippines siyo watu? The difference ni kwamba kule hakuna inflation so you can actually live on 48 dollars! Hapa Bongo we have INFLATION! That's my point.
 
Oyaa Tanzania siyo Europa au USA! Kwamba market itaamua! Get life!
Kwani USA ilijenga vipi uchumi wake? It was not 'born' rich! Get history! The largest economy in the world -USA was built by unbridled capitalism! Lakini ngoja nikupe recent history: take a lesson in Reaganomics na soma kuhusu policy za Alan Greenspan under Bill Clinton.
Pia kwa upande wa Ulaya angalia recent history: read up on 20th century European history, after WWII some countries went back to the dark ages, there was famine! Some countries like Germany got lucky with Marshall Plan but others were not so lucky. They had to build up their economy from scratch! Finland, Denmark Sweden etc tuache UK, France and the others ambao they had colonies.
Tusishabikie bila kufikiria
 
mishahara ilikuwa ni lazima iongezwe. lakini kuongeza mishahara kwa zaidi ya asilimia 300 kwa mara moja, it was more than insane. maana kwanza serikali yenyewe imeona kama yenyewe haiwezi kuongeza mshahara mkubwa kiasi hicho ila ikalazimisha sekta binafsi zifanye.

hii ni kutafuta mtu wa kumrushia lawama.
a) sekta binafsi zisilipe watu viwango hivyo vilivyotangazwa ili serikali iseme wenye viwanda na migodi wanatuonea

b) sekta binafsi zifukuze watu kazi, serikali iseme wanataka kujilimbikizia faida kiasi cha kuwa wanafukuza watu kazi.

all in all naona serikali inatafuta tu kuona hasira za wananchi zinaelekezwa kwengine na sio kwa wao.
 
sasa unataka kusema serikali baada ya kuengeza ajira ina punguza ajira?

kuna jamaa amenieleza kuwa huku tz sasa kuna mradi wa kuondoa umaskini na kuleta ufukara, nilicheka saaana
 
Nafikiri tusibishane tujenge hoja,Je wao wanatengeneza profit ya aina gani katika biaashara zao na kinachogomba hapa ni kwamba walizoea kutengeneza profit kubwa kupita kiasi na huu ni ukweli usiofichika na mifano iko wazi kwani mahesabu yanajulikana.
Nasikia watu wakisema ukiwekeza Tz basi utarajie kutajirika sana kwani mashariti yana mazingira mazuri kwa wawekezaji pengine hata kupita nchi yeyote na upande wapili unawanyonya wafanyakazi kupita kiasi.
 
hawa jamaa came here for cheap labour, wameajiri watu wengi, sasa itabidi kweli wawapunguze ili kubaki na idadi watayoweza kuimudu kulipa mishahara.
 
Nafikiri tusibishane tujenge hoja,Je wao wanatengeneza profit ya aina gani katika biaashara zao na kinachogomba hapa ni kwamba walizoea kutengeneza profit kubwa kupita kiasi na huu ni ukweli usiofichika na mifano iko wazi kwani mahesabu yanajulikana.Nasikia watu wakisema ukiwekeza Tz basi utarajie kutajirika sana kwani mashariti yana mazingira mazuri kwa wawekezaji pengine hata kupita nchi yeyote na upande wapili unawanyonya wafanyakazi kupita kiasi.

Kwanza kama nilivyoeleza, tunakubali kwamba tunafuata soko huria au la? Kama tunakubali basi tuelewe ya kuwa faida hata ya asilimia 3000% ni sawa if that is what the market allows! But I live and do business in Tanzania believe me, legal businesses don't make a killing kama unavyofikiri. This is just a myth and here's my argument:
Let's take the example of A to Z factory:
Wamesema wana wafanyakazi 3,200. Wamepunguza 135. Hawa walikuwa wanalipwa 48,000 TZS. Let us assume expense ya hawa 135 ilikuwa ni kwa mwezi 6,480,000 TZS ya mishahara (tusahau kodi na madudu mengine)
Sasa hawa 135 wanatakiwa kulipwa 150,000, the same expense imeongezeka mpaka 20, 250,000 TZS!

Summary from 6,480,000 to 20,250,000! the difference is 13,770,000 TZS!
Na kumbuka this is a constant expense because it's salary. So let's make it annual now, we are talking of an increase of
13,770,000 X 12 = 165,240,000 TZS

And this is just salaries, bado umeme, rent, water, security etc which by the way we are told is provided by the governemnet from our taxes but we have to buy. (Electricity - buy your own generator and fuel because SORRY Tanesco is rationing, Water - sorry Dawasco not able to guarantee constant supply, buy from private water supply companies, Security - no police patrol or emergency services - pay for private security firms and the list goes on). Oh! and by the way there is the issue of health care, maana if you want your workers to attend properly work you have to ensure that they get proper health care and forget local dispensary! Yaani hata basic services hamna let me not get started on infrastructure. Did you know for example that Rwanda is one of the best connected countries with quality infrastructure and in 5 years the country will be entirely wireless? Now that is mazingira mazuri siyo Bongo!

Sasa mazingira ya kufanya biashara ni tayari magumu, the profit one makes is not that SUPER as you frivolously write, alafu bado unaambiwa uingie absurd expenses for a workforce that is unskilled! Other countries like Rwanda, Kenya and Uganda invest in education! So you have a skilled workforce. We hushangai kusikia kwamba hata waalimu wa private schools kama St Mary's ni wakenya. Na mwambie mzazi kwamba you are proud that your teachers are all Tanzanians alafu uone kama utapata wananfunzi! EDUCATION is key!

Come on!
Let us take a more serious look at this issue na tuache ushabiki.
I agree that there has to be an increase of salary and any decent employer does so annually (review salary), those who are not decent (they do exist) should be given a minimum wage to abide to but it should be a reasonable increase! 10% even 20 or 30% but not 300%. Also governement should use properly our taxes na misaada kujenga miundombinu na kuwasomesha watoto na wananchi wake ili ijenge mazingira mazuri kwa ajili ya uwekezaji! Until local industries na businesses hazitasaidiwa, some will opt kuwa shady and others will deal in petty trade and import export instead of providing REAL jobs.
PEACE!
 
Jamani suala la mishahara kwenye secta binapsi wangewaachia waajiri wenyewe waamue. Haiwezekani serikali itoe tamko mwalimu wa shule binafsi alipwe 350,000 wkt wa serikalini analipwa 150,000/=.

Pili house girl akilipwa sh 65,000/= je wewe unayemlipa huyu binti shi 65,000 wewe unalipwa shilling ngapi?????.

Sio Serikali inakurupuka tu kuamua mambo ianze yenyewe kwenye secta zake kupandisha mishahara ndio na secta binafsi zifate.

Kwa mtaji huu ajira nyingi sana zitapungu na lile swala la Mh. Rais kuongeza ajira 1,000,000 jalitawezekana na matokeo yake zitapungua ajira 900,000/=

Watanzania tuwe macho.
 
Waende zao.Hivi kweli kwa mtu mwenye akili timamu mshahara wa 48000/- unatosha nini? haistahili hata kuitwa mshahara ni posho tu hiyo,si unanunua gunia la mkaa 25000/,kodi ya nyumba 10000/-(chumba kimoja) unabaki na sh 13000/- ambazo unatakiwa ununue unga,maharagwe,mchicha,chumvi,kiberiti na utumie kama nauli!!!
Umasikini wa watanzania isiwe sababu ya kuwafanya mashine za kuwazalishia pesa.Walipe hiyo mishahara.
Hata kama ni soko huria lakini lazima kuwepo na kiwango cha chini ambacho mwajiri hatakiwi kukivuka.Kuanzai hapo ndo mwajiri anaweza kumlipa mfanyakazi au kwa hiari yake akamwongeza.
 
Habari nilizozipata kutoka Arusha ni kwamba Athari za mishahara mipya na hatimaye wafanyakazi hususa viwanda vya nguo kupunguzwa kazi zimepelekea wimbi la ujambazi mkoani Arusha kurudi upya.

Kuanzia Jumapili iliyopita, wezi wamekuwa wakivamia nyumba mbalimbali usiku wakiwa kwenye makundi makubwa na kupora chochote wanachokikuta ndani. Habari za kuaminika zinaeleza kwamba, matukio mfululizo yametokea maeneo ya Mbauda, Sombechini na Majengo ambako katika baadhi ya matukio wezi waliwabaka wanawake pia.
Nimeongea na baadhi ya waathirika wa usiku wa kuamkia leo ambao wanahisi sababu kubwa ya kuibuka kwa uporaji huo unachangiwa kwa kiasi kikubwa na sakata la kupunguzwa kazi katika Viwanda mbalimbali mkoani Arusha.
 
Waende zao.Hivi kweli kwa mtu mwenye akili timamu mshahara wa 48000/- unatosha nini? haistahili hata kuitwa mshahara ni posho tu hiyo,si unanunua gunia la mkaa 25000/,kodi ya nyumba 10000/-(chumba kimoja) unabaki na sh 13000/- ambazo unatakiwa ununue unga,maharagwe,mchicha,chumvi,kiberiti na utumie kama nauli!!!
Umasikini wa watanzania isiwe sababu ya kuwafanya mashine za kuwazalishia pesa.Walipe hiyo mishahara.
Hata kama ni soko huria lakini lazima kuwepo na kiwango cha chini ambacho mwajiri hatakiwi kukivuka.Kuanzia hapo ndo mwajiri anaweza kumlipa mfanyakazi au kwa hiari yake akamwongeza.

Nyangumi, hakuna aliyekata kwamba kima cha chini kiongezwe, kinachosemwa ni kwamba hiyo 48,000 TZS au its equivalent inamtosha mtu wa Sri Lanka. Kwa nini? Kwa sababu bei ya vitu ulivyovitaja hapo juu (kodi ya nyumba, mkaa, chakula, nauli) vinawiana na mapato haya. Hivi sasa Bongo kuna mfumuko wa bei, hata wakilipwa zaidi haitatosha kwani mishahara inapopandishwa, bei ya vitu vinapanda. We subiri Nov 1 alafu turudi tena kwenye mjadala huu. Utakuta hata anayepata 150,000 TZS ataona thamani (purchasing power) yake haijaongezeka kitu.
Kwanza serikali ingeshughulikia inflation na corruption, na ingetakiwa kufanya hivyo siyo sasa bali 2 years ago ilipoingia madarakani.
 
...jamani soko huria sio ticket ya kuwavuna wengine hata mabepari wenyewe na free market yao wana guidelines za mishahara ya wafanyakazi ambayo hawawezi kwenda chini ya hapo na nina uhakika hao wa vima vya chini hawana haki kama bima,vacation,overtime etc ni just hiyo 48000...nawaambieni tena nchi itaendelea tuu kama dhuluma hizi zitaisha la sivyo tutajenga watumwa na mabwana zao na hapo napongeza serikali kwa kuona hilo na mahesabu yako wazi profit wanamake hata kwa mishahara hiyo mipya,tunawajua wahindi na dhuluma zao na hapo ndio serikali inabidi iinglie
 
...jamani soko huria sio ticket ya kuwavuna wengine hata mabepari wenyewe na free market yao wana guidelines za mishahara ya wafanyakazi ambayo hawawezi kwenda chini ya hapo na nina uhakika hao wa vima vya chini hawana haki kama bima,vacation,overtime etc ni just hiyo 48000...nawaambieni tena nchi itaendelea tuu kama dhuluma hizi zitaisha la sivyo tutajenga watumwa na mabwana zao na hapo napongeza serikali kwa kuona hilo na mahesabu yako wazi profit wanamake hata kwa mishahara hiyo mipya,tunawajua wahindi na dhuluma zao na hapo ndio serikali inabidi iinglie

Maneno kama haya siyo hoja. Kwanza kabisa unayoyasema hayana msingi kwani hufahamu wanatengeneza faida kiasi gani. Pili maneno kama 'wahindi' clearly shows that you are prejudiced na hufahamu business community na industrial sector ya nchi, kwani siyo 'wahindi' tu wanaomiliki viwanda.
Kuhusu guidelines, hata Tanzania ipo na hapa tunachozungumza ni kima cha chini kiwe kiasi gani, siyo kwamba isiwepo. lakini hebu nikuulize, kwa nini bar maid apate 85,000, housegeli apate 65,000? Kwa nini kuli (porter) apate 300,000 (propesterous) na mwalimu apewe 250,000! Kama kima cha chini hata kwa 'mabepari' ni moja ni kiasi fulani kwisha!
Kama ni 65,000 basi ni hiyohiyo. Viwango vingine vinategemea demand and supply.
Usishabikie bila kuwa na hoja.
 
..... hakuna aliyekata kwamba kima cha chini kiongezwe, kinachosemwa ni kwamba hiyo 48,000 TZS au its equivalent inamtosha mtu wa Sri Lanka. Kwa nini? Kwa sababu bei ya vitu ulivyovitaja hapo juu (kodi ya nyumba, mkaa, chakula, nauli) vinawiana na mapato haya.

Hivi sasa Bongo kuna mfumuko wa bei, hata wakilipwa zaidi haitatosha kwani mishahara inapopandishwa, bei ya vitu vinapanda. We subiri Nov 1 alafu turudi tena kwenye mjadala huu. Utakuta hata anayepata 150,000 TZS ataona thamani (purchasing power) yake haijaongezeka kitu.

Kwanza serikali ingeshughulikia inflation na corruption, na ingetakiwa kufanya hivyo siyo sasa bali 2 years ago ilipoingia madarakani
.

Nothing to add; Take 5!!

SteveD.
 
Back
Top Bottom